huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Kazi kwenye miradi mbalimbali huwa wanapataje?

    Wakuu mwema. Kuna miradi mingi inaendelea hapa mjini Dar es salaam. Kuna mwendokasi maeneo mbalimbali wanatengeza. Kuna barabara za mitaa zinajengwa maeneo mbalimbali, lakini yote hii huwa naona watu wakishiriki ujenzi huo (vibarua). Sasa huwa najiuliza huwa wanapataje hizo nafasi, kuna...
  2. Wazazi wanaoshangaa ama kukataa kuamini watoto wao kuanza mapenzi chini ya miaka 18 huwa wanajifanya hawajui ukweli au kudhani umri huo bado mtoto?

    Na ndio maana elimu ya uzazi hupewa tangu tulipokuwa darasa la saba na huko sekondari form 3, ni sababu wengine wanakuwa washaanza kufanya ama kushawishiana kuanza michezo hii. Binafsi nakumbuka shuleni kwetu darasa la sita mwaka 2004, darasani wengi tulikuwa na miaka 12 hadi 14, wengine...
  3. Kwanini huwa Sichoki Kusikiliza Nyimbo hizi Tamu mbili za Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana?

    1. Liberation 2. Serge Palmi Kama Wewe ni Mpenzi wa Miziki ya Congo DR hasa Bendi yangu pendwa na tukuka ya Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana na hujazisikiliza hizi Nyimbo Mbili Tamu katika Album ya TITANIC basi una bahati mbaya na hupaswi kuwa Mdau wa Congolese Music. Na Utamu zaidi wa hizi...
  4. Hivi wazazi wanaolipaga polisi wawapigie watoto wao huwa wana lengo lipi?

    Nyumba unakuta ina baba lakini cha ajabu wanamlipa polisi eti aende kutoa hukumu Nachojua suala la kutoa displini huwa linafaa zaidi mzazi ndio ashughulikie tena iwe kwa lengo la kumfunda mtoto na si kumuumiza. kwa maana hii ni kwamba ukimkodi mtu akuchapie mtoto wako, impact huwa ni ndogo...
  5. Goli la kwanza ndiyo huwa tamu kuliko magoli yote kwenye sex hayo mengine huwa ni mbwembwe tu

    Ndugu zangu hivi kuna goli tamu kama la kwanza? Sisi wanaume huwa tunaenjoy sana goli la kwanza baada ya hapo huwa tunajitutumua tu kuweka heshima. Vivyo hivyo kwa wanawake au nakosea dada zangu?
  6. Ikiwa umekasirishwa sana huwa unafanya nini kupunguza hasira yako?

    Wakuu kwema, Kama mada inavyojieleza, huwa unafanya nini kupunguza hasira yako ikitokea umekasirishwa sana ili usilete madhara kwako na kwa uliyemkasirikia? Maana waliosema hasira hasara hawakukosea, mtu akiwa hasira anaweza kufanya chochote na kujuta baadae kwa kitendo alichofanya. Mimi...
  7. Hivi hawa walinzi wa viongozi huwa wakoje kwenye mahusiano?

    Kuna siku kiongozi mkubwa wa nchi alikuja eneo letu, sasa wale mabodigadi wanaovaa miwani Black wanaokaa nyuma ya viongozi nikakutana nae wakati wa chakula, akanielewa tukapeana number. Ila since then kila siku ana number mpya, nashindwa kumuelewa kama yuko really au ndio kupotezeana muda?
  8. D

    Ukiwasikiliza hawa watu kila mtu ana hoja ya msingi sana, shida huwa hatukubali kukubaliana katika kutofautiana

    Binadamu anapozaliwa huwa kakusudiwa aishi miaka mingi hata buku lakini harakati zake za maisha ndiyo huanza kuipunguza hiyo miaka taratibu au kwa mpigo! Anyway! Tuachane na hilo turudi kwenye hoja ya hawa watu! 1. Wanandoa: Ukiwasikiliza wanandoa kwa makini vile wanazungumza umhimu wa ndoa...
  9. Hii nguvu si mchezo: Kitenge, Zembwela na Hando wapewa escort ya ving'ora Dubai

    Nani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima. Leo walikuwa wanawahoji watanzania ambao wanafanya kazi hapo bandari ya Dubai...
  10. Mimi huwa nina tabia moja ya kumchunguza mwanamke kabla ya kumtongoza

    Mimi huwa nina tabia moja ya kumchunguza mwanamke kabla ya kumtongoza Ni muhimu kutambua kwamba kila mtu anao haki ya kujisikia salama, kuheshimiwa, na kuthaminiwa katika mahusiano ya kimapenzi. Hata hivyo, ni muhimu kufahamu tofauti kati ya kumchunguza mwanamke kwa njia nzuri na ya heshima na...
  11. Huwa naachana na watu kisa kukoroma siwezi kabisa

    Basi ashampoo sasa hivi si nimerudi mjini kuna pisi nimekutana nayo tiktok shape kali sana tukachat kama week mbili hivi ikanielewa mimi mzee wa mashape ndo ugonjwa wangu. Pisi ilikuwa Singida nikakomaa nikatuma 80000 ije Dar tuonane. Nimeipokea ikaja kwangu hadi naandika uzi huu...
  12. Ukiwa safarini ni jambo gani huwa hupendi litokee katika safari yako?

    Mimi huwa sipendi kukaa na abiria anayesinzia na kunilalia begani. Wewe huwa hupendi jambo gani?
  13. Hivi kwanini Watanzania huwa tunarudia makosa yale yale miaka nenda rudi.

    Ndugu zangu mnajua fika rasmilimali pekee tulizonazo ambazo tungekuwa na viongozi wenye maono zingetutoa kwenye umasikini,Madini,mbuga (utalii),bahari & maziwa na bandari. Taarifa zinaonesha Rais Mstafu Mkapa alibinafisisha Migodi ya madini ya dhahabu ya Mkoa wa Geita & Mara,Mgodi wa...
  14. Ukatili kwa watoto: kwanini madrasa huwa ni kawaida kuambatana na vipigo kwa watoto, walimu hawana mbinu mbadala kuwafunza?

    Post hii sio ya ligi ya ukristo vs uislam, Tupeane elimu na ushauri namna ya kujenga awareness kwamba kinachofanyika ni ukatili na tushauriane mbinu nzuri mbadala. Hii ni video ikionyesha mfano wa hali iliyozoeleka katika baadhi ya madrasa na wala si jambo geni, adhabu wanayopata watoto ni...
  15. Ni rahisi mwanamke kutaka wapime kabla ya sex ila ni ngumu kwa wanaume kupendekeza hivyo, tatizo ni nini?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Huwa ni rahisi sana kwa mwanamke anapopata mwanaume au anapotongozwa na mwanaume na kumkubalia kuomba kabla ya tendo la kujamiiana wapime kwanza hasa Ugonjwa wa Upungufu wa Kinga Mwilini(UKIMWI) ila huwa ni ngumu sana kwa mwanaume anapomtongoza mwanamke...
  16. Huwa unampongezaje mtoto wako akifanya kitu cha kukufurahisha?

    Hello Africa, Kwangu mimi huwa namuita na kumpongeza kwa maneno mazuri sana, zaidi huwa namfanyia kile kitu ambacho anakipenda sana, mwisho wa siku my son anakuwa mtoto mwema sana nampenda sana mwanangu.
  17. Ananiambia nijipange, kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

    Huyu binti inawezekana kabisa nikaachana naye so soon kama hatokuja na majibu sahihi. Tume date muda kiasi na nlimwambia misimamo yangu toka mwanzo. Anafanya kazi nami nafanya kazi. Hakuna issue ya kupeana pesa. We share. Mimi sihongi hata siku moja. Tunapendana, basi tunakubaliana kupeana...
  18. K

    Kwanini kila event ninayohudhuria huwa napewa 'first-class treatment'?

    Wakuu, mimi ni mtumishi wa umma tu mwenye kamshahara ambako hakazidi 1.3m take home. Mpaka naandika uzi huu kuna issue inanisumbua, pamoja na kwamba kwenye mamlaka ninayofanyia kazi kuwa me ni mtumishi wa ngazi ya chini kabisa but nimekua nikipata first class treatment kulinganisha na wenzangu...
  19. Mawaziri ambao sielewi wanafaya nini japo wizara zao ni muhimu sana

    Hello This is a very good afternoon to everyone. Nije kwenye kiswahili. Hii nchii toka Mwamba toka Chato aondeke Mawaziri wamekuwa ovyo sana. Zipo wizara ambazo zina umuhimu mkubwa sana katika nchi yetu kwa mstakabili wa kukuza uchumi lkn wala hao mawaziri sijawahi kuwaelewa nini wanazifanyia...
  20. Kwanini watanzania wanapuuza ndugu zao kwenye shida zinazowaua, lakini huwa na umoja misibani?

    Inaweza kuwa mtu hana chakula, kaomba msaada wa chakula kwa kaka, dada au ndugu zake lakini bila bila, afe sasa !! hata kama msiba upo mtwara, ndugu waliopo kagera watafika na kuchangia . Inaweza kuwa ni ugonjwa, mgonjwa kaomba msaada wa matibabu lakini anafungiwa vioo, ni mpaka afe ndio ndugu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…