Wadiz
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 5,413
- 11,065
Katika maisha ya kiroho tuna Imani zetu, na pia katika uumbaji kila binadamu ana mwili, nafsi na roho vyote vina upekee katika mmoja mmoja.
Kadri maisha yanavyosonga ndivyo na mazuri yenye furaha na mabaya yenye makwazo pia yanaongezeka au kuzaliwa mapya au kufanyika kwa namna mbalimbali.
Najaribu kuwaza katika maandiko hali ya kutosamehe na roho za visasi mzizk wake ni nini, na suluhisho lake ni lipi?
Katika muktadha wa kiimani ikoje na kimalezi ikoje?
Na katika utofauti na makundi ya watu Hawa ni watu wa aina gani, au ni watu kukosa nini hasa katika nyanja ya maisha ya binadamu na kiimani.
Na je dini zimeangazia hali hii na tiba yake inakuwaje. Hasa ukizingatia vyanzo vya mwanadamu kukosewa au kukwazwa ni vingi mno.
Karibu majemedari katika kudadavua hii maada.
Maswali mengine yatatokana na namna comments zilivyo.
Shukrani 🙏🙏🙏