Geneva, Uswisi: Msimamizi maalumu wa Umoja wa Mataifa (UN), Gina Romero, ameisifu Tanzania kwa kuunda Tume huru ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba, kuwa ni uthibitisho kujali haki za binadamu.
Gina aliisifu Tanzania mjini Geneva, Uswisi, Machi 12, alipofanya majumuisho ya mada kuhusu: Ukweli na...