hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Mgumba anayejielewa anahitajika awe na sifa hizi

    Habari wanaJF Kichwa kimejieleza hapo juu ni jambo serious kwa huyu ndugu yetu kwani siku zote ukweli humweka mtu huru na amethubutu kuniweka wazi. Ni mjomba wa miaka 36 lakini amejikuta anapitia changamoto nzito sana katika mahusiano yake kisa matatizo yake ya uzazi(ugumba). Mimi sio...
  2. Zee la michongo

    JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye hizi digital items tupige mchongo

    Habari wakuu Kumekucha sasa mwenye hizi digtal items anicheki chap SHART AWE ANAJUA KIINGEREZA PIA ZIWE OLD ACCOUNT OLD UK ,DUBAI,OR UAE REMITLY AU TAPTAP ACCOUNT LETS WORK TOGETHER
  3. H

    JamiiForums Tanzania Hizi ni fikira chanya za manabii/mitume wa Kiafrika wasiokubalika nyumbani kwao AFRIKA,tuziweke hapa:-

    BOB MARLEY:- "How can you be sitting there Telling me that you care That you care? When every time I look around, The people suffer in the suffering In every way, in everywhere Say, na-na-na-na-na (na-na, na-na!) We're the survivors Yes, the Black survivors" WAKE UP AFRIKA!
  4. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanakuja JamiiForum kuchukua namba za watafuta ajira ili wawatapeli , so kuweni makini kuna hizi namba polisi zifatilieni wanatapeli vijana.

    +255613784064 +255610186092 Naomba Jeshi la polisi mzifatilie hizo namba wanadai wapo mbeya . Wakiona MTU anatafuta ajira wanachukua namba wanampigia na kumwambia wana Kazi /ajira Ila wanamwambia achangie hela ya Vitu vifutavyo -Form elfu 40K -Chumba elfu 20K Ukiangalia watu Kama hawa...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi iphone 17 zitakazo toka mbona kama siwaelewi

    Iphone 17 itatambulishwa tarehe September 12, 2025. Naona kampuni imejiweka sana na kamera kuliko lolote.
  6. aise

    JamiiForums Tanzania Ulinzi ni mwingi sana pande hizi

    Kama unavyoona, ulinzi ni mwingi sana pande hizi!
  7. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania TV4Sale TV ZINAUZWA HIZI CHAGUA IKUFAAYO

    Habari wana jf...hizi tv hapa pichani zinauzwa..bado mpya hazina shida yeyote rising inch 39 ni tsh 300000 tu Boss smart tv inch 43 ni tsh 450000 tu kwa mawasiliano 0627474141 au 0773474141 zipo ilala dar es salaam sababu ya kuziuza ni kuwa zilitakiwa kutumika katika kibanda umiza kwa ajili...
  8. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Hizi abaya zinawatia uchizi wake zetu

    Wakuu...wife wangu leo nimeamini ya kuwa ni kweli bado mtoto sana...asubuhi ya leo amegoma kwenda msikitini,amegoma kupika kisa abaya. Iko hivi anadai abaya zilizopo ni za mwaka jana na zimepitwa na wakati,,nikamuuliza unataka kuiharibu bajeti niliyoipanga kwa muda mrefu...saivi utoe laki ya...
  9. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo bei mpya za vifurushi vya DStv kuanzia kesho April mosi 2025, Umejiandaaje?

    Kuanzia kesho DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo; DStv Poa - 11,000/= DStv Bomba - 27,000/= DStv Family - 39,000/= DStv Compact - 67,000/= DStv Compact Plus - 116,000/= DStv Premium - 185,000/= Ukiona hivi, jua na AzamTv nao hawako mbali kuja kuwakandamiza...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanaotangaza wanatafuta wachumba mitandaoni wajaona njia ambayo sahihi kama hizi:

    kama muislamu au mkristo ukifika eneo lako la ibada ukitangaza kuwa unataka kuoa au kuolewa watajitokeza wengi na utafanya kuchagua. Kama unaangaishwa nenda kijijini kwenu huko kuna watu wapo tayari kuoa au kuolewa wakisubiri. Kwenye maharusi,misibani na sheree za ccm mnaweza kuwapata kibao...
  11. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo sifa za jamaa zangu fulani waitwao mamodinyo

    Jamaa zangu fulani wanaojiita mamodinyo (modinyo akiwa mmoja) Wana sifa za kipuuzi kweli kweli, zifuatazo ni sifa zao chache:- 1.Wanaweza kukuhukumu kutokana na maneno au malalamiko ya watu hata kama hayana mashiko. 2. Hawataki uzungumzie siasa zinazoikashifu chamantawala. 3. Wanijiona Sana...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana mjifunze Kutongoza. Mmenisikitisha Sana kwa waliomfuata Binti Kimoso. Mbinu za kutongoza Mwanamke mtandaoni ni hizi;

    Habari za Jumapili! Hatukatai nanyi ni wanaume mnapenda wanawake wazuri Sana. Hatukatai wanaume tumeumbwa kuwajaribu wanawake kuona yaliyomo yamo na anamsimamo au Hana! Kama mwanaume kutongoza kupo damuni. Sisi Watibeli hatuzuii wake zetu au wachumba zetu kutongozwa kwa Sababu kuu mbili...
  13. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe wa Maziwa Mmoja anaweza kukupa TZS 600,000 - 900,000 Kwa Mwezi, ila hizi Ndizo Changamoto Unazopaswa Kuzijua!

    Katika Uzi ulioisha tulielezea jinsi ambavyo Ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ulivyo moja ya fursa zenye faida kubwa endapo utaufanya kwa mbinu sahihi. Moja kati ya swali kuu nililopata watu walitamani sana kufahamu changamoto ambazo unaweza kukutana nazo. Lakini kama ilivyo kwenye sekta yoyote ya...
  14. Isenye

    JamiiForums Tanzania Kwa niliyoyashuhudia jana kwenye usaili wa tra,nashauri bora hizi ajira ziwe zinasimamiwa na PSRS tu.

    Habari za asubuhi wakuu. Jana nilikua miongoni mwa watanzania tuliobahatika kuhudhuria usahili wa mamlaka ya mapato Tanzania,kituo changu cha usahili kilikua kule sabasaba.nilifanya nafasi za Tax management officer ii na Customs officer ii. Kuna dosari nyingi sana niliziona nikahisi ni either...
  15. I

    JamiiForums Tanzania njoo na ubashiri wako kwa hizi mechi za leo..

    Kamata Ratiba Ya Kandanda Leo FRANCE: Ligue 1 19:00Reims - Marseille 21:00St Etienne - PSG 23:05Monaco - Nice GERMANY: Bundesliga 17:30Bayern Munich - St. Pauli 17:30B. Monchengladbach - RB Leipzig 17:30Hoffenheim - Augsburg 17:30Holstein Kiel - Werder Bremen 17:30Wolfsburg - Heidenheim...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wasichana wa elimu ya juu miaka ya 1960, na leo utasikia watoto wa siku hizi!

  17. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Picha X-rays kali za kutisha ambazo ni ngumu kuamini

    Maisha ni safari ya ajabu, Hizi picha hapa chini sio za kuchora, ni matukio halisi yaliyotokea. 1. Mwaka 2020, msichana mmoja alipata ajali mbaya akiwa ndani ya gari huku miguu yake ikiwa juu ya dashboard. Ajali ilipotokea, mguu wake ulisukumwa kwenda nyuma vibaya na hii ni picha ya X-ray...
  18. D

    JamiiForums Tanzania AI inazidi kuwa bora. Hizi ni baadhi ya nyimbo za kiswahili zilizotengenezwa kwa AI

    Remix ya wimbo wa Goodlucky Gosbert Nipe: Hii lyrics pia ziliandikwa na chatgpt Tupia nyimbo zako ulizounda kwa AI Hii ni IDM but ya kiingereza lyrics zimeandikwa na chat gpt
  19. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania ATCL mmejichanganya ! Hizi safari nitazipangua moja hadi nyingine! Mlioko tayari mjoini

    Naona safari za bei rahisi nyingi sana Nianze zipi wakuu
  20. R

    JamiiForums Tanzania Salamu za asubuhi ni hizi hapa. Mwenye akili na some, machawa piteni tu isiwe shida

    It is self explanatory, sina haja ya kuandika zaidi. ILA WATANGANYIKA TUMEJAA MIPUA MIKUBWA NA MIBICHWA MIKUBWA ILIYOJAA MAKAMASI NA FUNZA. Mikataba ya MANGUNGO katika jina la UWEKEZAJI1 BY: MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila. .Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa...
Back
Top Bottom