huwa

Albu Huwa (also: Albu Hawa, Qaryat Albu Hawa) is a village in Iraq, which is located in the Al Anbar Governorate south of the city of Fallujah and north of Amiriyah Fallujah, in a loop of the river Euphrates.In 2016, during the Siege of Fallujah, there was intense fighting in the area between the Iraqi army and ISIL militants. There were reports that 2,000 families were trapped in two villages, Albu Huwa and Hasai, and used as human shields.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    Utenguzi: Rais Samia ametengua Uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

    Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    Tuambie huwa unanyoa mtindo gani wa nywele na kwanini?

    Kuna mitindo mbalimbali ya unyoaji wa nywele za kichwani. Kuna panki, kipara, mtindo wa nywele saizi ya brashi, kuna mtindo wa nywele za kuota (low cut) nk Tuambie wewe huwa unanyoa mtindo gani, na kwanini unapenda mtindo huo?
  3. NetMaster

    Mnaotosheka na MB 300 hadi GB 1 kwa siku huwa mnaweza vipi?

    Matumizi Yangu GB 2 hadi 3 kwa siku, Hapo nipo bize na shughuli zangu sio kusema kwamba ninashinda mitandaoni, mara nyingi net natumia zaidi usiku. Hivi vitu huwa natumia bila kujibana whatsapp - kutuma au kudownload video ama picha, video calls, n.k. Youtube - huwa nastream kwa ubora wa juu...
  4. LIKUD

    Kwanini Watanzania huwa wana "feel at home" mara tu baada ya kuingia USA?

    Sababu kuu inaweza kuwa nini wadau? how comes mtu upo kwenye "strange land" but still you feel at home. Hata ' home sickness' hakuna! Mimi sababu ninazo zihisi ni 2, mosi ;kwa sababu mhusika anakuwa tayari yupo Marekani kiakili (mentally) kwa muda mrefu so anapo fika Marekani physically...
  5. R

    Hivi madereva huwa hamtuoni kwenye zebra tukisubiri kuvuka?

    Wakuu, Leo ni zamu ya madereva kuwa kwenye kiti cha moto:D. Medereva mnakwaza sana kwenye kipengele hiki. Mtu anaweza kukaa muda mrefu kwenye alama za kuvukia (zebra crossing) huku wenye vyombo vyao wanapita tu utafikiri hawaoni mtu. Tena ukiwa peke yako ndio kipengele zaidi, utakaa hapo...
  6. Expensive life

    Wekeni kumbukumbu sawa bingwa ngao ya jamii ndio huwa bingwa wa ligi kuu bara

    Msije sema sikuwaambia bingwa ngao ya jamii ndio huwa bingwa wa ligi kuu.
  7. matunduizi

    Kwanini historia ya dunia inaonyesha watu wa visiwani huwa wana uwezo mkubwa wa utawala kuliko watu wa bara?

    mfano 1: JAPAN Ilikuwa na uwezo mkubwa na ikatawala kuanzia China, Korea, na viunga vyote vya maeneo jirani na nchi hizo. Hakuna aliyefurukuta. 2: Watu wa Visiwa vya uingereza, enzi zao walitawala karibu dunia nzima. Hadi kukawa na msemo, Uingereza jua halizami, wakimaanisha likizama huku hata...
  8. The Burning Spear

    Maaskofu huwa hawarushi jiwe gizani!

    Kuna watu huwa wanasema maaskofu wanapiga kelele. Wanapinga hiki na hiki, subiri nikwambie, ninavojua hawa jamaa ni intelligent enough. Wanajua in/out zote na huwezi kuwachenga kwa lolote lile. Na wakishasemea jambo huwa hawarudi mara kwa mara ila wewe mwenyewe utaona matokeo. They never speak...
  9. Teslarati

    Hela za bila shortcut huwa hazisahau zilipopitia hata ufilisike vipi, lazima zitarudia njia yake siku moja

    Niamini mimi, Achana na hela za bahati, za waganga au za kurithishwa na kupewa, kwa uzoefu wangu hizo hela zikipotea ndo zimeenda huwa hazirudi. Lakini kwa mtu mpambanaji kweli kweli hata kama akiteleza akapoteza kiasi kikubwa cha utajiri wake basi hela zitakumbuka njia yake siku moja na...
  10. M

    Hivi mwezi huu biashara ya stationery huwa inaenda slow?

    Ndugu zangu habari zenu, Mimi ni kijana wa miaka 29 ninajishughulisha na biashara ya stationery maeneo ya buza uswahilini sasa naona changamoto imeanza wiki hii mambo ni magumu: mauzo yapo hafifu sana Nipeni mbinu basi nini NIFANYE AU NITUMIE NJIA ZIPI MAANA NIMEPANGA KWENYE FREMU
  11. The Burning Spear

    Kama Dollar inapanda kila siku Nchi huwa inalipaje Mikopo kutoka Mashirika ya Kimataifa

    Nimejaribu kufuatilia trend ya kupanda kwa dollar inshort inasikitisha na sijui tunaelekea wapi.... Wakubwa fedha zao nyingi zipo interms of dollars ko wanazidi kufurahia tu. Na pale awamu mmoja ya uongozi inapoingia na nyingine kutoka kuna uchakachuaji mkubwa sana wa kupanda kwa dollar...
  12. B

    Nimewaza nikaona kuwa Tanzania huwa tunaingia mikataba iwe mizuri au mibaya kipindi karibu na Uchaguzi.Je kuna uhusiano?

    Nimekuwa nikisikiliza maoni ya watu mbali mbali wasomi, wazalendo, wa chama tawala na wa vyama vingine pia. Wanazuoni na wananchi wa kawaida. Kwa ujumla kihistori na kwa haraka haraka mikataba mingi ya inayohusu Rasilimali za Taifa na Watanzania huwa inaingiwa kipindi karibu na Uchaguzi. Bado...
  13. Liu Yun

    Mchumba wangu huwa hataki nimpigie simu wala SmS bosi wake wa kiume akiwepo

    Mimi na mchumba wangu tuna mahusiano ya miezi 5, anafanya kazi katika familia ya watumishi wa selikali nikimaanisha baba na mama ni wafanyakazi serikalini. Shida ni kwamba bosi wake wa kike asipo kuwepo akawepo wa kiume huwa hataki tuchati wala kupigiana simu (Hasa usiku) , akidai hataki boss...
  14. GENTAMYCINE

    Wenye Magari si huwa mnatutambia kuwa mna hela, sasa kwanini mnalalamika kupanda kwa bei ya mafuta?

    Na nyie ndiyo mnaongoza kuja na gari zenu Mitaani kutuibia Wake na Mademu zetu huku mkitamba na Kutucheka tusio na Magari. Yaani EWURA wamepandisha Tsh 400/ tu kwa kila Lita ya Mafuta mnaanza Kulia lia. Hovyo kabisa hivi mwenye Hela huwa analia lia? Akina GENTAMYCINE tunaopanda Dala Dala Kutwa...
  15. J

    Wale Vipanga wa Form 4 & Six wanaokuwa kumi bora huwa wanakwenda wapi? Wangetusaidia kwenye kesi za Usuluhushi

    Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi hivi hawa vijana wanaoshika nafasi za juu kwenye matokeo ya kidato cha Nne na Sita ambao kimsingi huwa na ufaulu wa Division 1.7 kwa Form Four na 1.3 kwa Form 6 huwa wanaishia wapi? Kwasababu najua kuna wengine huwa wanasoma Sheria, kwanini wasingekuwa...
  16. My Honest Book

    Mwanaume unaefuga kucha huwa unazitumia vipi?

    Kichwa kimenyooka bila shaaka, asee mimi naongea na wewe mwamba unaefuga kucha yaani kucha ndefu mkono mzima hua mnayatumia vip. Au huwa mnafeel vipi mkijiona na izo kucha wazee, mimi nimejaribu kuiona hii hali ya kawaida ila imekua ikinikata sana nikiona hii kitu
  17. W

    Kofia ndogo wanazovaa Wayahudi huwa zina maana gani?

    Nawaona sana wanavaa hao jamaa; watu wa kawaida hadi viongozi. Ina maana gani kuwa vidogo vile?
  18. Webabu

    Kule TMA huwa wanatazamanaje siku utabiri ukienda kinyume?

    Kazi ya utabiri wa hali ya hewa ni muhimu kwa maendeleo ya taifa ndio maana serikali ikaanzisha idara maalum ya utabiri wa hali ya hewa. Ni wazi kuwa kazi ya idara hii ni kutabiri tu na wala si kutoa amri hali ya hewa iweje kwenye maeneo tofauti ya taifa letu.Mimi tu kama mwanadamu huwa napenda...
  19. D

    Kazi kwenye miradi mbalimbali huwa wanapataje?

    Wakuu mwema. Kuna miradi mingi inaendelea hapa mjini Dar es salaam. Kuna mwendokasi maeneo mbalimbali wanatengeza. Kuna barabara za mitaa zinajengwa maeneo mbalimbali, lakini yote hii huwa naona watu wakishiriki ujenzi huo (vibarua). Sasa huwa najiuliza huwa wanapataje hizo nafasi, kuna...
  20. R-K-O

    Wazazi wanaoshangaa ama kukataa kuamini watoto wao kuanza mapenzi chini ya miaka 18 huwa wanajifanya hawajui ukweli au kudhani umri huo bado mtoto?

    Na ndio maana elimu ya uzazi hupewa tangu tulipokuwa darasa la saba na huko sekondari form 3, ni sababu wengine wanakuwa washaanza kufanya ama kushawishiana kuanza michezo hii. Binafsi nakumbuka shuleni kwetu darasa la sita mwaka 2004, darasani wengi tulikuwa na miaka 12 hadi 14, wengine...
Back
Top Bottom