Historia ni kumbukumbu, historia ni mwalimu, historia haidanganyi, historia hutahadharisha na historia hutoa funzo na hujirudia baada ya muda fulani na katika nyakati tofauti.
Flashback: Mwaka 2011 dawa ya ajabu ilidaiwa kupatikana. Hii dawa ilidaiwa kutibu si tu ugonjwa moja, hapana, dawa...