Kwanini nikimshauri Mtu Jambo Kiupendo na kwa Nia Njema na Kumtahadharisha nalo pia akinipuuza na Likimharibikia ananiona Mchawi na nimemroga?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,736
109,327
Huenda ikawa ni Zawadi ambayo Mwenyezi Mungu amenipa kwa Kuniumba nayo, ila kwa Wanadamu huwa inanipa wakati mgumu Kwao kwani huniona kama ni Mchawi Kwao kwakuwa nikiwashauri Jambo au kuwatahadharisha nalo Wakinipuuza tu na kufanya Wajuavyo huwaharibikia na kuanza kuniona ni Mchawi na nimewaharibia.

Na pia naomba kujua ni kwanini ikitokea tu Nimemchukia Mtu basi atakuwa na Mabalaa, Mikasa na Matatizo mengi Maishani mwake ila Nikimpenda ( Nikimkubali ) tu Mtu yoyote kutoka Moyoni mwangu atakuwa anafanikiwa mno na atainuka haraka Kimaisha na Kimaendeleo?

Nitawashukuru Wajuvi mkinielimisha.
 
Una chembehai za kichawi,
 
🤣🤣 niko udoweni apa nUgulia maumivu nmeumia mguu kuna mjeda alikua ananikimbiza nmechoropoka mkuu nishauri kitu
 
Huenda ikawa ni Zawadi ambayo Mwenyezi Mungu amenipa kwa Kuniumba nayo, ila kwa Wanadamu huwa inanipa wakati mgumu Kwao kwani huniona kama ni Mchawi Kwao kwakuwa nikiwashauri Jambo au kuwatahadharisha nalo Wakinipuuza tu na kufanya Wajuavyo huwaharibikia na kuanza kuniona ni Mchawi na nimewaharibia.

Na pia naomba kujua ni kwanini ikitokea tu Nimemchukia Mtu basi atakuwa na Mabalaa, Mikasa na Matatizo mengi Maishani mwake ila Nikimpenda ( Nikimkubali ) tu Mtu yoyote kutoka Moyoni mwangu atakuwa anafanikiwa mno na atainuka haraka Kimaisha na Kimaendeleo?

Nitawashukuru Wajuvi mkinielimisha.
Sema unapendaga ku-take attentions za watu balaa

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu wewe ni mchawi kweli. Uchawi ukikuzoea sana una kawaida ya kujichukulia sheria mkononi na kutenda uliyozoea kuuamrisha kutenda bila kusubiri amri yako. Hivyo hao wanarogwa na uchawi wako.....
 
Mtengee tu NYABENGA lako na atapoa.
sema hawa jamaa mkuu hii ni mara ya 3 mjeda kufa kawe kama una kumbukumbu kuna yule mmoja alikufa huku nyuma karbia na gest kama unenda hosptali ya private afu na kuna mwngne aliuliwa huku chini kama unaenda bondeni alipgwa kisu na vbaka
 
Back
Top Bottom