Mwambieni huyo Mgaigai ( Mshamba ) wenu wa Kikongo kuwa Suti huwa haichomekewi anaharibu na anaboa sasa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,023
Halafu mwambieni kwa huo Upuuzi wake ambao kuna baadhi ya Wapuuzi wanaufurahia Kibiashara anaweza akawa anajifungia Milango ya kupata Endorsements nyingi na Watu serious na akaishia tu kupata hizo Fedha za Magodoro yenye Kunguni na Vyura ndani yake na Kumiliki hilo Gari ambalo anadhani ni lake wakati kumbe Kadi inasoma ya Tajiri wa Masaki.

Sasa hivi Wanaume tumeamua Kiberenge cha Kulia Rasta Mvutaji wa Dar es Salaam na cha Kushoto Rasta Mvutaji wa Harare. Mbona mtatukoma safari hii.

Ujumbe

Kumfungia Mlango Mtu aliyebarikiwa vingi na Mwenyezi Mungu ni kupoteza tu muda wako na kuonyesha ni jinsi gani ulivyo na Roho Mbaya, Mnafiki na mwenye Wivu wa Kishamba.
 
Back
Top Bottom