Ni nani huwa anafaidika na maelfu ya mamba nchini? Je, huwa wanaliwa?

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Hii mada haihusiani kabisa na huyo mamba wenu mkubwa.

Mimi nataka kujua tu hawa mamba maelfu kwa maelfu huwa wanamnufaisha nani?

Je, huwa wanaliwa?

Ila wao kila mwaka wanajeruhi watu kibao. Kwa nini isiwepo operation ya kuwaua?
 
Je huwa wanaliwa?

Kwani nani ananufaika na uwepo wako wewe hapa duniani?

Mamba na wanyama wengine wote wananufaikaje na uwepo wako katika hii dunia ?
 
Hakuna kilichoumbwa na Mungu ambacho hakina manufaa kwa mwanadamu.
Watu ndo wanawafuata mamba (Ni uchokozi) katika himaya zao mtoni, ziwani, n.k.
.....Je huwa wanaliwa?
Ndio. Ni kitoweo safi sana. Ila usiguse nyongo yake hata kidogo.
 
Kwani nani ananufaika na uwepo wako wewe hapa duniani?

Mamba na wanyama wengine wote wananufaikaje na uwepo wako katika hii dunia ?
Mamba na wanyama wengine wote wananufaikaje na uwepo wako katika hii dunia ?
Mhhh! Hapo bwashee naona hukumbuki hata kuku,mbuzi na ng'ombe wanachungwa na kujengewa mabanda na kuongozwa na binadamu malishoni/wanahifadhiwa? Je, si wananufaika na uwepo wa binadamu hapa duniani? 😁
 
Hii mada haihusiani kabisa na huyo mamba wenu mkubwa.

Mimi nataka kujua tu hawa mamba maelfu kwa maelfu huwa wanamnufaisha nani?

Je, huwa wanaliwa?

Ila wao kila mwaka wanajeruhi watu kibao. Kwa nini isiwepo operation ya kuwaua?
mbona binadamu tupo wengi sana!!!!..kwa nini isiwepo operation za kutuua>??
 
Back
Top Bottom