Unaambiwa mkurya akitaka kuoa hajali wewe una watoto atakuchukua tu na pia atahakikisha hao watoto wako wanakuwa wa kwake kama yeye ndio aliotwaa na hadi kuwapatia majina ya ukoo wake na na hadi mali za nyumbani wanaweza kurithi, sasa aanze kusikia unamuongelea baba yao sijui nani au baba yao...
Mpaka sasa 90% ya Online Tv za Watu Maarufu Tanzania zinaelekea Kufa huku wakiwa na Madeni na Wafanyakazi wao Kulia kwa kutokulipwa Mishahara. Na kuna Mmoja nae kaanzisha yake, ila Kutwa ni Kujiposti Yeye tu na Mkewe kwa Events zao, ila nina uhakika Mdhamini wake (Tajiri Mkubwa) akimchoka tu...
Siku hizi, mtu akisema hana social media tunamshangaa kama kiumbe cha ajabu. Kila kitu kipo mtandaoni—kuanzia meme, trending stories, biashara, hadi mahusiano. Ila swali linabaki: Vijana tunatumia nguvu hii kujenga maisha yetu au tunajiharibia? 🤔
Nguvu ya Mtandao: Fursa au Burudani Tu?
Kuna...
Mko salama wakuu?
Nilikua nauliza, inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usahili kwa hizi ajira za tra?
Mfano nimepangiwa dar ila kwa sasa niko Mwanza.je inawezekana nikafanyia kituo kilichopo mwanza?
Ni hatua gani za kufuata?
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Mtu asikudanganye kwamba ukienda kwa wachawi au waganga utapata dawa ya kuwa tajiri. Watu wameenda huko na kutapeliwa kwamba wakiwatoa kafara watoto au wazazi wao ndio watapewa dawa ya utajiri. Ukiwa tajiri kwa njia hiyo basi ujue jehanam inakusubiri kwa hamu ikutafune.
Wewe unayefanya biashara...
Habari wadau.
Kwa wale wajomba na mashangazi above 30s nazani wanazijua sana hizi stori.
Dar kulikuwa na vitisho vingi mitaani kwamba jini mrefu kavaa kanzu kaonekana bondeni. Watu wanabadilisha njia.
kwenye shule za msingi kulikuwa na vitisho vya mbuzi kaonekana chooni anakuna nazi. Mara...
Salaam kwa wanajamvi wote!
Kazi zifuatazo naweza kukufanyia kwa kwa gharama nafuu kabisa popote ulipo Tz hii.
1) Kukuandalia Mpango wa biashara pamoja na mchanganuo
2) Kukuandalia Pendekezo la mradi wowote na kusaidia kutafuta au kusaidia mchakato wa kupata wafadhili au ufadhili.
3) Kukufanyia...
01.Akikukosea anakuomba msaamaha mara mbili, usipomsamehe anakausha, baadae anakuombia unataka kuombwa msamaha siku tatu kwani wewe umekamilika?
02.Mwanamke Ambae anapigia hesabu pesa ambayo hujaipata, ila kwasababu anajua kwa siku unaingiza shingapi anapiga matumizi kabisa.
03.Mwanamke ambae...
Mwenye kufahamu wapi naweza pata hizi perfume za kiarabu. Nimezitafuta sana bila mafanikio kuna duka walikuwa wanauza mtaa wa jangwani halipo tena siku hizi.
1. Al Rehab Avenue
2. Al Rehab Silver
3. Rasasi La Yuqawam
01.Nimekuja Dar es Salaam kupambana sina hata ndugu wa kuniwekea dhamana, kama itatokea shida. Nina Imani kupitia mke wangu yeye ndio atakuwa dhamana yangu namba moja.
02.Kazi yangu ni bodaboda, ikitokea nimepata shida barabarani ni nani ambe atakuja mara ya kwanza kunijulia Hali?? Na kutoa...
Wiki hii nilijaribu kuwa mdadisi kidogo kuuliza vijana na watu wazima waliokuwa washiriki wa kanisa lakini kwa sasa wameacha kuhudhuria ibada ili kuelewa sababu zilizopelekea mabadiliko yao ya kiimani. Nilitarajia kusikia sababu za kawaida kama uvivu, majukumu mengi, au hata masuala ya...
hizi
imani
jamii
kanisani
kasumba
kizazi kipya
kuacha
kwenda
mtoto
sadaka kanisani
sayansi
siku
siku hizi
uhuru
viongozi
wakatoliki
waumini wa kikristo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.