Ni jambo la ajabu kuona mtu mweusi anaumia kisa slave master wanauana huko Israel na Palestina

Nkobe

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
2,162
3,162
Kama kuna jamii ya watu wa ajabu ni Waafrica, ukitizama mitandaoni utaona namna gani watu wako busy kuitetea Izrael na Palestina, watu wanakosa usingizi kutetea SLAVE MASTER wao.

Kwa kifupi kama umepata nafasi ya kuisoma vizuri historia ya Africa juu ya biashara ya utumwa ambayo imefanywa na hii jamii ya watu weupe ambao mimi nawaita ni SLAVE MASTER wa Muafrica

Leo utakuta mtu mweusi (MTUMWA/SLAVE) anashupaa anaumia kisa (SLAVE MASTER) Palestina/Wayahud wanauawa.

Kihistoria biashara ya utumwa imefanyika miaka 400, na inakadiliwa watu miliomi 15 waliathirika na utumwa. Ukienda kwenye makumbusho, utaona kuwa katika misafara hiyo kuna watu walikufa njiani, wajawazito walizidiwa na kutupwa maporini na kuliwa na wanyama wakali, kuna ambao walizama baharini wakati wa safari.

Watoto waliozaliwa salama walitupwa maporini. Jiulize, katika watumwa milioni 15 ni wangapi waliuawa katika harakati zote za utumwa mpaka wewe Mswahili (SLAVE/MTUMWA) ukose usingizi kisa Wayahudi/Wapalestina wanauawana. Wewe Mswahili (SLAVE/MTUMWA) pambana na umaskini wako, acha SLAVE MATER wauwane wao kwa wao
 
Hawa waarwbu na waisrael wali kufanya mtumwa wapi? Yaani kwa vile wazungu babu zao waliewfsnya babu zetu watumwa, kwa hiyo tuwachukie watoto na vijukuu vyao Leo, tuache kushirikiana? Hizi, ni, akili za kijinga Sana,
Leo Afrika Ina shida nyingi, wanaoweza kutusaidia ni wazungu, we unaona haina maana, Bora tufe kuliko kuomba msaada kutoka kwa kizazi cha waliotutesa?
Tufurhie maumivu Yao! Sio akili hizi, hizi, ni akili za Tandale na manzese, t unahitaji akili za masaki, upanga, oysterbay kuendelea
 
Muislam ndugu yake muislam
 
Mwarabu ni mwarabu tu hata iweje ni kundi moja tu la slave master. Kama uamini nenda leo Uarabuni uone walivyo wabaguzi, wanakuona nani halafu leo ukose usingizi kisa ma slave master yanauwana
 
Ila watu 15m ni wachache mno, ni idadi ya wajinga wajinga waliopo Tanzania.
 
Watanzania wengi ni empty headed na kutaka kujifanya Wana huruma Sasa wakati kwao wanateketea
 
Watu tunapinga mauaji yasio na umuhimu wowote ule. Maana kila binadamu hapa duniani ana haki yake ya msingi ya kuishi.

Hayo masuala ya utumwa, ni hekaya za Abunuwasi. Hatuwezi kuendelea kuwa na mawazo mgando kama hayo kwenye karne hii ya 21! Kama kuna mababu zako weusi walichukuliwa utumwa enzi hizo, tayari hiyo ni hisyoria ya kale.

Hata hao Wazungu, Waizraeli, Wakotea, Waarabu, nk nao wenyewe waliwahi kuchukuliwa utumwa na tawala zenye nguvu za wakati huo!! Lakini kwa sasa wenzetu wanawaza maendeleo. Na hawana akili mgando kama sisi, kila siku ni kulia lia tu huku tukiwalaumu wengine kwa ujinga wetu.
 
Ni ajabu mtu / Binadamu anachekelea au anaona havimuhusu sababu wanaouana au kuonewa sio rangi yake au watu wa jamii yake (anasahau wote ni Binadamu)

Ukijali justice na kupenda kutetea Haki popote pale no matter nani anafanya au anafanyiwa vibaya nadhani utakuwa umepiga hatua towards civilization.... (Bali ukibaki na fikra kama zako utakuwa hauna tofauti sana na viumbe vingine kule maporini; ingawa hata hivyo vina-collaborate as species)
 
Kwanza tuwe serious! Hivi CCM na SLAVE MASTERS nani alikuwa au nani ni hatari zaidi? Ukumbuke wamemleta Bashite tena ili kwenye uchaguzi watu watekwe,kuteswa na kuuwawa.
 
Utumwa wa kiimani na kifkra ni utumwa mbaya kuliko hata ule wa kufungwa munyororo. Kunachotutesa hivi sasa ni imani walituhubiria. Waislamu wanashabikia waarabu na wakristo wanashabikia waisrael. Na wote wanaamini kwa kufanya hivyo wanabarikiwa.
 
Upo sahihi sana . Waafrika wengi Wamedanganywa eti Mungu wao yupo Mecca ,Rome ,Jerusslem hata bila kutumia akili yenyewe ikaitikia ndiyo. Tena wakaambiwa Wasiamini Maneno ya Mababu zao maana ni Ushetani yakaamini kweli .Akienda Rome,Jerusalem na Mecca yanaabudu kwenye Makaburi ya Babu wa kizungu na kiarabu.

Mtu mweusi Muafrika eti anaamini Kuna Gharika ilitokea duniani na Nuhuu alitengeneza safina na Binadamu waliopo sasa wamepona sababu ya Safina hata bado kujiuliza huku Afrika taarifa zilifika vipi za kwenda kupanda Safina. Kingine kinachekesha eti Mungu wa Mtu mweusi anaongea kiarabu ili akusikilize unatakiwa umuombe kwa kiarabu .Hivi kweli ni Mungu wenu huyo? Wazungu kwa Mungu wao ni Rome Italy na Jerusalem Israel,Waarabu Mecca Saud Arabia, Budha China,Hindu India, Ila Muafrika Mungu wao inategemea katawaliwa na Mkoloni gani. Muafrika ukimwambia Acha utumwa wewe tii mila za kwenu utasikia mimi siabudu Mashetani yaani anawaita Babu zake Mashetani.

Sasa Wazungu na Waarabu wanapigana eti Muafrika wa Kilindii Tanga Anaumia kasahau kabisa kuwa kokote utakapokwenda wewe Muafrika utabaguliwa na kuonekana Mtumwa.
 
Ila watu 15m ni wachache mno, ni idadi ya wajinga wajinga waliopo Tanzania.
Hii idadi ya milioni 15 sio sahihi nasikia idadi kamili ilikuwa zaidi ya milioni 60 kwani kwenye ukanda huu watumwa walitolewa ktk nchi nyingi sana ikiwamo Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo, Zambia, Malawi, Msumbiji, Zimbabwe na hata Afrika Kusini.

Kama isingekuwa biashara haramu ya utumwa nchi kama Tanzania leo hii tungekuwa zaidi ya watu milioni 200.
 
Upo sahihi sana . Waafrika wengi Wamedanganywa eti Mungu wao yupo Mecca ,Rome ,Jerusslem hata bila kutumia akili yenyewe ikaitikia ndiyo. Tena wakaambiwa Wasiamini Maneno ya Mababu zao maana ni Ushetani yakaamini kweli .Akienda Rome,Jerusalem na Mecca yanaabudu kwenye Makaburi ya Babu wa kizungu na kiarabu.

Mtu mweusi Muafrika eti anaamini Kuna Gharika ilitokea duniani na Nuhuu alitengeneza safina na Binadamu waliopo sasa wamepona sababu ya Safina hata bado kujiuliza huku Afrika taarifa zilifika vipi za kwenda kupanda Safina. Kingine kinachekesha eti Mungu wa Mtu mweusi anaongea kiarabu ili akusikilize unatakiwa umuombe kwa kiarabu .Hivi kweli ni Mungu wenu huyo? Wazungu kwa Mungu wao ni Rome Italy na Jerusalem Israel,Waarabu Mecca Saud Arabia, Budha China,Hindu India, Ila Muafrika Mungu wao inategemea katawaliwa na Mkoloni gani. Muafrika ukimwambia Acha utumwa wewe tii mila za kwenu utasikia mimi siabudu Mashetani yaani anawaita Babu zake Mashetani.

Sasa Wazungu na Waarabu wanapigana eti Muafrika wa Kilindii Tanga Anaumia kasahau kabisa kuwa kokote utakapokwenda wewe Muafrika utabaguliwa na kuonekana Mtumwa.
Dah nimekukubali sana, watu wanaojitambua kama wewe ni wachache sana.
 
Kama kuna jamii ya watu wa ajabu ni Waafrica, ukitizama mitandaoni utaona namna gani watu wako busy kuitetea Izrael na Palestina, watu wanakosa usingizi kutetea SLAVE MASTER wao.

Kwa kifupi kama umepata nafasi ya kuisoma vizuri historia ya Africa juu ya biashara ya utumwa ambayo imefanywa na hii jamii ya watu weupe ambao mimi nawaita ni SLAVE MASTER wa Muafrica

Leo utakuta mtu mweusi (MTUMWA/SLAVE) anashupaa anaumia kisa (SLAVE MASTER) Palestina/Wayahud wanauawa.

Kihistoria biashara ya utumwa imefanyika miaka 400, na inakadiliwa watu miliomi 15 waliathirika na utumwa. Ukienda kwenye makumbusho, utaona kuwa katika misafara hiyo kuna watu walikufa njiani, wajawazito walizidiwa na kutupwa maporini na kuliwa na wanyama wakali, kuna ambao walizama baharini wakati wa safari.

Watoto waliozaliwa salama walitupwa maporini. Jiulize, katika watumwa milioni 15 ni wangapi waliuawa katika harakati zote za utumwa mpaka wewe Mswahili (SLAVE/MTUMWA) ukose usingizi kisa Wayahudi/Wapalestina wanauawana. Wewe Mswahili (SLAVE/MTUMWA) pambana na umaskini wako, acha SLAVE MATER wauwane wao kwa wao
Mimi mwenyewe nashangaa sana ....tatizo waafrica wengi ni maanithi wa akili...nilisha sema mimi nikisikia mmarekani kaua muarabu au muarabu kaua mmarekani kwangu ni furaha tu sina muda wa kuwasikitikia hao wote ni wahuni tu

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Kuna Mtanzania yasemekana anaweza kuwa nae katekwa na majamaa so Watanzania endeleeni kusema no one can stop Mtanzania ni student miaka 21
 
Ni ajabu mtu / Binadamu anachekelea au anaona havimuhusu sababu wanaouana au kuonewa sio rangi yake au watu wa jamii yake (anasahau wote ni Binadamu)

Ukijali justice na kupenda kutetea Haki popote pale no matter nani anafanya au anafanyiwa vibaya nadhani utakuwa umepiga hatua towards civilization.... (Bali ukibaki na fikra kama zako utakuwa hauna tofauti sana na viumbe vingine kule maporini; ingawa hata hivyo vina-collaborate as species)
Nasisitiza, vita ya SLAVE MASTERS haituhusu. Wewe Muafrica kwanza una umasikini, mlo mmoja shida, wanaouana huko wanatumia technolojia za hali ya juu ikiwemo mabilioni ya pesa, halafu wewe masikini unaumia?
 
Watu tunapinga mauaji yasio na umuhimu wowote ule. Maana kila binadamu hapa duniani ana haki yake ya msingi ya kuishi.

Hayo masuala ya utumwa, ni hekaya za Abunuwasi. Hatuwezi kuendelea kuwa na mawazo mgando kama hayo kwenye karne hii ya 21! Kama kuna mababu zako weusi walichukuliwa utumwa enzi hizo, tayari hiyo ni hisyoria ya kale.

Hata hao Wazungu, Waizraeli, Wakotea, Waarabu, nk nao wenyewe waliwahi kuchukuliwa utumwa na tawala zenye nguvu za wakati huo!! Lakini kwa sasa wenzetu wanawaza maendeleo. Na hawana akili mgando kama sisi, kila siku ni kulia lia tu huku tukiwalaumu wengine kwa ujinga wetu.
Hakuna kustaarabika, mbona wao tukiuana wanatuacha? Mfano vita ya Burundi, Vita ya Congo hadi sasa mapigano na vita yenyewe inachochewa na Wazungu ili waibe maliasili
 
Nasisitiza, vita ya SLAVE MASTERS haituhusu. Wewe Muafrica kwanza una umasikini, mlo mmoja shida, wanaouana huko wanatumia technolojia za hali ya juu ikiwemo mabilioni ya pesa, halafu wewe masikini unaumia?
Hivi unadhani mtu aliyepo vitani Palestina, Ukraine au wale Waafrica waliopo kwenye Ghettos USA, wana maisha bora kuliko wewe ? (Yet unaongelea Umasikini)

Au unadhani anayekunyima Chakula na Kuchezea Kodi yako hapa Directly ni huyo so called Slave Master ?

Hata aliyekumbwa na Slavery na Discrimination Directly alishawahi kusema....

And they Say its the White Man I should Fear, But its my Own Kind doing all the killing Here (and to put matters worse ni his own Kind waliomuua)

In short huo muda wa kuchukia watu na sio deeds zinapofusha binadamu na badala ya kujenga wote kama species tunaendelea kuharibu....
 
Back
Top Bottom