Je, inawezekana kufanya mtihani wa ACSEE kama Private Candidate kwa mtu mwenye diploma au degree?

Surveyor_1

Member
Jan 2, 2022
48
29
Habari wana JF,

Karibuni nataraji kujiunga na diploma ya computer science,nimelazimika kusoma diploma kutokana na majukumu yangu kwa sasa japokuwa form four nilifaulu vizuri tu namshukuru mola.

Swali langu ni kuwa, je naweza kufanya mtihani wa ACSEE kwa baadae kama private candidate sawa ntakuwa na diploma au shahada?

Kwa kuwa kwa baadae nataraji kusoma kozi zingine za engineering na napenda nianzie bachelor na siyo diploma na kwa ujuzi wangu ni kwamba hilo linawezekana kama ntakuwa na na chetu cha ACSEE

Naombeni ufafanuzi
 
Yes is possible the only qualifications ni kuwa na Credit tatu katika cheti chako Cha Form four

Naona hizi harakati Ni za kulamba Asali ya boom 600k and nothing else
 
Back
Top Bottom