JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,924
- 9,373
Inadaiwa aliyehukumiwa kwenye ile kesi maarufu ya wafanyabiashara ya madini yupo Uraia kitambo tu.
Je, alikata rufaa tena baada ya rufaa ya kwanza kushindwa!? Jinsi ile kesi ilivyokamata vichwa vya Habari inawezekana aliyekutwa na hatia na kuhukumiwa "kunyongwa mpka kufa" akatoka jela bila taarifa kuvifikia vyombo vya Habari!?
Na kama alitoka Kwa msamaha mbona haijawahi semwa!?