jambo

Jambo (17 April 1961 – 16 September 1992) was a gorilla housed at Durrell Wildlife Park in Jersey, Channel Islands. He was involved in an incident in which he was seen to be protective of a child who fell into his enclosure.

View More On Wikipedia.org
  1. Nani aliyemshauri Rais Samia jambo hili ambalo limeleta mateso na aibu kubwa mitaani na mitandaoni?

    Habari zenu wana JF wenzangu. Leo sina mengi zaidi ya kutafuta jibu la swali langu hapo juu. Maana ukiliangalia suala hili kupitia baadhi ya waathirika wenyewe unaweza kuliona dogo, lakini kiuhalisia ni kubwa na lina madhara mabaya ya kimwili na kiakili. Fikiria watu walikuwa wanapiga kelele...
  2. Naomba msaada juu ya jambo hili la ajabu ambalo limetuchanganya kama familia

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, ni jambo lililotushtua kama familia kutokana na uajabu wake. Ipo hivi, siku ya juzi tar 19 majira ya saa sita kasoro usiku nikiwa nimelala fofofo, simu yangu ambayo ilikuwa kwenye 'vibration mode' ilikuwa ikiita. Wife kwakuwa alikuwa bado hajalala akawa...
  3. J

    Jambo la kufanya kwa siku ya leo ya wapendanao

    Kuna hii story nimeisoma somewhere. Kuna mama mmoja alijiunga kwenye self-improvement program, katika iyo program walipewa assignment wakawaombe waume zao wawatajie mapungufu sita walinayo hao wakina mama. Jioni mumewe aliporudi nyumbani yule mama akatekeleza assignment kwa kumuomba mumewe...
  4. Upendeleo kwenye jambo lolote, maudhui na muktadha wowote si afya

    Wasalaam JF Niseme ya kwamba upendeleo ukizidi si afya iwe kwa namna yoyote ile, mizania iwe sawa iwe kwa wanao wapendeza na wasio wapendeza nyie miungu wa dunia wenye vyombo na mali zenu. Pingu hazitawashibisha fairness iwe ndio msingi wa kazi yenu. Wadiz
  5. S

    Hivi huyu Chef anayeonekana kwenye kipindi cha Jambo huwa na jukumu gani?

    Huwa namuona chef mmoja anaonekana kwenye kipindi cha jambo Tanzania kila asubuhi kwanye TBC. Huwa ana jukumu gani? Sijawahi kuangalia hicho kipindi mpaka mwisho, ila kwa myda niliopata kuangalia sijawahi kumuona hata akiwahudumia watu hivyo anavyopikaga. Mfano leo angalau nimepata nafasi ya...
  6. Jinsi Koneksheni inavyoweza kurahisisha jambo lako

    Habari za muda huu Mpwa! Ni siku nyingine tena tunakutana katika kuangalia yale mambo kadha wa kadha ambayo yanagusa maisha yetu. Mpwa, leo nimekuja na jambo moja tu ambalo ndio limekuwa muhimili wa sasa katika maisha ya leo yaani 'Connection'. Ni neno la kawaida sana ukilisoma na kulitamka...
  7. Naheshimu Kipaji cha Saido Ntibanzokinza ila asitake Kung'ang'ania kila Jambo la Uwanjani alifanye Yeye tu

    Jana kuna Mipira kama Mitano ( 5 ) tena Muhimu niliona kama angewaachia Wengine wapige huenda kuna Jambo la Faida lingetokea kwa Simba SC ila akawa anang'ang'ania Yeye na Matokeo yake Mipira yote akaiharibu. Saido Ntibanzokinza asilazimishe sana Ufalme ndani ya Simba SC kwani hata Wafalme...
  8. U

    Jifunze mambo yanayosababisha ushindwe kufanya jambo kwa viwango vikubwa

    Habarini, Ningependa tujifunze baadhi ya makosa tunayoyafanya,na husababisha tushindwe kufanya mambo kwa viwango vikubwa. Ningependa kutumia kitabu cha ONE THING. Kitabu kinachoelezea kuwa umuhimu wa kufanya mambo kwa mpangilio. Suala ni kwamba wote huwa tuna malengo,ila malengo au ndoto zetu...
  9. D

    KKKT ni kubwa kuliko Mch. Kimaro, msihuzunike kuna jambo hamlijui, viongozi wake hawajakurupuka

    Naomba nianze kwa kuwapa pole waumini ambao walibarikiwa na mchungaji kimaro! Kazi ya kitume ni kama mvua, inanyesha kwa wakati wake na kupisha kwa muda ili shughuli zingine zifanyike, mpate muda wa kupanda, kuvuna, na hata kuezeka panapovuja. Yamkini mvua ya mahubiri ya mchungaji kimaro...
  10. Kila jambo ukilichukua kama funzo utaenda mbali zaidi

    LAWAMA HAIJAWAHI KUPONYA MTU. Mara nyingi tumekuwa tukilalamikia vitu ama watu lakini tumeweza kujiuliza kwa nini vitu au watu hao utokea kwenye maisha yetu? Mtoto anazaliwa mara ya kwanza hewa ya oksijeni inapopita kwenye mapafu uanza kulia na baadae ataitegemea hiyo kwa maisha yake yote...
  11. Je, umewahi kufanya jambo gani la hovyo mpaka ukajutia?

    Karibuni wakuu, tushirikishane juu ya jambo lolote la hovyo ,ambalo umewahi kulifanya maishani mwako ,hasa kipindi Cha ujana/ utoto na badae ulijutia. Nianze Mimi,; wakati nipo darasa la 2 nikiwahi kufungulia radio ya mzee , nikaweka Kanda ya lackdube nikasililiza mwanzo mwisho. Lakini bahati...
  12. Saa 4:00 Usiku Yanga wana jambo lao

    Je ni jambo gani? Tukutane saa 4:00 usiku
  13. Kuchapiwa ni jambo la kiuokoo/kifamilia (kiroho zaidi). Fanya yafuatayo kuepuka kizazi chako kuchapiwa

    Nimeandika uzi huu baada ya suala la Haji kutamalaki. Ni hivi kuchapiwa mke most of the time huwaga ni laana ya familia, ukoo au hata kabila. Ndio maana ukijaribu kufuatilia kwa ukaribu kuhusu wanaume wanao chapiwa utagundua kwamba katika familia au ukoo wa mwanaume huyo kuna historia ya...
  14. Mabishano kati ya medical professionals yanayolenga interests za mgonjwa ni jambo la kawaida na ni ethical

    Mabishano kati ya medical professionals yanayolenga kupata huduma sahihi na safi kwa wagonjwa wao ni kitu cha kawaida na cha kila siku. Mabishano au mijadala ya namna hiyo kuna wakati mwingine inakuwaga mikali sana (heated). Mijadala hii hufanyika aidha kati ya mtu mmoja mmoja au kivikundi...
  15. L

    Ukiwa na jambo lako, kaa nalo

    Ukijaribu kumhadithia rafiki yako mambo yako nyeti walahi kesho utakuta ameweka uzi humu. Ni afadhali matatizo yako uchakate na serikali yako ya ubongo.
  16. T

    Jambo kubwa linakuja mbele ya Taifa, ewe mtanzania fungua macho

    Sitaki kuandika sana ila kama ilivyo kawaida ya sisi waona mbali na wausia watanzania mlio nje ya Taifa na ndani fungue macho, jambo kubwa lina enda kutokea machoni pa Taifa ktk wakati hakuna angeweza kutarajia au kufikiri hivyo basi ni Maombi yangu na maombi yako yataliponya Taifa. Kama ni...
  17. Ni jambo gani unatamani ungepata majibu toka kwa kiongozi wako wa aina yoyote ndani ya 2023 ambalo linaongoza kukukera toka 2022?

    Binafsi the most irritating question ambalo nimevuka nalo ni; 1. KADCO ni ya serikali ama si ya serikali? Hili swali linanisumbua sana japo likajitokeza la nyongeza huku tukiwa tunakatiza mwaka nalo ni, KADCO ikitoa ufafanuzi inaongea kwa niaba ya serikali ama kwa niaba yake? Mwenye most...
  18. Kuna kitu wana JF hawakijui?

    Habar za new year Leo ningependa tu kuuliza kiroho safi Hivi kuna kitu wana JF hawakijui kweri maana mm naona kila kitu wanajibu Inakuwaje
  19. Taja jambo lilikushangaza mwaka 2022

    Binafsi nilishanazwa na kushindwa kuzuia mgao wa maji na umeme pamoja na kuwa imepita miaka 61 ya uhuru na bado hatuna suluhisho kwani hata mwakani ukame ukija bado tutakosa maji na umeme. Wewe ni maajabu gani umeyaona mwaka 2022?
  20. TRA wana jambo lao, Sio kwa watu maarufu tu, ndugu yangu alieanza biashara 2015 kwa mara ya kwanza kapigwa faini nzito ya kukwepa kodi,

    Nimejiridhisha kwamba kwa sasa TRA wana jambo lao kwa wakwepa kodi maana si kwa kelele hizi, wakiona unakwepa wanapita na wewe. Mwezi uliopitwa nilipatwa na simanzi baada ya kuona ndugu yangu kapatwa na pigo zito la kulipa faini ya TRA, masikitiko yake yamenigusa na mwanzoni nilidhani kaonewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…