Soma mpaka mwisho maongezi haya kati ya Interviewer na ChatGPT - utacheka, lakini pia utakubaliana nami kwamba hizi ni siku za mwisho. Injili inahubiriwa kwa kila njia, kwa mataifa yote, kama Yesu alivyotabiri(Mathayo 24:14) :)
--------------
Swali: We chatGPT ni mbishi sana. Kila mahali, watu...
1. Waliofanikiwa Kiuchumi ni watu waliofanikiwa katika UTUNZAJI WA MUDA! Hawapendi kupoteza muda
2. Waliofanikiwa Kiuchumi ni MABAHILI na wanachukiwa na watu wao wa karibu, kwa sababu ya ubahili wao.
3. Waliofanikiwa Kiuchumi, hawapendi sana POPULARITY ili kuwa huru ktk mambo yao binafsi...
Hili suala kusema ukweli linatokea si kwangu tu bali karibia kwa kila mwanamke analalamika "KUTOKOJOZWA"
Wanaume mnaharaka sana wakati wa kufanya mapenzi, na hamna ubunifu, shida ni nini?
Wanawake mnatuacha na hamu vitandani au mnataka nani atumalizie hamu zetu.
Wanaume wa siku hizi hamjui...
1. Sea salt inakuwa imetokana na kuvukisha maji ya bahari wakati ile ya mawe inachimbwa kutoka miamba inayodhaniwa kuwa ilitokea baada ya habari au maziwa ya zamani kukauka
2. Chumvi ya bahari huwa inakuwa na rangi nyeupe au off-white wakati zile za miamba kama Himalayan salt zinakuwa na rangi...
Juzi nilijiunga na bando la elfu 2 Mia 5 internet mida ya saa moja jioni. Sikwenda You Tube wala Instagram, wala Tiktok wala Fb. Nilikuwa nachati tu WhatsApp na kuperuzi Jf.
Nafika home saa 3 usiku naletewa meseji ya umetumia asilimia 75 ya bando lako. I was shocked. Nilikuwa nna usingizi siku...
Habari za jioni wakulungwa.
Naleta habari hii usiku huu, nikiwa nimefuatilia ahadi za huyu mzee wetu kipindi hiki timu inatafuta namna ya kufuzu nusu fainal na kuitafuta fainali,
kwa jicho la tatu ahadi zake hizi zinavuruga timu sana, mchezaji badala ya kufocus timu ishinde qnafocus afunge...
Kwema Wataalam !
Ndio linapokuja swali... Hivi mnaosema unawekeza kwa mwanamke una moyo imara vya kutosha kihimiri tukio atakalokutandika nao. Hapo chini nimeweka tu baadhi ya Comments za wadada asee ni balaa.
Ushauri kwa wanaume wenzangu, Kama unataka kuwekeza na kuweka akili yako kwa...
BINTI YANGU; UKIONA DALILI HIZI KWA MCHUMBA ANAYETAKA KUKUOA KIMBIA HARAKA SANA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kwanza nilikuambia unatakiwa ujitegemee na uweze kujimudu mahitaji yako ya msingi. Huo ndio UTU wako. Na hiyo ni Moja ya sifa kuu ya Mwanamke Bora atakayekuwa Mama Bora na Mke...
Watu wengi hudhani kwamba ukishapewa Certificate of Incorporation basi Kampuni yako imekamilika.
Vipi kama nikikwambia pamoja na kua na hio certificate of Incorporation Bado unakua huruhusiwi kufanya biashara?
Ndio, ili iruhusiwe kufanya biashara, Kampuni yako inabidi Ipitie hatua hizi Tatu...
An irregular hexagon with all sides of equal length is placed inside a square of side length 1, as shown below (not to scale). What is the length of one of the hexagon sides?
Jana ndio nilitambua kumbe nina uwezo wa kula haraka hata chakula kiwe kingi na chamoto kiasi gani.
Tumetoka kwa chakula cha usiku mwenzangu simu yake akaicha ndani kwenye chaji, tumefika sehemu ya kula tumeanza tu kula akaniomba simu yangu atume mail fulani kabla hajasahau, nikampa...
Wadau nina mawazo haya ya biashara
1. Mini_Supermarket
2. Bucha la nyama ya ng'ombe au ya nguruwe
3. Duka la rasta la jumla
4. Duka la vipodozi japo hii nawaza kama kuiunganisha hapo kwenye duka la rasta
Mimi ni wa kike, nipo Dar naombeni mawazo yenu wadau
Wakuu, baada ya kufanya utafiti na kukusanya maoni toka kwa watumiaji wengine kabla ya kununua, nimepata pikipiki tatu ambazo zinashindana kwa vigezo ninavyovihitaji mimi. Vigezo hivyo ni:
1. Uwezo wa kutumia mafuta kidogo kwa safari za km 50 kila siku.
2. Ubora wa injini (sitegemei kumwona...
Marejea visiwa vilivyoko ziwa Victoria zaidi sababu huko ndiko nilikokuwa enzi hizo.
Sijajua kwa Sasa kukoje sababu mpaka Sasa ni zaidi ya miaka 18 tangu nitoke.
1.Kuuza pombe kali na gongo kwa wavuvi
2.Kuuza madawa ya binafamu na kutoa tiiba kama vile kushona walevi waliopasuana sehemu za...
Kupitia wasafi FM baba levo naona amekuwa kero sana yani mnawezaje kumpa mambo ya uchumbuzi kuanzia uchumi,michezo mpaka kimataifa wakati sio taaluma zake.
Uwezi kukashifu watu na kutaja majina yao kuwa wameshindwa kufanikiwa sababu walitoka kwa diamond.
TCRA kama mna manufaa na vyombo vya...
Wakuu naendelea na ujenzi kwenye nyumba yangu Sasa mimi kawaida huwa napenda nifanye kazi na fundi bampa tu bampa kama saidia wake Sasa jana fundi wangu alileta fundi mwenzake na saidia wake Sasa Mimi nimeingia site kwangu asubuhi nalikologa zege jamaa anasema nakorpgaje kibishoo huku nimevaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.