jaji chande

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Jaji Chande ni hatua moja mbele, Imepooza Tu, Haijakata Kiu!. Kazi Bado Ipo!, Tunyamaze Tuu na Kusubiria, au Tuseme Kitu na Tufanye Kitu?

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo nikiizungumzia Ripoti ya Jaji Chande ni hatua moja mbele, ripoti hiyo imepooza tuu kiu ya kujua kilichotokea, ila haijakata kiu ya alyetoa amri ya kutumia risasi za moto ni nani, vifo vyo 518 ni vifo halali vya haki?, wauwaji ni...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Bongo Zozo awavaa vikali Jaji Chande na Jaji Juma kusema video za Oktoba 29 ni za Gaza! Acheni uongo!

    Bongo Zozo ameonyesha kusikitishwa na kukasirika baada ya Tume ya Chande kutoa ufafanuzi wa Ripoti yao ya matukio yalitokea Oktoba 29, 2025 kusema video za matukio zilikuwa zimechakachuliwa na zakutengenezwa na nyingine nikutoka Gaza. Bongo Zozo ameonyesha kusikitishwa akisema ni uongo uongo...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hivi Jaji Chande Othman hana kadi ya CCM?

    Ni maelezo ya kuwalinda watawala wa CCM wala sio ripoti ya uchuguzi. Jinsi watu walivyokuwa wanamiminiwa mijegejo kama Rambo yupo Vietnam halafu tunapewa maelezo kama haya Jaji Chande uwe na aibu basi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Aliyeimba Wajinga ndio watatiki na kisha kutekwa, alipatina?. Jaji Chande naomba msaada maana kutekwa na kupotezwa ni suala la kawaida sana kwako

    Jamaa aliachia mzinga wa reggae kali sana. Kisha akaja kuchukuliwa kama kuku na kupotezwa. Je, alipatikana?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Upo ushahidi waliopigwa risasi nje ya ghasia sebuleni, yapo majina yametajwa waratibu na waliopeleka fedha

    Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Si kazi ya Tume kumtia mtu hatiani au kutamka kijinai

    Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande ameyasema hayo leo Aprili 28, 2026 wakati Tume ya Jaji Othman Chande ikitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya ripoti hiyo iliyowasilishwa mbele ya Rais Samia mnamo Aprili 23, 2026
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Paul Mella: Matukio ya Oktoba 29 yametoa somo kubwa kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Balozi Luteni Jenerali Paul Mella akizungumza wakati Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ikizungumza na Waanadishi wa Habari, amesema tukio la Oktoba 29 limetoa funzo kubwa kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama na kwamba vitakuwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Hata Marekani watu wanapotea

    Jaji chande ameyasema hayo leo, Aprili 28, 2025, wakati akizungumza kwenye mkutano wa tume ya uchunguzi na waandishi wa habari kuhusu matukio ya Vurugu za Oktoba 29, 2025 kabla na baada ya uchaguzi Mkuu.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Suala la Upoteaji linatukera hata sisi, hata Ulaya watu wanapotea

    Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026
  10. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Hakuna tume duniani imekutana ana kwa ana na watu 6205 kwa siku 153. Tume hii tumekutana na watu hao

    Jaji Chande ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29, ameyasema hayo Leo, 28 Aprili 2026 Jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa tume ya Uchunguzi wakati na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29 2025 na waandishi wa habari. Jaji Chande amsema kuwa kwa siku Tume ya uchunguzi...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande azungumza na Wanahabari Aprili 28, 2026

    Jaji Chande kuzungumza na wanahabari leo April 28, 2026, atakuwa mubashara kupitia vyombo vya habari saa nne na nusu asubuhi. Ikumbukwe wakati akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa Tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa wa amani wakati na baada ya uchaguzi aliahidi kuzungumza na wanahabari...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Prof. Kabudi kufafanua Ripoti ya Jaji Chande kesho tarehe 28/04/2026?

    Nimeona hii taarifa katika akaunti ya mtandao wa X wa Maria Sarungi akiwa ameweka tangazo linalotoa hiyo taarifa. Nimeleta hii habari kwa style ya kuuliza kwasababu kwakeli nimeshindwa kuamini hii taarifa. Yaani taarifa itolewa na Jaji Chande halafu ufafanuzi wake utoleww na Prof Kabudi...
  13. E

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asasi za Kiraia: Hatukubali pendekezo la Tume ya Jaji Chande kuunda chombo kingine kuchunguza

    Akizungumza leo Aprili 27 katika mkutano wa asasi za kiraia 14 zilizotoa msimamo kuhusu Tume ya Jaji Othman Chande, Mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu chaa Dr es Salaam, Dk Azaveli Lwaitama amesema hawakubaliani na pendekezo la tume hiyo kutaka iundwe tume nyingine ya kuchunguza jinai, badala yake...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Madeleka: Mimi namuamini Rais Samia kuliko Jaji Chande

    Wakili Peter Madelekea amesema akiambiwa anamuamini nani kati ya Rais Samia na Jaji Chande yeye atasema anamwamini Rais Samia Mimi siwezi kumuamini Chande kwa sababu vyanzo vya taarifa vya Chande haviwezi kuwa sawa na vyanzo alivyokuwa navyo Rais, watu wamevuka mpaka Rais anatuambia kutoka nje...
  15. E

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asasi za Kiraia: Tume ilitumia taarifa za Polisi ambao nao wanatuhumiwa kuua waandamanaji

    Halima Somda - THRDC Asasi za kiraia na taasisi za watetezi wa haki za binadamu 14 leo Aprili 27 zimekosoa ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Amani wa Oktoba 29, 2025 wakitaka kuundwa kwa tume huru ya kimataifa na kuwalipa fidia waathirika wa vurugu hizo. Tume hiyo inayoongozwa na Jaji...
  16. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bongo Zozo anamzidi akili Jaji Chande(?) Common sense must prevail

    Jaji Chande na Tume yake imegeuka kuwa toilet paper ya utawala. Common sense must prevail.
  17. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mimi binafsi riport ya Tume ya Jaji Chande naona kama wamepoteza kodi zetu kuandaa ujinga

    Unaweza kudanganya lakini huwezi kudanganya miaka yote hiyo tume imepoteza kodi zetu na kuja na riport ya kijinga namna ile ? Uliona wapi mtu ambae ndo anatuhumiwa kwa mauaji anaunda Tume ya kujichunguza? Kwenye hiyo Tume...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Napinga pendekezo la tume ya Jaji Chande la kurudisha na kurasimisha mfumo wa nyumba kumi, haufai

    Jaji Chande katika mapendekezo yake ya kuimarisha usalama na uzalendo alikuwa anaongea mambo ya ajabu ajabu sana ikiwemo kuhakikisha vijana wote wanaenda JKT na kurudisha na kuimarisha mfumo wa nyumba kumi. Sababu alizozitoa ni za ajabu sana , zisizo na mashiko kama sio za uongo, kwamba eti...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Imekidhi Haja Kutoa Idadi ya Vifo 518, ila Bado Haijakata Kiu!, Aliyetoa Amri Kutumia Za Moto ni Nani?!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe, Jumapili ya leo. Leo, nimeizungumzia Ripoti ya Jaji Chande kwa kuwa mtu wa shukrani, kushukuru kwa hiki kidogo ili tupatiwe kikubwa!. Asante Jaji Chande Kwa Ripoti Yako, Japo Ripoti Imekidhi Haja, ila Haijamaliza Kiu!. Asante kwa Kutoa...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Wananchi tunaipongeza ripoti ya Jaji Chande kwa uwazi ukweli na uadilifu. Sasa ni wakati wa kuponya siokubezana na kukejeli

    Wananchi wote wa Tanzania kwa dhati ya moyo wetu tunaipongeza Ripoti ya tume ya uchunguzi chini ya Mwenyekiti Jaji Chande, hakika imekata kiu ya watanzania. Sasa kilichobaki ni upande wa Serikali yetu chini ya Dkt. Samia kufanyia kazi mapendekezo yaliyo tolewa na tume.
Back
Top Bottom