jaji chande

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania JasusiTV: Usijibu wala kutuma picha au ujumbe wowote kwenye namba ilizotoa Tume ya Jaji Chande. Ni mtego wa kukamata na kupoteza mashahuda wa mauaji!

    https://youtu.be/7u6YDxC_wp0?si=rbyQ6-9B0eqvLoXY Wanatumia kila mbinu kujaribu kumwokoa Samia dhidi ya uhalifu wa kibinadamu (mauaji) waliyofanya 29/10 hadi 3/11/2025.... Hakuna ubishi wowote kuwa ushahidi unawaelemea na hatia ya kuua iko shingoni mwao imewakaba koo..... Mkakakati ni kutafuta...
  2. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Tume ya Jaji Chande kutaka kumsaidia Hangaya dhidi ya mauaji ya Mo29

    KUTOKA kwa Hilda Newton Baada ya kuona watu wamegoma kwenda kutoa maoni sasa wameanza kufuata watu inbox. Mnataka watu waje kutoa maoni ili mumsaidie Idd Amin Mama kujua mashaidi ambao anajua wataenda kumkaanga ICC ili awamalize kabla kesi haijaanza. Kwanza si Idd Amin Mama keshawambia...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Kupinga Tume Ya Jaji Chande kusikilizwa Desemba 12

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam Ijumaa hii ya Desemba 12.2025 majira ya saa 08 mchana inatarajiwa kusikiliza kesi Na. 30210/2025 iliyofunguliwa na Mwanaharakati Rosemary Mwakitwange na wenzake wawili (2) ambao ni Mawakili Deogratias Mahinyila na Edward Heche dhidi ya...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa hotuba ya Rais Samia bado Tume ya Jaji Chande ina kazi gani iliyobaki?

    Rais Samia Suluhu Hassan amewahutubia wazee wa Dar es Salaam leo Desemba 2. Kiini cha ujumbe wake kilikuwa ni maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025. Kwa kiasi kikubwa hotuba yake ni kama alikuja kutema nyongo iliyomjaa kifuani pake. Ameeleza chanzo cha maandamano na vurugu zilizoanza Oktoba...
  5. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya kuchunguza mauaji ya oktoba 29, chini ya Jaji Chande iwe wazi live mubashara

    Utamaduni wa Tume kufanya kazi kwa siri haufai, hasa ikiwa inafanya kazi kuichunguza serikali Tume ya Jaji Chande kuhusu yaliyotokea Oktoba 29, 2025 hadi November 3 , 2025 inapaswa kuwa wazi mubashara umma ifuatilie katika vituo vya televisheni, radio na YouTube. Ila toka hatua ya kwanza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Kuhusu mgongano wa kimaslahi kwa Dkt. Stergomena kuwa kwenye Tume isiwape tabu, wote tumekula kiapo

    Akijibu swali la mwandishi kuhusu uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax, kujiunga na tume ya kuchunguza yaliyotokea wakati wa uchaguzi pamoja na kuwepo kwa tuhuma kwamba Jeshi analolisimamia lilihusishwa na mauaji ya waandamanaji, mwenyekiti wa tume...
  7. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia unatupoteza muda na kufuja pesa za walipa kodi, tume ya haki Jinai ya Jaji Chande ilimaliza kila kitu

    Tume ya Haki Jinai iliyoongozwa na Jaji Othman Chande iliyozunguka nchi nzima mwaka 2023 ilimaliza kila kitu. Ilishauri mambo mazuri sana ambayo kama yangefanyiwa kazi, utekaji, wasiojulikana, changamoto za mahakama zetu pamoja na haki zingine za raia zingekuwa hazibagazwi na kubanagwa kama...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Wananchi hawana imani na taasisi zinazotoa haki

    Siku tatu baada ya Tume ya Kutathmini Mfumo wa Haki Jinai ianze kazi yake, imesema Tanzania kuna mmomonyoko na upungufu wa imani za wananchi kwa taasisi zinazotoa haki. Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti, Jaji mstaafu Mohammed Chande na Makamu wake, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Wananchi hawana imani na taasisi zinazotoa haki

    Siku tatu baada ya Tume ya Kutathmini Mfumo wa Haki Jinai ianze kazi yake, imesema Tanzania kuna mmomonyoko na upungufu wa imani za wananchi kwa taasisi zinazotoa haki. Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti, Jaji mstaafu Mohammed Chande na Makamu wake, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jaji Othman Chande: Hakuna sababu ya Matokeo ya Urais kutopingwa Mahakamani

    Jaji amesema nchi haitapungukiwa chochote ikiwa itaruhusu watu binafsi na wagombea kupinga matokeo ya Urais Mahakamani. Ameongeza kuwa "ukishasema kwenye Katiba kwamba Mahakama ndiyo Mamlaka ya mwisho ya Kisheria, basi mzozo wowote unapaswa kufika kwenye Mamlaka hiyo ya mwisho ya kisheria"...
Back
Top Bottom