Hivi kuna watu wanaojua huwa inafanywaje?

Mbogo_beichee

Senior Member
Mar 31, 2021
175
482
Habari za muda huu wadau. Mim swali langu ni fupi tuu.

Kwa mtu anaejua em apate kutufahamisha, labda kutokana na experience zenu tunaweza kujifunza.

Hivi imeshawai kukutokea njia panda kwamba kuna siri unaijua kuhusu mfano wanandoa halafu unajua ukisema ndoa inaweza kuvunjika na usiposema kuna kitu kibaya kingine kitatokea?

Mfano ukimfumania Shemeji/wifi yako anachepuka utaenda kumwambia kaka/dada yako? Vipi baada ya kumwambia wakaachana na kuna watoto labda. Na usipomwambia, vipi huyo anaechepuka akaleta magonjwa (ukimwi) kwenye familia, na kuna watoto wanaowategemea labda.

Em tupeni ujuzi wenu wadau hapa tunafanyaje?
 
Muda mwingine ni kufanya hamsini zako tuu wanasema

Baya lisilokudhuru ni sawa na jema lisilo na faida
 
Wifi/shemeji akichepuka naenda kusema kwa dada/kaka yangu bila kujiuliza mara nane nane
Ikitokea vice versa nakausha
Kuna shoga ako kufa kupona alimuona jamaa ako akichepuka na akakausha na tena akamwambia jamaa ako amle ili asikuambie
 
Habari za muda huu wadau. Mim swali langu ni fupi tuu.

Kwa mtu anaejua em apate kutufahamisha, labda kutokana na experience zenu tunaweza kujifunza.

Hivi imeshawai kukutokea njia panda kwamba kuna siri unaijua kuhusu mfano wanandoa halafu unajua ukisema ndoa inaweza kuvunjika na usiposema kuna kitu kibaya kingine kitatokea?

Mfano ukimfumania Shemeji/wifi yako anachepuka utaenda kumwambia kaka/dada yako? Vipi baada ya kumwambia wakaachana na kuna watoto labda. Na usipomwambia, vipi huyo anaechepuka akaleta magonjwa (ukimwi) kwenye familia, na kuna watoto wanaowategemea labda.

Em tupeni ujuzi wenu wadau hapa tunafanyaje?
Mimi nakuongeza Situation..

Wewe ni Daktari amekuja Shemeji yako kupima (Ambaye ni mchumba wa kaka yako au Tuseme mchumba wa mdogo wako) umemkuta na maambukizi ya Ukimwi..Bahati mbaya na nzuri Bado kama wiki moja wafunge ndoa kila hatua imeshakamilika ila tu bado hawajafanya chochote..

Kumbuka wewe umeshakula Viapo vya kutosha vya kutotoa siri ya Wagonjwa..

Utafanyaje Ili kaka ako akubali kumpima..
Kumbuka kaka yako anamuamini sana Yule demu kuliko.yoyote yaani vipimo ndo Vitamthibitishia
 
Habari za muda huu wadau. Mim swali langu ni fupi tuu.

Kwa mtu anaejua em apate kutufahamisha, labda kutokana na experience zenu tunaweza kujifunza.

Hivi imeshawai kukutokea njia panda kwamba kuna siri unaijua kuhusu mfano wanandoa halafu unajua ukisema ndoa inaweza kuvunjika na usiposema kuna kitu kibaya kingine kitatokea?

Mfano ukimfumania Shemeji/wifi yako anachepuka utaenda kumwambia kaka/dada yako? Vipi baada ya kumwambia wakaachana na kuna watoto labda. Na usipomwambia, vipi huyo anaechepuka akaleta magonjwa (ukimwi) kwenye familia, na kuna watoto wanaowategemea labda.

Em tupeni ujuzi wenu wadau hapa tunafanyaje?
Wewe zungumza ukweli. huo ndiyo ukweli useme.. Mwanafalsafa mmoja alisema kuwa kujaribu kuficha ukweli ni sawa na kujaribu kufichaz jua.
 
Back
Top Bottom