Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa mwaka 2029 pamoja na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2030.
"Maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane...
Jukumu la Jaji Chande katika uchunguzi wa Lebanon lilihitaji uchambuzi wa kutoegemea upande wowote chini ya shinikizo. Utaalamu huo huo utahakikisha ripoti ya Tume ya Uchunguzi kwenye mtukio ya 29 Oktoba sio tu inaaminika bali inatolewa kwa kuzingatia sheria za ushahidi na kanuni za kibinadamu...
Jaji Chande amesema kuwa tume imebaini kuwa kuhusu maridhiano na katiba mpya, tume imebaini kuwa matukio ya Oktoba 29 pamoja na changamo vimesababisha nyufa na majeraha kwa taifa hivyo maridhiano na muafaka wa kitaifa ni hatua muhimu katika kuponya majeraha, kurejesha amani, kuaminiana...
"Ile ni ngazi ya kwanza ambayo polisi tu, kwa sura yake na nguo alizovaa, inasambaza makundi yaliyokusanyika. Lakini yapo pia maeneo mengine kutokana na kiwango cha tishio kwa uhai wa askari au raia wengine, ililazimu kutumia hatua nyingine zile za juu, na ziko hatua sita.
Mfano, kituo cha...
Jaji Chande anasema tume ilipata taarifa ya mauaji ya watu 13 katika kibanda cha kuonesha video ambapo anasema kuna shahidi alisema wanaodhaniwa kuwa askari walivamia kibanda hicho na kuwapiga risasi waliokuwa kuwa ikiwepo pia manusura huyo, ambapo anasema tuhuma hizo ni nzito hivyo zifanyiwe...
Jaji Chande anasema katika ghasia za Oktoba 29, sekta ya fedha pia ilipata hasara ambapo kiasi cha tsh. milioni 627.7 ziliporwa na kuibiwa katika ATM za CRDB, NMB na NBC
"Lakini pia, Mheshimiwa Rais, kulikuwa na madai ya kuwepo makaburi ya halaiki. Kulikuwa na madai hayo kupitia vyombo vya habari vya kimataifa na mitandao ya kijamii kuhusu uwepo kwa makaburi ya halaiki eneo la makaburi ya Kondo, Kunduchi, Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Tume imefanya...
Ustadi wa Jaji Chande katika Sheria ya Kibinadamu ya Kimataifa, Sheria ya Wakimbizi, Sheria ya Jinai na Sheria ya Ushahidi unamfanya kuwa kiongozi bora siyo tu duniani bali eneo lote la Afrika Mashariki wa uchunguzi wowote muhimu unaohusisha hasara ya maisha na uwajibikaji wa serikali. Hii...
JAJI CHANDE AKIWASILISHA MUHTASARI WA RIPOTI YA TUME YA UCHUNGUZI
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman, akiwasilisha Muhtasari wa Ripoti ya Tume hiyo mbele ya Rais wa...
Jaji Chande amesema hayo wakati Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
"...Madhara ya kiuchumi. Madhara makubwa ya kiuchumi...
Wakuu
Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
"Kuna kijana mmoja, Usariva Harusha, mwenye umri wa miaka kumi na sita. Alishawishiwa, alipewa Shilingi elfu hamsini ashiriki, na walimuahidi—na kwa maneno yake—walimuahidi watampa Shilingi milioni tano akishiriki.
Na kwa ushahidi wake, anasema 'walinipa mchongo utakaonitoa kwenye umaskini'...
Jaji Chande amesema kuwa tume ilipokea madai kutoka kwa waathirika na watu wengine kuhusu watu kupigwa risasi, kujeruhiwa au kuuawa katika maeneo ambayo hayakuwa na ghasia na vurugu, na madai ya watu kupigwa risasi kwenye makazi yao ikiwa ni pamoja na ndani ya nyumba au sebuleni na ndani ya...
“...vilevile inawezekana kulikuwa na majeruhi ambao waliamua kutibiwa nje ya mfumo rasmi, na wakafariki bila taarifa zao kufikishwa panapostahili.
Tume pia ilipokea ushahidi na madai kuhusu watu kupotea au kutopatikana tangu wakati wa uchaguzi mkuu. Kwa kuzingatia ufafanuzi uliotolewa kwa idadi...
Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
Jaji Chande amesema kuwa imebainika makundi yaliyoshawishiwa ndiyo wahusika zaidi katika ghasia wakati wahusika wakuu na waratibu wa ghasia hawakuwepo kwenye maeneo ya matukio hali iliyochangia kutokamatwa kwao, huku wengi na waliokamatwa wakiwa na wananchi wa kawaida wakiwemo wafuata mkumbo, au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.