Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 553
- 2,266
Wakuu...wife wangu leo nimeamini ya kuwa ni kweli bado mtoto sana...asubuhi ya leo amegoma kwenda msikitini,amegoma kupika kisa abaya.
Iko hivi anadai abaya zilizopo ni za mwaka jana na zimepitwa na wakati,,nikamuuliza unataka kuiharibu bajeti niliyoipanga kwa muda mrefu...saivi utoe laki ya abaya ili uwaoneshe majirani kwa ajili ya siku moja tu?
Nikamwambia embu utavaa siku nyingine hii siku ni moja tu acha ipite.,,naona ndio kanuna..isitoshe unamaabaya karibia manne humu ndani acha leo mtoto avae wewe utavaa siku nyingine...lakini pia ushakuwa mtu mzimaa pressure ya nguo ya sikuu kuu unaitoa wapi au unataka tutibuane saizi.
Ikumbukwe leo tumeamka chalii wetu anajiskia vibaya mno...nikamchukua yeye na mtoto hao kwenye boda tukaelekea hospital...pale imekata vipimo,dawa...usafiri kama 50000 hivi.
Wakuu nimempotezea huyu kiumbe ...nimeenda africana nikanunua jogoo nikapika mwenyewe na pilau...nimeona bado kanuna hadi saivi..nimesaidiana na wana tumetoa kitu maisha yameendelea nasubiria usiku sijui atanipa...haya bhana kataa ndoa wanazidi kupata point tatu muhimu.