jaji chande

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Salum Mwalimu: Jaji Chande ametuonyesha viwango vya Kimataifa, Wote kwa pamoja tuseme 'Ever again kwa yaliyotokea Oktoba

    Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akizungumza Aprili 23, 2026 baada ya tukio ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 kuwasilisha na kukabidhi Ripoti yake kwa Rais Samia
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Jaji Chande juu ya mauji ya Oktoba 29 imeongeza chuki dhidi ya CCM na rais Samia maradufu

    Watu wamechukia sana kila kona na hata kila kitongoji cha taifa hili. Watu walishuhudia kwa macho yao kuwa maandamnao yalikuwa ni kwa ajli ya kupinga ufisadi, utekaji na nepotism. Leo inatoka ripoti ambayo imepikwa na mpishi ambae hata kupika hajui. Watu wamechukia sana. Na huko mbeleni...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je tume ya Jaji Chande imekidhi matarajio ya Watanganyika?

    Baada ya kusoma matokeo ya tume hapo juzi ni muda sasa wa kuipigia kura
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Inawezekana Samia aliwalenga zaidi ICC aliposema ripoti ya Jaji Chande ni mali ya Raisi na asitokee mtu wa kuidai

    Binafsi nafikiri hiyo ndio sababu kubwa ingawa mtazamo wa wengi ni kuwa anakwepa watu kuichambua na kuonyesha mapungufu yaliyomo katika hiyo ripoti. Inawzekana ICC wakaidai hiyo ripoti kabla ya kutoa uamuzi wao juu ya Samia na wenzake kama wsshitakiwe au laa kwahiyo wanakwepa /wanajihami
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ina maana TEC walikosa hata katekista kuwawakilisha kwenye report ya jaji Chande.

    Du Hawa jamaa kweli naona walijeruhiwa kweli kweli na Samia hawakutaka hata kusogea kusikiliza taarifa ya uongo. Maaskofu Catholic nawajua vizuri ni watu strict na wakali wamenyooka sana. Yale yaliyotokea kabla ya uchaguzi kwao nadhani walishakata kabisa kamba na serikali ya Samia..
  6. Ileje

    JamiiForums Tanzania Tume ya Samia ya Jaji Chande imefeli sasa Serikali iruhusu Tume Huru za Kimataifa

    Kama alivyojidai mwenyewe kuwa Tume ya Jaji Chande ni yake yeye Rais Samia na kwamba watu hawana haki ya kuihoji,sasa ni wakati muafaka wa kuruhusu kualika Tume Huru za Kimataifa kuja kufanya uchunguzi wa nini kilisababisha mauaji ya kimbari yaliyofanywa na polisi wakishirikiana na vyombo...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Jaji chande: Sababu za waliotekwa ni za nje ya siasa

    Mwenyekiti wa tume ya kushughulikia maandamano ya October 29 Jaji Chande amesema kupitia report yake hiyo kuwa wote waliohusishwa na kutekwa chanzo chake ni kwasababu ya mapenzi, madeni, ugomvi binafsi, uchawi ambazo ni nje na mambo ya kisiasa.
  8. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ripoti ya Jaji Chande: Maswali Mazito Baada ya Uchaguzi

    Kwa taarifa ya tume ya uchinguzi wa mambo yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa raisi wabunge na madiwani october 29.2025 na jaji chande imeonesha kuwa baadaya ya uchunguzi tume imebaini kuwa 1.Polis walikuwa kwenye vituo vya kupiga kura bila siraha. Sasa maswali mengi watu...
  9. 888I

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nilivyoielewa Hotuba ya Jaji Chande

    Hotuba ya Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, iliyowasilishwa Leo (tarehe 23 Aprili 2026), inatoa picha halisi, nzito, na ya kusikitisha kuhusu kile kilichotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Hapa chini ni mambo matano (5) ya niliyoyaona kutokana na...
  10. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Kulikoni ukurasa rasmi wa Ikulu ya Tanzania huko Instagram kuzuia maoni ya Watanzania wakati wa tukio la uwasilishaji wa ripoti ya Jaji Chande?

    Waliruhusiwa machawa wachache ku-comment ili sisi wengine tulipigwa pini tusitoe mawazo yetu wakati Jaji Chande alipokuwa anawasilisha ripoti yake ya mauaji ya MO29. Kulikoni Ikulu ya Tanzania kuwa waoga na maoni ya Watanzania kiasi hiko?
  11. Street brain

    JamiiForums Tanzania HAKUNA MAKABURI YA HALAIKI - JAJI CHANDE

    Tume ya uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, imesema hakuna ushahidi uliothibitisha kuwepo kwa makaburi ya halaiki katika eneo la Kondo, jijini Dar es Salaam. Hayo yameelezwa leo, Alhamisi Aprili 23, 2026 na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Othman Chande alipozungumza wakati wa halfa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Je, mpaka sasa ripoti ya Jaji Chande haiwezi kutumiwa na ICC kuanzisha uchunguzi?

    Baada ya ripoti hii kutoa idadi ya mamia ya watu waliouwawa Oktoba 29 , ICC si watakuwa wamepata sababu nyingine ya kuchunguza haya mauji ukizingatia hiyo idadi? Na kwa Samia mwenyewe kusema hadharani kuwa hiyo ripoti ni mali yake, ICC hawapati sababu ya kutilia mashaka hiyo ripoti? Muda utasema.
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA yaikataa rasmi Ripoti ya Tume ya Jaji Chande, yadai ni njama za kuficha ukweli, yataka uchunguzi wa kimataifa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinarejea msimamo wake wa awali wa tarehe 19 Novemba 2025 kutotambua mchakato mzima wa Tume iliyoundwa na Samia Suluhu Hassan, na kinapinga kwa ujumla wake ripoti iliyowasilishwa leo tarehe 23 April 2026 na Tume hiyo chini ya Jaji Mohamed Chande...
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Kati ya watu 758 waliopotea wengine walijiteka kutokana na sababu kama mapenzi, kukimbia madeni, uhalifu na kusafiri nje ya nchi

    Katika kipindi cha miaka mitatu, Jaji Chande amesema jumla ya raia 758 waliripotiwa kupotea katika mazingira ya kutekwa au kujiteka, ambapo 113 walipatikana huku 445 wakiendelea kutafutwa hadi sasa. Ameongeza kuwa sababu zilizobainishwa ni pamoja na masuala ya kimapenzi, imani za kidini...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande et al, mnasikiliza upande mmoja mnatoa hukumu bila kuwapa upande mwingine haki ya kusikilizwa while they are available to cross examine

    Probative value ya mahojiano/ ushahidi wenu na so called mliwahoji iko wapi bila kusikiliza upande mwingine! Nilisema mnajiletea aibu mkiwa retired Chief Justices
  16. McLaren

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Serikali irejeshe utaratibu wa wanaomaliza kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima

    Wakuu, Moja ya mapendekezo aliyoyatoa Chande leo wakati wa wasilisho lake
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Katiba Mpya inahitaji utulivu, tusiandike Katiba ya hasira, iundwe kamati kusikiliza maoni ya wananchi

    Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa mwaka 2029 pamoja na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030. "Maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane...
  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Katiba Mpya ipatikane hadi ifikapo 2028. Uchaguzi wa 2030 tuwe na Katiba Mpya

    Ameyasema hayo wakati akiwasilisha Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam ambapo Tume hiyo imetoa mapendekezo yake Mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande Serikali kuweka...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Katiba Mpya ipatikane kabla ya mwaka 2028

    Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa mwaka 2029 pamoja na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030. "Maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane...
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Utaalamu wa Jaji Chande: Ripoti Huru Oktoba 29

    Jukumu la Jaji Chande katika uchunguzi wa Lebanon lilihitaji uchambuzi wa kutoegemea upande wowote chini ya shinikizo. Utaalamu huo huo utahakikisha ripoti ya Tume ya Uchunguzi kwenye mtukio ya 29 Oktoba sio tu inaaminika bali inatolewa kwa kuzingatia sheria za ushahidi na kanuni za kibinadamu...
Back
Top Bottom