Hivi Jaji Chande Othman hana kadi ya CCM?

Hivi Jaji Chande Othman hana kadi ya CCM?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,627
Reaction score
9,975
Ni maelezo ya kuwalinda watawala wa CCM wala sio ripoti ya uchuguzi.

Jinsi watu walivyokuwa wanamiminiwa mijegejo kama Rambo yupo Vietnam halafu tunapewa maelezo kama haya

Jaji Chande uwe na aibu basi.

image_search_1777389580196.webp
 
Jaji Chande ni mmoja wa watu wenye uwezo mdogo wa akili miaka yote. Hawa ni wale ambao walipewa nafasi kwa sababu tu baba yao aliisaidia TANU.

Watu wa aina hii ni wengi ktk madaraka ya nchi hii. Hao akina Riziwani, akina Wanu, Akina Mchengelwa. Hata ukiwaangalia usoni ni watu wa zero-brain!
 
Mwenzie huyu Augustino Ramadhani alitaka hadi kugombea urais kwa ticket ya CCM.

Ndio inapokuja ile kauli aliyoitoa Lissu kuwa majaji ni MaCCM kwa sababu hawakurudisha kadi za CCM baada ya 1992.

Hivyo sio Chande tu hata Said Mwema ni CCM kama alivyo IGP mwenzie mstaafu Simon Sirro.

20260428_032900.jpg

20260428_032859.jpg
 
Mwenzie huyu Augustino Ramadhani alitaka hadi kugombea urais kwa ticket ya CCM.

Ndio inapokuja ile kauli aliyoitoa Lissu kuwa majaji ni MaCCM kwa sababu hawakurudisha kadi za CCM baada ya 1992.

Hivyo sio Chande tu hata Said Mwema ni CCM kama alivyo IGP mwenzie mstaafu Simon Sirro.

View attachment 3580927
View attachment 3580925
Huyu Mzee pamoja na kufariki kwake, ndiyo mtu sahihi anayepaswa kulijibu hili swali. Na ukija kwa mapolisi na kwenyewe jaribu kuwaangalia makamanda wastaafu! Wapo ambao waliwahi kuwa wenyeviti wa ccm Mkoa!
 
Naam CCM ni kansa iliyoanzia tangu ngazi ta chini hivyo nguvu kubwa inahitajika kuitibu nchi kutokomeza kansa hii.
 
Back
Top Bottom