jaji chande

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande, sawa maandamano yalikiuka sheria. Sasa, jibu swali hili

    You might be sahihi as per my heading, kwa hiyo serikali ilikuwa na uhalali wa kuwaua waandamanaji wasio na silaha? na kuwazika in mass graves?
  2. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Mashahidi walikiri kupewa simu maalum kurekodi picha za maiti, na kupiga picha na magari ya polisi

    Vilevile mashahidi walioshiriki kufanya ghasia waliokuja mbele ya tume na kukiri kuwa baadhi yao walipewa simu maalum za mkononi na kupewa kazi ya kupiga picha na video za matukio. kama vile majeruhi na vifo au kupiga picha jirani na magari ya jeshi la ulinzi sambamba na picha za maeneo...
  3. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Kilichotokea siku ya uchaguzi mkuu hayakuwa maandamano ya amani yalikuwa ni ghasia

    Jaji Chande akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa matukio ya uchaguzi mkuu 2025 anasema hayakuwa maandamano ya amani bali ni ya ghasia. Anasema "Kilichotokea siku ya uchaguzi mkuu, Oktoba 25, hayakuwa maandamano ya amani bali yalikuwa ghasia yaliyoambatana na matokeo ya uvunjifu wa amani...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Jaji Chande: Chanzo cha Vurugu na Uchoche

    Jaji Chande VICHECHEZO 🚨Wanasiasa na wanaharakati walikuwa chanzo cha vurugu - vichochea mahsusi vilitumika na wanaharakati kufanya vurugu 🚨 Mitandao ya kijamii ilitumika kuchochea vurugu- content creators walichochea kutofanyika kwa uchaguzi 🚨Wanaharakati walitumia majukwaa kufanya vurugu...
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Kauli za wanasiasa kama 'No Reforms No Election', Oktoba Tunatiki/Tunatoka, Samia Must Go zilichochea watu washiriki kwenye vurugu

    Wakuu Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
  6. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Baadhi ya wanasiasa walitumia wananchi kuhamasisha vurugu

    Jaji Chande akielezea kuhusu vichocheo vya matukio ya Oktoba 29, 2025 amesema kuwa baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia changamoto za wananchi zilizotokana na vyanzo mbalimbali kama fursa ya kushawishi na kuchochea wananchi katika kushiriki katika ghasia kwa kutumia kaulimbiu na matamko...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande ameshatuangusha, kwamba hakuna utekaji unaohusisha wa kisiasa na serikali?

    Wakuu, Imeisha hiyooooo! Kwamba utekaji wa kina polepole, soka na wenzake, mdude na wenzake ilikuwa ni mambo ya kijamii na masuala ya madeni au wamejipoteza. Ndo maana anaishiwa na pumzi akiwasilisha hiyo ripoti, si hata Mungu aingilie kati hapa hapa🙄🙄.
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Baadhi ya Wanasiasa na wanaharakati walishawishi Wananchi kushiriki ghasia

    Jaji Chande amesema baadhi ya Wanasiasa na wanaharakati walishawishi Wananchi kushiriki ghasia
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Baadhi ya Wanaharakati walitumia changamoto za wananchi kuwachochea wananchi kushiriki vurugu za Oktoba 29

    Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam Soma Pia: Jaji Chande: Kauli za wanasiasa kama 'No Reforms No Election'...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Baadhi ya video zilikuwa halisi na nyingine zilitengenezwa kwa akili unde

    Uchambuzi wa video na picha ulikuwa sehemu kubwa katika uchambuzi wa tume, hususan katika kuelewa madhara ya kibinadamu. Jumla ya picha mnato 450 na picha mjongeo (video) 880 zilikusanywa kwa njia mbalimbali na baadhi zilikuwa zimesambazwa mitandaoni kwa zaidi ya mara moja." Picha hizi...
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Kwa mujibu wa Jeshi La Polisi watu 758 walipotea, watu 448 hawajapatikana

    Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
  12. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Vipo vyama vya siasa vichache na wanasiasa vilialikwa lakini hawakufanya hivyo

    Jaji Chande anasema kuwa kuna vyama vya siasa vichache, wanaharakati, wanasiasa na viongozi wa NGo wachache walioalikwa kufika mbele ya tume lakini hawakufa hivyo
  13. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande Uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29 asema 'picha baadhi zilikuwa halisi nyingine zilitengenezwa kwa akili unde'

    Jaji Chande akiwasilisha ripoti ya Uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29, anasema "Jumla ya picha mjongeo 450, picha mjongeo 880, zilikusanywa kwa njia mbalimbali na baadhi zilikuwa zimesambaa mitandaoni kwa zaidi ya mara moja. Picha hizi zilipatikana na ziliwasilishwa na mashuhuda wa matukio...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Kazi ya uchunguzi ilihusisha maeneo 202 yaliyoathirika zaidi

    Kazi ya uchunguzi ilihusisha maeneo 202 yaliyoathirika zaidi katika wilaya 21 na mikoa 11, tume pia ilitembea Zanzibar na Kilimanjaro kama sampuli ya maeneo ambayo hayakuwa na ghasia ili kujifunza mazingira yaliyosababisha hali hiyo Jaji Chande ameyasema hayo wakati akiwasilisha Ripoti ya Tume...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande na Ukweli wa Oktoba 29

    Jaji Chande ni nguli kweli kweli kwenye mambo haya!.. 🚨Tuna imani kubwa sana kuwa ripoti hii itaeleza ukweli wa nani alikuwa nyuma ya vurugu za 29 Oktoba 2025 🚨Kwa uzoefu huu wa Jaji Chande hatukuhitaji wazungu kuja kuchunguza mambo ya 29 Oktoba 2025 #UkweliOktoba29
  16. S

    JamiiForums Tanzania Moja ya mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande itakuwa ni kuachiliwa kwa wafungwa wote wa kisiasa mlengwa mkuu akiwa Tundu Lissu

    Huu ndio utabiri wangu huku Tundu Lissu akiwa ndio mlengwa mkuu ili tu isionekane ameshinda kesi ya uhaini bali ametoka kutokana na mapendekezo ya Tume. Pia, mtarajie habari ya maridhiano kupitiia hii tume. All in all, wajue hatudanganyiki.
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania Kaimu Balozi wa Marekani Andrew Lentz nae yupo Ikulu akisubiri kwa hamu ripoti ya Jaji Chande

    Namuona hapa Kaimu Balozi Andrew Lentz akiwa Ikulu akisubiri ripoti ya Jaji Chande Wachina na Warusi sijawaona hapa, au hii ripoti haiwahusu? ?
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uadilifu wa Jaji Chande na ahadi ya Tume

    Ushiriki wa washikadau na ripoti yenye lengo katika Sudan ilionyesha uadilifu wa Jaji Chande. Kwa Tume ya Uchunguzi, hii inamaanisha ripoti itakayotanguliza ukweli, uwajibikaji na kufuata sheria; hasa kile ambacho umma unastahili kupata.
  19. Kibanga Ampiga Mkoloni

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Ripoti ya tume ya haki - Jaji Chande

    MAPENDEKEZO YA TUME YA HAKI JINAI NCHINI YAANZA KUTEKELEZWA Kamati ya Kusimamia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Kurekebisha Mifumo ya Haki Jinai nchini imekutana na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wanaowakilisha nchi na taasisi zao nchini. Kamati hiyo imewahakikishia...
Back
Top Bottom