Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,834
- 6,263
Bongo Zozo ameonyesha kusikitishwa na kukasirika baada ya Tume ya Chande kutoa ufafanuzi wa Ripoti yao ya matukio yalitokea Oktoba 29, 2025 kusema video za matukio zilikuwa zimechakachuliwa na zakutengenezwa na nyingine nikutoka Gaza.
Bongo Zozo ameonyesha kusikitishwa akisema ni uongo uongo kabisa huku akihoji Gaza kuna watu weusi?
Soma Pia: Jaji Juma: Kuna Matukio ambayo tuliletewa kama ya Oktoba 29 lakini wataalamu wakaonyesha video zimechakachuliwa ni za Gaza
Hakika Bongo zozo amendelea kuonyesha mapenzi yake kwa Tanzania na ameona haya yanayoendelea hayana nafasi kabisa na awezi kuwa mnafiki au chawa wa serikali hii isiyohalali