ipi

The Kumeyaay, also known as Tipai-Ipai or by their historical Spanish name Diegueño, are a tribe of Indigenous peoples of the Americas who live at the northern border of Baja California in Mexico and the southern border of California in the United States. Their Kumeyaay language belongs to the Yuman–Cochimí language family.
The Kumeyaay consist of three related groups, the Ipai, Tipai and Kamia. The San Diego River loosely divided the Ipai and the Tipai historical homelands, while the Kamia lived in the eastern desert areas. The Ipai lived to the north, from Escondido to Lake Henshaw, while the Tipai lived to the south, in lands including the Laguna Mountains, Ensenada, and Tecate. The Kamia lived to the east in an area that included Mexicali and bordered the Salton Sea.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Biashara ipi ya vyakula na nafaka mfano ndizi za kupika, inaweza stawi kwa mtaji wa laki 7?

    Habari wa ndugu, Napenda ulizia ni biashara ipi inaweza stawi na kukua kwa mtaji wa kiasi cha shillingi laki 7, biashara yenyewe au ujasiliamali wenyewe uwe ni mkoa wa kilimanjaro. Maana nilikuwa na wazo la kununua ndizi mbichi nizipeleke Dodoma kwa mtaji wa laki 7. Karibuni.
  2. JamiiForums Tanzania Ukisikia Paah Vs Mchuzi wangu ipi Collabo kali?

    Wanangu wa Hip hop naweka mtanange hapa, kati ya hizi collabo mbili zilizo umiza kipindi hicho. ipi ni collabo kali ? Ukisikia paah ya JCB original + Remix VS Mchizi wangu ya Nako2Nako original + Remix Nataka kuona collabo itakayo ibuka kidedea hapa
  3. JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu wa Form Four kozi ipi yapasa nisomee na ajira zake bado zina patikana?

    Mimi ni mwanafunzi nilie maliza kidato cha nne naomba kuulza ni kozi ipi nzuri ya ajira naweza kusomea na ikawa rahisi kuajiriwa au kujiajiri yani ambayo bado ina fursa nzuri za ajiraa.
  4. JamiiForums Tanzania Hospitali ipi nzuri ya mama mjazito kujifungulia kwa Arusha?

    Hospitali gani nzuri kwa mama mjamzito kujifungulia kwa mkoa wa Arusha?
  5. JamiiForums Tanzania Tamasha hili linajenga mahusiano kati ya Tanzania ipi na Zanzibar ipi?

  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Nichague kozi gani na chuo gani kati ya hizi?

    Heshima mbele wadau, Kuna mtoto wa sister namsapoti kachaguliwa masomo ngazi ya cheti (certificate) kozi hizi; 1. IFM (Dar) - Certificate in Taxation 2. Mzumbe University (Moro) - Certificate in Law 3. Chuo cha Utumishi wa Umma Dar (TPSC) - Certificate in Records and Archive Management 4. Chuo...
  7. JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

    Kwa Jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM (T) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 17 Mfungo Sita 1436 9 Januari 2015 TAMKO LA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM TANZANIA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI KWA WATANZANIA WOTE, JUU YA MUSWADA WA MAREKEBISHO YA...
  8. JamiiForums Tanzania Ni lini Tanzania nayo itashiriki kombe la dunia la wanawake na mpira wa pete(Netball)? Michezo ni sekta muhimu kiuchumi kwa taifa

    Leo hii timu ya mpira wa miguu ya Hispania imeshinda kombe la dunia la wanawake mjini Sidney nchini Australia baada ya kuifunga timu ya Uingereza goli 1-0. Goli la Hispania lilifungwa na Olga Carmona baada ya kupewa pasi maridhawa na Mariona Caldentey. Hispania wamecheza mchezo kabambe khasa wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mamlaka ipi inajukumu la kufuatilia nyendo za Rais wa Tanzania na kumwajibisha.?

    Wataalamu. Mimi siyo mwanasheria. Napenda kujuzwa kwa Tanzania ni mamlaka ipi ina wajibu wa kufuatilia mienendo ya Raisi ili pale anapo kosea aambiwe au kuwajibika? Tumeshasikia huko kwa wenzetu Raisi anaweza kufikishwa mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka. Mfano jacob zuma, Trump etc...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Je, ni biashara ipi nzuri kwa mtaji mdogo?

    Changamoto kubwa katika jamii yetu kwa sasa ni AJIRA hasa kwa vijana, watu wamemaliza vyuo wakiwa na degree nzuri na matokeo mazuri lakini wako mitaani, hakuna ajira pia serikali yetu kila kukicha ni "Kujiajiri". Kwa maoni ni biashara ipi mtu anaweza kuanzisha akiwa na mtaji mdogo kabisa kama...
  11. JamiiForums Tanzania Wenye ufahamu kozi ipi nzuri

    Ndugu zangu mliowahi kusoma, wenye uelewa na ufahamu mnisaidie kozi ipi inalipa sana na ajira bora kati ya Marine & Refrigration engineering na water suppy & sanitation engineering.
  12. JamiiForums Tanzania Makampuni nataasisi ya kifedha hizi sms za mikopo za kaz ipi

    Nimepokea sms ya kutakiwa kujiandaa nikakopeshwe is as if Hawa watu wanajua mshahara umeongezeka. Yaani utafikiri nina miadi nao. Jamani nina mikopo mingi Sana slip inakaribia kujaa. Nyie watu hizi sms zenu Sina stua Sana. Haya mambo yaacheni bana
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kazi yako kubwa inayokuweka mjini ni ipi?

    Nmechoka kuficha ndugu zangu mimi kazi kubwa mjini nabeti hakuna kingine uboss wote nautolea hukoo kwenye igaming jamani, Ni pata potea hapakaliki kivumbi uko kwenye maslots mpaka ugali upatikane...😆😆😆 Niambie slot yako moja unayoipenda na inapatikana kampuni ipi. Je ushindi wako mkubwa pia...
  14. JamiiForums Tanzania Kati ya advance na chuo ipi njia nzuri zaidi?

    Kati ya kwenda hge hgk au kwenda chuo course ya bussness administration au human resource qu accountancy ipi ni bora zaid naombe msaada
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ipi tofauti kati ya Suluhu na Sare?

    Kuna watu huwa wanachanganya sana haya maneno. Kwamba ni ipi tofauti ya maneno Suluhu na Sare? Kwa mujibu wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA), Maneno yote haya mawili yanazungumzia matokeo katika mchezo ambayo ni ya bila kuzidiana, matokeo ambayo ni sawa. Yaani, timu moja na nyingine kuwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana ipi

    Wakuu habari Kuna binti mmoja nilikuwa na mfukuzia mwezi wa nne sasa, ni mdada anafanya kazi bandarini Field ya shipping. Lakini Jana nimeongea nae kwa Simu kwa mara nyingine Nikamwambia namuhitaji I need to build relationships then marriage soon as possible lakini jibu alilonipa leo asubuhi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Maduka ya vifaa vya uvuvi kama engine mwanza yanapatikana mitaa ipi?

    Jamani maduka ya vifaa vya uvuvi kama mashine mwanza yanapatikana mitaa gani?
  18. P

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania ipi tunaitaka?

    Serikali nyingi duniani zinapambana kuwaletea wananchi wake maendeleo. Viongozi wa serikali ya Tanzania nayo hawapo nyuma katika kuhakikisha watanzania wanakuwa na maisha bora. Jitihada hizo zinaonekana. Swali ambalo huwa najiuliza ni Tanzania ya aina gani watanzania wanataka? Katika utafiti...
  19. JamiiForums Tanzania Masharti gani ya ajabu umewahi kupewa na Mwenye Nyumba wako?

    Salamu wakuu, katika maisha wengi tuna pitia au tume pitia mengi, na hasa ukija katika swala la upangaji. 👉Hapa ndo huwa kuna vilio au malalamiko mengi, kutoka pande zote. - Iwe mwenye nyumba au mpangaji. 👉Mimi nili wahi ambiwa ni mwiko kujitenga na wapangaji au familia ya mwenye nyumba😁...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ipi ni bora kati ya Subaru forester (Isiyo na turbo) na Volkswagen Tiguan, zote za 2010?

    Habari wakuu, Utamshauri mtu anunue gari ipi kati ya gari hizo mbili kwa kuzingatia vigezo vya mazingira ya miundombinu ya barabara zetu, hali ya kiuchumi (kipato cha kati) na upatikanaji wa mafundi wa kueleweka na vipuri. Subaru forester Volkswagen tiguan
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…