inawezekana

  1. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapungufu ya mfumo wa Elimu ya Tanzania yalivyonifanya niteseke kwa zaidi ya miaka 7

    Inawezekana ikawa mfumo wa elimu Tanzania ni mzuri kwa wengine Ila kwangu mimi mfumo huu unamapungufu mengi Na ulinifanya niteseke kwa miaka 7 nikitafuta maisha. Nitasimulia Hadithi ya maisha yangu . Mimi nimezaliwa mkoa wa Kagera ,wilaya Ya Bukoba vijijini.Nimesoma Elimu ya msingi mwaka...
  2. Dodoma Demand

    JamiiForums Tanzania Orodha ya makabila ya Tanzania

    Hii orodha ya makabila ya Tanzania inaweza kuwa na matatizo kwenye majina kadhaa, kwa sababu mbalimbali. Orodha hii inatokana na orodha ya lugha za Tanzania inayopatikana katika Ethnologue, pamoja na tovuti nyingine Archived 22 Agosti 2006 at the Wayback Machine.. Inawezekana kwamba baadhi ya...
  3. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Inawezekana shauku ya kufanya tofauti na mtangulizi wake ndiyo inayomponza?

    Ni swali ambalo linaweza kuwa na majibu ya ndio na sio kutokana na hali halisi. Alipoingia tu madarakani 'kwa kudra' kama alivyojinasibu, alifanya mabbadiliko mengi kwa haraka na pengine kwa kutaka kuridhisha kundi dogo la watu wenye maisha bora maarufu kama wawekezaji. Huku watanzania wa hali...
  4. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mtoto aliyezaliwa na maambuki ya HIV kukaa hadi miaka 5-7 bila kuonyesha dalili yoyote

    Wanabodi.. Naomb kuuliza, je inawezekana mtoto aliyezaliwa na maambuki ya HIV kukaa hadi miaka 5-7 bila kuonyesha dalili yoyote ya kiafya na hatumii dawa yoyote? Huwa inachukua muda gani mtu kuanza kuonyesha dalili za kuwa na maambukizi? Je, mtu anaweza kukaa hata miaka 5-10 na hutumii dawa na...
  5. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuna mtu anamchagulia Rais Samia watendaji wa Serikali

    Kwa mtindo wa uteuzi wa watendaji wa serikali inaonekana Samia kuna watu wanamchagulia nani awe pale na nani asiwe pale. Inachoknekana Samia hana utashi wake wa uchaguzi nani awe mtendaji flani wa taasisi fulani, wanamchagulia. Ni jambo la kusikitisha kwamba Rais Samia chaguzi zake zote ni...
  6. The MoNA

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kweli?

    Wasalam ndugu zangu wa Tz na waafrika wenzangu. Nimesoma kuhusu NAFSI ambayo ni pumzi aliyopuliza Mungu kwa mujibu biblia kwetu sisi watu. Nimekuja kwenu kupata ufahamu zaidi kuhusu NAFSI. 1. Je, inawezekana kweli binadamu kukosa NAFSI na akawa anaishi? Au 2. Nafsi inaweza kufungwa na...
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Jichunguze; inawezekana mahusiano uliyonayo yanatokana na nguvu ya mzizi

    Mwezi uliopita, nilienda kumtembelea mpenzi wangu wa zamani Kahama; baada ya kufika, nikatafuta sehemu nzuri ya kupumzika. Nikamjulisha sehemu nilipofikia; na baada ya muda akawa amefika. Tukaweza kupasha kiporo, na mambo mengine yakaendelea. Sasa katika kubadilishana mawazo, akanisihi sana...
  8. dirtyboy

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana mtu aliye ishia kidato cha pili na kufaulu kujiunga na QT

    Habari za wakati huu wana JF. Kuna bwana mdogo mmoja alifanikiwa kusomo hadi form four lakini kabla ya kusajiliwa kufanya mtihani wa mwisho akapatikana na kesi iliyo mpelekea kufukuzwa shule 2019. Kwa sasa anatamani kufanya mtihan wa form four ili aweze kufata ndoto zake. Swali ni je, anaweza...
  9. mweatu

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupata kazi Serikalini kwa kutuma maombi pasipo kazi kutangazwa?

    Ndugu wanajamvi, habarini za majukumu. Kutokana na wimbi la uhaba wa ajira na hasa ajira za Serikali, baadhi ya vijana wameonekana kukata tamaa juu ya ajira hizi za serikali. Wengi huwa tunaomba kazi za serikali pale zinapotangazwa na hatujawahi kubahatika kuajiriwa. Najaribu kufikiria kutuma...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?

    Wanabodi, Kwanza sio kila kitu ni siasa, vitu vingine ni hoja za kikatiba, Sheria, taratibu na kanuni. Ukileta hoja specific, hakuna ubaya kujifagilia ubobezi wako katika eneo husika. Mimi Paskali Mayalla, japo ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia nilisomea sheria...
  11. Mr.Wenger

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kubadili chuo kwenda Advance?

    Habari zenu wakuu! Kuna dogo alipata division 2 form 4 lkn post zilizotoka leo amepangiwa kujiumga na chuo cha CBE kozi ya Marketing. Dogo hataki kwenda huko chuo, anataka kwenda advance akapige PCM. Je inawezekana serikali kumbadilishia post akapige hiyo PCM au ni mpaka aende private school...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekana yanga akamaliza ligi bila kufungwa

    Ndivyo ilivyo kwa maana asilimia 90 ya mechi ngumu kamaliza, Namungo, Azam, Simba, kmc,geita gold, hizo zote amepenya, sasa amebakiza asilimia 10 tu kwa biashara, mbeya city na dodoma jiji, Pongezi kubwa kwa kamati ya usajili msimu huu walijitahidsana👏👏👏👏👏
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni ya Dkt. Slaa, inawezekana Ben Saanane na wengine walitekwa na kupotezwa na Chadema

    Kuna vitu vingine ni bora kukaa kimya badala ya kuongea, kwa kuwa unapoongea watu wataweza kujua kina cha busara zako kama ni kirefu au kifupi sana. Katika maisha, ni bora kukaa kimya watu wadhani una busara, kuliko wewe kudhani una busara ukaongea hadharani na kufanya hata wale waliodhani una...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Geoff Lea wa EFM ndiye aliyeandika zile habari za Abdi Banda

    Nimeangalia interview ya huyu kijana na online tv ya south africa nimebaki na maswali lukuki kwanza kikawaida kwenye vipindi huwa anajifanya mnazi sana wa ligi ya south africa na viingereza vyake vya uongo uongo kiukweli kanishangaza sana. Kama kweli Abdi Banda analalamika hakuongea na ule...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuongeza makato ya mkopo benki?

    Habarini! Najua kuna kila aina ya wataalamu humu. Nauliza kuna uwezekano wa kuongeza makato yako benki ikiwa mdaiwa umeamua hivyo? Yaani labda ulikuwa unakatwa 200,000 kwa mwezi, sasa umepanda daraja labda na unataka kilichoongezeka kiende ktk makato yako ili umalize haraka deni (ukatwe...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Inawezekana watu waliokimbia nchi wanashindwa kurudi kwa sababu Bashite bado Yuko uraiani, na hajachukuliwa hatua?

    Watu kadhaa waliondoka nchini kusalimisha maisha yao, na wamekuwa na hofu kwamba watu waliowasababishia madhila hawajachukuliwa hatua, wako mtaani, na wamekuwa wakitoa wito wa kuhakikishiwa usalama ili warudi. Baada ya kumwaga maji mengi kwenye shimo la nguchiro, hewa imekata, nguchiro mmoja...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kujifunza pikipiki Kama hujui kuendesha baiskel?

    Wakuu Nina miaka 30 now skuwahi kujifunza baiskel Kama vijana wengine kwa sababu za kiumaskin nk. Naomba kuuliza je inawezekana kujifunza pikipiki bila kujua kuendesha baiskel? Kuna aliewahi jifunza pikipiki ile Hali hajui kuendesha baiskel? Huna haja ya kukejeli kuwa mpole
  18. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Hii inawezekana kweli wanajukwaa?

    Kwa sababu ya ugumu wa ajira serikalini na private sector. Je inawezekana mwanachuo kuwa masomoni huku pembeni akawa anasoma ka ufundi stadi Kama kakujiegeshea kusaka pesa punde anapomaliza chuo huku akiisubir hio ajiri Kama unafahamu he Ni koz gani ambazo hazi tumii mda mrefu na haziwezi...
  19. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kabisa kuachana na Social media?

    Habari za usiku huu, Nauliza hivi Inawezekana kweli kwa Kijana kama mimi( Mr.Kiokotee) kwa huu Utandawazi nikaishi kama nipo kolomije huko bila kutumia mtandao wowote wa Kijamii yaani nitumie Simu ya kitochi tuu kupiga na kupokea baasi. Kwa mbinu gani hili litawezekana?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Samaki kufa kwa kinyesi na mkojo wa ng'ombe inawezekana ,lakini samaki wa mto mara wamekufa kwa sababu hiyo?

    Wasalaaamu ndugu , jamaa na marafiki wa JF . Haika nawathamini sana. Kila mmoja wetu amepata kushituka kwa taarifa ya wasomi wetu nguli wa mambo ha mazingira kwa kusema samaki katika mto mara wamekufa kutokana na kinyesi na mikojo ya ng'ombe. Kabla ya kupinga au kuunga mkono majibu ya tafiti...
Back
Top Bottom