Wanataaluma nisaidieni: Kozi hii inahusu nini: Bachelor Of Science In Industrial Engineering And Engineering Management

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,397
73,988
I am in dire need to get clarification before making decision where to join

Niko kwenye dilema huyu kijana anakwenda kusoma nini na applicability yake kwa Tanzania.

Inahusu nini hasa maana siyo pure engineering classical one .

Anapata utaalamu gani na position yake katika employment industry ikoje kwa hapa kwetu.

Anakuwa na utaalamu gani?
 
Mods naomba msiifute, niliweka mkafuta, I am in dire need to get clarification before making decision where to join

Hiyo mara nyingi wanaenda waliosoma CBG na haina watu wengi sana wanaoisoma ila vile vile haina matumizi mengi. Haijaanza miaka mingi na ninavyojua Mzumbe ndio wanaitoa, wengine sijui. Kuhusu ajira zake sina ushauri
 
Jamaani tofuteni mitaala ya vyuo vikuu imejaa utopolo mwingi na inatengenezwa mezani tena kiutopolo na kiharakaharaka na kuhararishwa kifedhuli tu. Aibu sana. Curriculum feki zimejaa tele and no body cares.
 
Exactly, wanaweka majina mazuri mazuri ya kozi kumbe utopolo. Wanafanya biashara siku hizi. Wazazi wawe makini sana
Uzalendo hamna kabisa curriculum nyingi hazitokani na uhitaji wa soko wala wadau. Kiama kinachimbwa kwa mapana na marefu kila mwaka
 
Hii couz ilianzishwa kutolea pale Udsm ikiitwa bachelor of science in industrial engineering haina utofauti saana na mechanical kwa sababu wanasoma baadhi ya masomo pamoja plus wao wanaongezea masomo ya engineering management
Kwa upande wa kazi wanafanya kazi zote anazoweza kufanya mtu wa mechanical
 
Mods naomba msiifute, niliweka mkafuta, I am in dire need to get clarification before making decision where to join

Niko kwenye dilema huyu kijana anakwenda kusoma nini na applicability yake kwa Tanzania.
Inahusu nini hasa maana siyo pure engineering classical one .
Anapata utaalamu gani na position yake katika employment industry ikoje kwa hapa kwetu.
Anakuwa na utaalamu gani?
Ndugu hii kozi si mbaya kama watu wasemavyo ...ipo exactly same as mechanical engineering
 
Baadhi ya couz wanazoshare na mechanical
Engineering design
Industrial service and maintenance
Strangth of materials
Workshop
Automotive engineering
Renewable energy
Thermodynamic
Engineering project management
Fluid mechanics
Industrial energy management
Ect.
But kuhusu mzumbe siijui yao wanatoaje but kwa hii ya udsm iko poa
 
Sitak
Wewe mbona Engineering yako kali imesimama ila ajira ukikosa. Hizo ulizotaja nazo nazo zina changamoto
Sitaki apate shida mbeleni ndio maana nimempa huu ushauri ili siku za usoni hasije jutia.Hii coz ni sub ya mechanical ilianzishwa pale udsm lakini huku kitaa waajiri kama wanafanya makusudi kazi zote zinazotangazwa utasikia wanahitaji Electrical,Mechanical na Civil mara chache utasikia Chemical kifupi wamekalili hawa mangwini wa HR ,wakati vyuoni kuna ma industrial,metallurgy n.k
 
Hii couz ilianzishwa kutolea pale Udsm ikiitwa bachelor of science in industrial engineering haina utofauti saana na mechanical kwa sababu wanasoma baadhi ya masomo pamoja plus wao wanaongezea masomo ya engineering management
Kwa upande wa kazi wanafanya kazi zote anazoweza kufanya mtu wa mechanical
Hakuna kitu kama icho iyo kozi inadili na Management tu hauwi Engineer
 
Baadhi ya couz wanazoshare na mechanical
Engineering design
Industrial service and maintenance
Strangth of materials
Workshop
Automotive engineering
Renewable energy
Thermodynamic
Engineering project management
Fluid mechanics
Industrial energy management
Ect.
But kuhusu mzumbe siijui yao wanatoaje but kwa hii ya udsm iko poa
Mzumbe hakna Engineering
 
Hiyo mara nyingi wanaenda waliosoma CBG na haina watu wengi sana wanaoisoma ila vile vile haina matumizi mengi. Haijaanza miaka mingi na ninavyojua Mzumbe ndio wanaitoa, wengine sijui. Kuhusu ajira zake sina ushauri
Yah na cbg hawez kua Engineer ila atakuwa manager kweny viwanda vya wahindi
 
Jamaani tofuteni mitaala ya vyuo vikuu imejaa utopolo mwingi na inatengenezwa mezani tena kiutopolo na kiharakaharaka na kuhararishwa kifedhuli tu. Aibu sana. Curriculum feki zimejaa tele and no body cares.
Tafadhali, naomba utumie neno makolo badala ya utopolo.

Ahsante kwa kunielewa.
 
Back
Top Bottom