Mhitimu wa Diploma ya sheria kulipwa mshahara wa Tgs B na mahakama, hii imekaaje?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,114
4,126
Mara nyingi idara za serikali hulipa mishahara kwa ngazi husika kulingana na elimu ya muajiriwa. Mfano Tgs A huwa ni form four. Tgs B huwa ni wahitimu wa vyeti walioajiriwa.

Sasa jambo la ajabu mahakama inawalipa Tgs B watumishi inaowaajiri kwa ngazi ya diploma. Hii ni ubaguzi mkubwa sana. Na ni jambo ambalo halifai kabisa.
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu na anaejitambua anaweza kufanya kazi katika hizi taasisi zetu. Na hapo ndio unapokuja kugundua ya kwamba working Class ya Bongo sehemu kubwa imejazwa na wapumbavu.
 
Ndilo linaleta tatizo kwenye kutoa ushahidi?
 
Mara nyingi idara za serikali hulipa mishahara kwa ngazi husika kulingana na elimu ya muajiriwa. Mfano Tgs A huwa ni form four. Tgs B huwa ni wahitimu wa vyeti walioajiriwa.

Sasa jambo la ajabu mahakama inawalipa Tgs B watumishi inaowaajiri kwa ngazi ya diploma. Hii ni ubaguzi mkubwa sana. Na ni jambo ambalo halifai kabisa.

Pole kama ulikuwa hujui, things are different under the ground.
 
Mkuu si kweli,mishara hutolewa kulingana na kada husika mfano mzuri ni mwalimu wa ngazi ya Cheti(form four) ananza na daraja B ambalo mi almost 400,000+, Wakati huo mtu mwenye diploma ya community development, human resource nk akiajiliwa Kama afisa mtendaji wa Kijiji atalipwa mshahara sawa na mwalimu wa Cheti(form four).

Pia tambua kuwaa mwalimu wa diploma ya ualimu anaanza na daraja c lenye mshahara wa 500,000+ ilihali mtu wa kada ya afya mfano enrolled nurse mwenye diploma analipwa 600,000+

Mbali na Hilo mwalimu mwenye degree anaanza na daraja D ambalo Ni 700,000+ Wakati hakimu mwenye degree analipwa 900,000+, so mkuu tambua kuwa mshahara unalipwa kulingana na kada uliyopo.

Kwani Kuna watu kwenye baadhi ya vitengo wanaelimu za chini kabisa lakini wanakula pesa ndefu Sana.
 
Mara nyingi idara za serikali hulipa mishahara kwa ngazi husika kulingana na elimu ya muajiriwa. Mfano Tgs A huwa ni form four. Tgs B huwa ni wahitimu wa vyeti walioajiriwa.

Sasa jambo la ajabu mahakama inawalipa Tgs B watumishi inaowaajiri kwa ngazi ya diploma. Hii ni ubaguzi mkubwa sana. Na ni jambo ambalo halifai kabisa.
Sio mahakama tu bali ni sehemu nyingi watu wana diploma wanalipwa Tgs B
 
Mara nyingi idara za serikali hulipa mishahara kwa ngazi husika kulingana na elimu ya muajiriwa. Mfano Tgs A huwa ni form four. Tgs B huwa ni wahitimu wa vyeti walioajiriwa.

Sasa jambo la ajabu mahakama inawalipa Tgs B watumishi inaowaajiri kwa ngazi ya diploma. Hii ni ubaguzi mkubwa sana. Na ni jambo ambalo halifai kabisa.
Jiongeze wewe! Kwani hujui mahakamani hakuna mshahara Bali posho? Andaa mazingira ya Kula bila kunawa hasa kipande Cha dhamana na wale wanataka kesi zisizo na mshindi ule bata mjini!
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu na anaejitambua anaweza kufanya kazi katika hizi taasisi zetu. Na hapo ndio unapokuja kugundua ya kwamba working Class ya Bongo sehemu kubwa imejazwa na wapumbavu.
kwa hiyo unashauri watu wasifanye kazi serikalini ?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom