Dada yangu zingatia sana kuolewa liwe jambo lako la kwanza

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Feb 9, 2019
859
1,012
Ewe dada yangu, mama yangu, shangazi yangu. Katika maisha yako weka sana kipaumbele kuolewa.

Hata na wewe baba yangu jitahidi sana kupambania kuozesha mabinti zako kwa hali na mali.

Huo mzigo unaoung'ang'ania ipo siku utakuja nikumbuka.

Ukiona una mabinti wawili watatu wapo tu nyumbani na wanaume hawaji kutoa mahali angalia namna ya kufanya hapo ili ufaulishe huo mzigo,. Baba yangu siku izi dunia imeharibika sana vijana wa siku izi ni wahovyo watakuja wawafanyie vitu vya hovyo binti zako na hutakaa uamini.


View: https://www.facebook.com/100094459745418/posts/181160508375940/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v


Pia nawewe dada yangu kipenzi,.
Pambana sana uachana na uhuni dunia ya sasa imebadilika sana tafuta mume utulie na mume wako KUDANGA sio inshu.


Naweka kituo kwa kusema

Jitahidi sana katika maisha yako kuolewa au kuwaoza mabinti zako kiwe ni kipaumbele chako,
Acha kuwasema vibaya wanaokuja na posa kuwataka mabinti zako, usiangalie dini yake rangi yake wala umasikini wake. Cha kuwaombea ni kuwatakia maisha mema huko waendako
Alamsiki
 
Baada uwashauri watafute kazi iliwasiwategemee wanaume wewe umashauri ndoa.....to be married is like digging your own grave.
 
Utaolewa ukiendeleza hizo tabia zako za kipuuzi kufuatilia maisha ya wanawake.

Wao wasipo olewa wewe binafsi unapata shida gani ?
 

Attachments

  • Screenshot_20231101-202231.jpg
    Screenshot_20231101-202231.jpg
    40.8 KB · Views: 8
Hawa single mothers wengi walikutana na vijana wa hovyo wakapewa ahadi ya ndoa eventually unajua nn kimewakuta!?

Kuwa makini sana vijana wa kiume ndio chanzo cha matatizo ,wanawake zile ahadi za ndo mpaka wanazipuuza wanaona wote hovyo ...Bora wapambanie maisha yao wawe na kipato.
 
Back
Top Bottom