Yanga SC na GSM yenu hivi kama Kesi hii Haki ni yenu kila Siku CAS wangekuwa wanaipiga Kalenda (Danadana) tu Kimaamuzi?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Yanga SC mlitutangazia kuwa Hukumu ya CAS itatoka Mwezi March au May kama sijakosea na ikapigwa Kalenda.

Yanga SC mlitutangazia kuwa Hukumu ya CAS itatoka Mwezi July na ikapigwa tena Kalenda.

Yanga SC mlitutangazia tena kwa Mashamsham na Kujimwambafai Kwenu kuwa Hukumu itatoka leo ( Mwezi Septemba ) na CAS wameipiga Kalenda (Danadana) kama Kawaida.

Hivi Yanga SC ambao pia naamini ni Waswahili wenzangu hii Misemo Miwili isemayo Akufukuzae hakuambii toka au Dalili ya Mvua nyie hamuijui?

Ismail Aden Rage na Rais Mstaafu Kikwete na Wanasheria Nguli waliwaonya na Kuwaambia muachane nayo kwani hamna Chenu huko CAS na imewakalia vibaya mkawadharau sasa mtakumbuka Mawazo yao.
 
Yanga SC mlitutangazia kuwa Hukumu ya CAS itatoka Mwezi March au May kama sijakosea na ikapigwa Kalenda.

Yanga SC mlitutangazia kuwa Hukumu ya CAS itatoka Mwezi July na ikapigwa tena Kalenda...
Na kasuku wao mauridi kitenge.

Kila linapo tokea jambo litalowafanya mashabiki wa yanga kuanza kuhoji mwenendo wa timu yao, basi kitenge hutumwa kuibua swala la morson.

Na mashabiki wa UTO wakisikia hivyo tuu wana tulia
 
Mwanzo mlisema haipo, saizi mmebadilisha story........Mwenye maamuzi ndiyo kasema hadi October, Yanga wafanyeje sasa?
Subiri hukumu
 
Yanga SC mlitutangazia kuwa Hukumu ya CAS itatoka Mwezi March au May kama sijakosea na ikapigwa Kalenda.

Yanga SC mlitutangazia kuwa Hukumu ya CAS itatoka Mwezi July na ikapigwa tena Kalenda.

Yanga SC mlitutangazia tena kwa Mashamsham na Kujimwambafai Kwenu kuwa Hukumu itatoka leo ( Mwezi Septemba ) na CAS wameipiga Kalenda ( Danadana ) kama Kawaida.

Hivi Yanga SC ambao pia naamini ni Waswahili wenzangu hii Misemo Miwili isemayo Akufukuzae hakuambii toka au Dalili ya Mvua nyie hamuijui?

Ismail Aden Rage na Rais Mstaafu Kikwete na Wanasheria Nguli waliwaonya na Kuwaambia muachane nayo kwani hamna Chenu huko CAS na imewakalia vibaya mkawadharau sasa mtakumbuka Mawazo yao.
Nyie endeleeni kubwata apa siku hukumu imetoka pia mjitokeze kwa wingi kuongea utumbo wenu mnaoongea, nyie mambo ya yanga yanawahusu nini, kesi aiwausu hata kama hawana chao mbona mnacheza ngoma isiyo ya kwenu, anagongwa mwingine alafu utamu anausikia mwingine ulishaona wapi maajabu ayo ndugu, wenye mamlaka wanasema hukumu trh 26 wewe unabisha Kama nani kwamfano, iyo kumbuka sio tff ya karia na genge lake iyo ni fifa inao utaratibu wake wa kufanya kazi na sio kelele za watu ambao awajielewi
 
Aiseee hakika kila mtu kajaliwa uwezo wake wa kufikiria. Hivi hukumu anatoa yanga au mahakama ya michezo duniani?? Kama hatoi yanga kwanini yanga ahukumiwe kwa kuchelewa kwa hukumu?? Eeeeeh mwenyezi Mungu tusaidie kujua yaliyochini yetu na yaliyojuu yetu pia.
 
Na kasuku wao mauridi kitenge.

Kila linapo tokea jambo litalowafanya mashabiki wa yanga kuanza kuhoji mwenendo wa timu yao, basi kitenge hutumwa kuibua swala la morson.

Na mashabiki wa UTO wakisikia hivyo tuu wana tulia
Yule muuza kisamvu cha kopo ovyo sana
 
Aijalishi hukumu inatoka lini tunachojua hata iyoke mwakani basi adhabu itaanza kutumika siku hiyo hiyo,kikubwa tunachowaona kolokwinyo maboya hapo mwanzo waliaminishwa hamna kesi ila now wao ndio vihere here wa kwanza kutaka kujua tarehe ya hukumu ya kesi isiyokuwepo!
 
Back
Top Bottom