Msanii Sean Combs aka Pdidy huenda akaachiwa huru

Sweet16

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
6,152
Reaction score
11,209
Huyu mwamba unaambiwa baada ya upelelezi wa kina kufanyika imebainika kesi alisingiziwa hakuna ukweli wowote!

Swali la kujiuliza je yale mafuta ni kweli aliyaweka ndani na kwa minajili gani? Nikawaza au ni figisu za wazungu kuwafanyia watu weusi kuwadidimiza kimziki na kiuchumi? Na je? Ikiwa ni kweli alisingiziwa 5cent atakuwa na lipi la kusema😛

Na waliotoa shuhuda kunyanyaswa itakuwaje🙈 aibu naona mimi au walilipwa kiasi gani wamchafue, na kama kasingiziwa hiyo fidia atayopewa ni budget ya Tanzania miaka buku😝
Screenshot_20260725-012734_Instagram.jpg
 
View attachment 3636333
Maswali yote ya nini unajiuliza haya?

Hata hapa bongo, kwani kushinda kesi ndiyo kutofanya kosa?

Mbinu na mianya ya kisheria inayomfanya mtu ashinde kesi hakumfutii uhusika katika matendo halisia aliyoyafanya.
 
Kapunguziwa mda wa kukaa nyuma ya nondo siyo kwamba ataachiwa kama unavyodai wewe

Kuhusu mashitaka jamaa yeye mwenyewe alikiri kushiriki huo uchafu na akaomba msamaha kwa mama yake akidai kamwangusha mama yake kutokana na malezi aliyopata kutoka kwa mama yake hakutakiwa baadaye kuwa mjinga kiasi hicho
 
Back
Top Bottom