hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya siku hizi vimegeuka tabia za kusifia mabosi wao kukashifu watu mfano Baba levo

    Kupitia wasafi FM baba levo naona amekuwa kero sana yani mnawezaje kumpa mambo ya uchumbuzi kuanzia uchumi,michezo mpaka kimataifa wakati sio taaluma zake. Uwezi kukashifu watu na kutaja majina yao kuwa wameshindwa kufanikiwa sababu walitoka kwa diamond. TCRA kama mna manufaa na vyombo vya...
  2. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nimfanyaje huyu fundi Kwa hizi dharau alizonionesha

    Wakuu naendelea na ujenzi kwenye nyumba yangu Sasa mimi kawaida huwa napenda nifanye kazi na fundi bampa tu bampa kama saidia wake Sasa jana fundi wangu alileta fundi mwenzake na saidia wake Sasa Mimi nimeingia site kwangu asubuhi nalikologa zege jamaa anasema nakorpgaje kibishoo huku nimevaa...
  3. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Hizi dawa wanauza wamasai zinatibu kweli?

    Juzi katika pita pita jijini Dar es Salaam nakutana na Maasai mmoja ananiambia aniuzie dawa inaotesha nywele (aliona kipara kinanianza); nimejiuliza hili swali “hivi hizi dawa wanauza maasai zinatibu kweli?” Mwenye ushuhuda aniambie
  4. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Hizi kada zinatofautiana kivipi?

    IT ICT COMPUTER SCIENCE SOFTWARE ENGINEERING Naomba kujuzwa
  5. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nina hizi option tatu kwenye safari ya maisha yangu.

    Kwa haraka haraka 01.Nimepata mtalaamu(mganga) wa kunipa utajiri wa masharti ya kuchinja kondoo 4 kila mwaka 02.Nimepata mtalaamu wa uhakika wa kunisaidia kuoa jini.(Jina litanipa utajiri) 03.nimepata agent wa uhakika wa kunitafutia kazi unskilled job Canada Dubai na Qatar.. Nipo njia panda...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ukweli Ni Kwamba Hizi Ndio Industries Zinazotakiwa Kua na Leseni Kundi A

    Watu wengi wanaposajili Kampuni hua Wana stack kutafuta leseni sababu wanakua hawajui ni leseni gani hasa wanatakiwa kua nayo. Kwenye Thread hii nimekuandikia list ya Industries ambazo zinatakiwa kua na leseni Kundi A. 1. Importation industry Kama Kampuni yako inajihusisha na mambo ya...
  7. maiko sultan

    JamiiForums Tanzania Tabia 11 zinazoweza kuharibu ubongo wako

    1. USINGIZI USIO WA KUTOSHA Kwa mujibu wa kituo cha Sayansi ya mfumo wa neva (Neurology) cha Marekani, uharibifu mkubwa zaidi kwa ubongo wetu unasababishwa na kutokuwa na usingizi wa kutosha. Usingizi wa kutosha kwa watu wazima unamaanisha saa 7 hadi 8 za usingizi kati ya saa 24 kwa siku...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Asilimia 75 Ya Wafanyabiashara Wanatumia Njia Hizi Kupata Mitaji Ya Kampuni Zao

    Kusajili biashara ni suala moja, ku finance hio biashara ni suala lingine kabisa. Swali la muhimu hapa ni namna gani wafanya biashara hu finance biashara zao? Kwenye Thread hii nimekuorodheshea baadhi ya njia hizo; 1. Hisa Wafanyabiashara wanaofungus Kampuni LLC huuza hisa za Kampuni husika...
  9. covid 19

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio njia tano pekee za kuwa tajiri hapa duniani tajiri yoyote atapitia au amepitia njia moja wapo kati ya hizi.

    Kuna njia 5 tu zinazojulikana ambazo watu wengi duniani (na hapa Tanzania) wamezitumia kufikia utajiri. Hebu tuziangalie moja baada ya nyingine kwa macho ya ukweli: 1. Kurithi Mali Kama ulizaliwa kwenye familia yenye pesa aubkwenu kuna ukwasi wa kutosha basi maisha yako yanaanzia juu. Urithi...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Zile supu za jangwani siku hizi hakuna?

    Wazee wa drama na senema zamani walikuwa wanagawana supu Kila baada ya mechi wakishinda. Siku hizi mbona kimya? Kuna jamaa humu anajiita Labani og na Mwenzake ngara23 walikuwa wanakwenda na hotpots kabisa! Injinia wafanyie wepesi watu wako angalau mkiifunga Azam wanywe supu zile ambazo semaji...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Baada ya dawa hizi nini hutokea?

    Tulionana na specialist akampa dawa za duphaston ili ashike mimba, baada ya kumaliza tu vidonge 10 akaanza period, tukapiga mechi siku za hatari kama dokta alivyotuambia, siku 4 kabla hajaanza period akaona matone mawili,baada ya siku mbili likatoka tone moja, ilipofika tarehe ya kuanza period...
  12. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimetumia dawa hizi kutibu muwasho ukeni ila bado najikuna sana. Nifanyaje?

    Ilianza kama utani suala la kujikuna ndani ya uke. Ila hali ilizidi kuwa mbaya kwani ilikuwa kila nikiingiliwa basi napata maumivu sana na kuacha kufanya tendo. Nilienda kwa wataalamu wa afya wakanipa dawa hizi Hizi za buluu nakunywa kila siku kidonge 1 kwa siku 14 na nimemaliza ila hakuna...
  13. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Hizi ni dawa za nini na zinatibu nini?

    .
  14. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Je wewe upo katika ipi ya hizi nne?

  15. Amicus Curiae

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kwa mke kunyonya sehemu za siri za mume wake?

    Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa. Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria yenye Title "ITS COMPLICATED" ya RAY EMODI, CHINONSO ARUBAYI na PATIENCE UJAH (2022); nilikuwa...
  16. BANGO JEUPE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kati Ya Gari Hizi Ndogo Bajeti Mil 3

    habarini Wakuu Niko Dar, Nina Mil 3 Hapa Nataka Kati Ya Gari Hizi Starlet, Corolla Fe, Clavia Au Sprinter Asanteni
  17. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Hizi kelele za jirani zinanikosesha usingizi nifanyaje?

    Hapa ninapokaa jirani mbaba akilewa kila siku usiku anatukana matusi tena kwa sauti hadi nakosa usingizi hadi anyamaze ndiyo napata usingizi. Hii sasa tayari ni kero nahitaji kupumzika mapema, nafanyaje kumdhibiti huyu mlevi😔🙂‍↕️
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania No Reform No Election ni Mpango wa Mungu kuiponya Tanzania. Anayeuliza itafanikiwaje? Muoneshe Picha hizi!

    Kikundi kinachofanya siasa za kitapeli wakiungana na mabwana zao CCM wanajaribu kuwakebehi CHADEMA eti watafanikishaje No Reform No Election? Wasichojua hakika ni kwamba, No Reform No Election sasaivi si tena ajenda ya CCM bali ni ajenda ya Watanzania baada ya Mungu kuamua kuiponya Tanzania...
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ndiyo wakali wa hizi kazi, inafuzu kwenda nusu fainali vizuri tu

    Ni kweli, njia ambayo Simba imetumia kufuzu ni ngumu sana. Baada ya kuona goli la ugenini halipatikani, badala ya kuendelea kulilazimisha ilitakiwa kujihami zaidi ili walau irudi ikiwa na deni la 0-1. Yote kwa yote, yaliyopita si ndwele. Sitaki tena kuangalia kilichotokea kule Misri. Hizi mechi...
  20. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Hivi hizi mbegu ndiyo zinapotezwa jumla na GMO?

    Nimeona kuna upotevu wa kasi sana wa mbegu asilia kama hizi ambazo chakula chake kilikuwa na ladha nzuri sana nutritive sana
Back
Top Bottom