Kwema humu?
Kama tunavyojua maisha ni magumu sana huitaji wa kazi umekua mkubwa sana mtaani
Nimeahangaika nikapata ajira kampuni flani hivi nimepewa mkataba ndio kwanza miezi mitatu lakini hii kazi inaelekea kunishinda
Kazi haina mapumziko,haina overtime kitu kidogo kazini unakatwa pesa...