Dunia ni mortgage: Nadharia hii kuhusu sababu ya binadamu kuletwa duniani inafikirisha sana

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,108
27,090
Mafundisho ya uislamu, ukristo Na uyahudi KUHUSU chanzo Na Sababu ya binadamu kuwepo katika sayari ya Dunia wote mnayajua so sipo hapa Kwa ajili ya kuyarudia..

Nipo hapa Kwa ajili ya kuelezea Nadharia KUHUSU chanzo Na Sababu ya Maisha ya binadamu ulimwenguni ambazo zilitolewa Na watu walio fikiri nje ya vitabu vya Dini hizo tatu.

Kwa ufupi Dini inapo mzungumzia Mungu Na chanzo cha Maisha katika sayari ya Dunia huwa inaanzia from the conclusion wakati philosophy Na science ina move toward the conclusion.

Relgion = from the conclusion

Philosophy and Science= Toward the conclusion.

Watu wa science wakifikia hatua ya kumjua Mungu basi watakuwa wamemjua Mungu kwelikweli Kwa Sababu watakuwa wamemtafuta mpaka wamempata. Nyakati hizo zikifika Dunia itageuka Na kuwa mbingu Kwa Sababu maswali yote magumu katika USO wa Dunia yatakuwa Na majibu yake.

Watu wa Dini wamefeli kuyafanya Maisha ya Duniani kuwa kama mbinguni Kwa Sababu wao tayari Wana assume kwamba wanamjua Mungu Kwa hiyo mtazamo wa mafundisho yao unaanzia kwenye conclusion ( kwamba wanamjua Mungu) Hatari ya Jambo hili Ni kwamba Kuna uwezekano mkubwa Sana watu wa Dini wakawa wanatoa maelekezo kutoka kwenye fikra zao wenyewe huku waki assume kwamba yanatoka Kwa Mungu.

Ndio maana Dini ndio zimekuwa chanzo cha matatizo mengi makubwa ulimwenguni..

BACK TO MY POINT

"DUNIA NI MORTGAGE" NI NADHARIA KUHUSU CHANZO NA SABABU YA BINADAMU KUWEPO DUNIANI AMBAYO INAFIKIRISHA SANA.

Nadharia HII inasema kwamba hili gimba linalo Elea angani ambalo linajulikana kama sayari ya Dunia Ni a mortgaged property ambayo Mwenyezi Mungu ametupangisha Sisi wanadamu Kwa consideration maalumu . Tukifanikiwa kukamilisha Deni tunalo Daiwa basi tutapewa rasmi kuimiliki sayari ya Dunia milele Na tutaishi DUNIANI milele kama mbinguni..

Ngoja nitumie mfano rahisi...

Ni hivi: Serikali imejenga nyumba kigamboni. Gharama ya nyumba Ni shilingi milioni Mia Moja Na ishirini. Nyumba imekamilika Ina Kila kitu ndani.

Serikali inakuuzia wewe nyumba hiyo Kwa mkopo.

Utaingia Na kuruhusiwa kuhamia kwenye nyumba hiyo bure Kwa makubaliano kwamba utakuwa unalipa shilingi milioni Kumi Kila mwezi.

Baada ya miezi Kumi Na mbili ukisha kamilisha Deni lako basi rasmi utapewa hati ya nyumba Na wewe utakuwa ndio mmiliki halali WA hiyo nyumba.

Ukisha kuwa mmiliki halali WA hiyo nyumba utakuwa Sasa Na uhuru wa kufanya chochote juu ya hiyo nyumba Kwa kuwa Sasa utakuwa mmiliki halali mwenye mamlaka kamili juu ya hiyo nyumba.

Hivi ndivyo ilivyo Kwa sayari ya dunia, Mungu Na wanadamu Kwa Mujibu wa nadharia hiyo..

NI HIVI

Mungu ameitengeneza sayari yetu ya Dunia Na ndani yake akaweka Kila kitu ( fully furnished )

Kisha akaitoa mkopo sayari hiyo kwetu Sisi wanadamu ili tupate kuimiliki ..

Ili tuweze kuimiliki sayari HII tunatakiwa kulipa gharama alizo tumia Mwenyezi Mungu kuitengeneza sayari HII ya Dunia Na vitu vyote vilivyomo ndani yake ikiwa Ni pamoja Na MIILI yetu ambayo raw materials zake zilitoka hapa hapa duniani( kumbuka Sisi Ni roho ambao tunaishi kwenye miili)

Tukisha maliza kulipa Deni ( gharama) alizo tumia Mwenyezi Mungu kuitengeneza sayari yetu basi Mungu atatupa funguo ( hati miliki) ZA kuitawala Dunia.

Tukisha fikia levo ya kumiliki funguo ZA kuitawala Dunia basi Mungu atashusha mbingu ( mfumo) Mpya duniani. Hakutakuwa na vifo, MAGONJWA , vita nakadhalika.

Kwa ufupi Dunia itakuwa Firdaus/Pepo/mbingu

JE, NI NINI GHARAMA ALIZO TUMIA MWENYEZI MUNGU KUITENGENEZA DUNIA?

NI UPENDO. God created the world out of pure love. Kwa hiyo currency pekee ambayo Mungu anaitambua Ni " UPENDO". Hii ndio currency ambayo unaweza kuitumia kununua kitu chochote kutoka Kwa Mungu.

UPENDO NI NINI? UPENDO NI KUMPENDA BINADAMU MWENZAKO KAMA UNAVYO IPENDA NAFSI YAKO.. kama alivyo SEMA Yesu Masiha.

Binadamu tukifikia levo HII ya kuwa na UPENDO wa kiwango hiki ambao Ni collectively Dunia nzima basi tutakuwa tumelipa Deni letu Kwa Mungu Na Mungu hatokuwa Na Sababu ya kutokutupa hatimiliki( funguo) ZA kuitawala Dunia.

(UPENDO Huu utatakiwa kuwa collectively Yani watu wote dunia nzima kila MTU ampende mwenzake kama anavyo jipenda yeye mwenyewe ndani ya NAFSI yake)

Ni levo ya UPENDO ambayo mkristo atapenda muislamu kama anavyo jipenda yeye and vice versa.

Mzungu atampenda mwafrika, mchina,mwarabu,muhindi,myahudi etc and vice versa kama anavyo jipenda yeye mwenyewe.

Myahudi atampenda mpalestina and vice versa kama anavyo jipenda yeye mwenyewe.

Kila binadamu atampenda binadamu mwenzake kama.anavyo jipenda yeye mwenyewe Na atamtendea wema kama anavyo taka.kutendewa yeye mwenyewe..

Tukifikia levo HII basi Mungu wa Mbinguni atatupa funguo ZA kuitawala Dunia Na hakutakuwa Na MAGONJWA, vifo , vita Wala chochote kibaya katika Dunia HII..

We will become " PRIMUS INTER PARES WITH THE LORD "

NA HII NDIO SABABU YA TRUE MISSION OF CHRIST JESUS KUJA DUNIANI

Yesu alikuja duniani Kwa ajili ya kutukomboa wanadamu Kwa kutuletea ujumbe Huu kwamba TUWE NA UPENDO..

NI UPENDO PEKEE NDIO UTAKAO MKOMBOA MWANADAMU HAKUNA KINGINE CHOCHOTE...

NIMEZALIWA NA KUKULIA KATIKA UISLAMU LAKINI DHIMA YA KRISTO KWA WANADAMU NINA IELEWA PENGINE KULIKO MA ASKOFU NA WACHUNGAJI WENGI DUNIANI

INAPOSEMWA KUWA NA KRISTO MAANA YAKE NI KUWA NA ROHO YA UPENDO AMBAO NIMEUZUNGUMZIA HAPO JUU. UPENDO AMBAO ULI HUBIRIWA NA YESU MWENYEWE... UNAWEZA KUWA MUISLAMU AU MHINDU AND STILL UKAWA NA KRISTO NDANI YAKO . KRISTO NI UPENDO USIO NI MIPAKA. KUWAPENDA BINADAMU WENZAKO KAMA UNAVYO JIPENDA WEWE.

NDIO MAANA HATA BIBLIA YENYEWE INASEMA KAMA HAUNA UPENDO ( KRISTO) WEWE HUFAI KITU KABISA...

Ndio maana Yesu anasema hatorudi duniani mpaka watu wote wawe wamehubiriwa habari zake . PENGINE alimaanisha mpaka watu wote wawe INCHRISTED"

Ni Kweli kabisa ukiwa Na KRISTO ndani yako hata Lucifer hawezi kukufanya kitu Kwa Sababu katika ulimwengu WA roho nguvu kubwa kuliko zote Ni nguvu ya KRISTO ( UPENDO)

Kwa nguvu ya KRISTO( UPENDO) unaweza ku conquer nguvu zote ZA kiroho hapa duniani...

Ndo maana Yesu aliwaambia wanafunzi wake ufalme wa Mungu ( KRISTO) umo ndani yenu. Kwamba Mungu ( KRISTO) anaishi ndani yenu Na Zaidi akawaambia utafuteni Kwanza ufalme wake Mungu ( KRISTO/UPENDO) Na mambo mengine yote mtazidishiwa...

Maandiko yanavyo SEMA " HAPO MWANZO KULIKUWA NA NENO NA NENO ALIKUWA KWA MUNGU VITU VYOTE VISINGE FANYIKA PASIPO HUYO NENO..

Huyo NENO Ni KRISTO ( UPENDO) Na kwamba bila Upendo MUNGU ASINGE UMBA CHOCHOTE DUNIANI..

Mungu anaposema huyo Ni mwana wangu mpendwa nilie pendezwa nae anamaanisha KRISTO( UPENDO )

Na Yesu anaposema Mtu haji Kwa baba bila kupitia kwangu Kwanza anamaanisha njia pekee itakayo ku connect Na MUNGU ni UPENDO ( KRISTO)

Hata Yesu anaposema " BABA IKIWA NI KWA MAPENZI YAKO BASI NAOMBA KIKOMBE HIKI KINI EPUKE " lakini Mungu hakumuepusha YESU ( MTU ALIE BEBA ROHO YA KRISTO/ROHO YA UPENDO) Na kikombe hicho tafsiri yake Ni kwamba YESU ALIKUWA ANA MUULIZA MUNGU JE KUNA NJIA NYINGINE YOYOTE ILE AMBAYO WANADAMU WANAWEZA KUKOMBOLEWA KWAYO? MUNGU AKAJIBU KWA VITENDO KWAMBA HAPANA NJIA NYINGINE ISIPOKUWA NJIA YA KRISTO( UPENDO) ndio maana akaruhusu Yesu amwage damu yake pale msalabani.

Tunaposema Yesu Ni Mwana wa Mungu tunamaanisha kwamba Roho ya upendo/KRISTO ni roho kutoka Kwa Mungu ambayo Mungu Ali IPA Hadhi Na kuifanya kuwa mwana wake. Na Yesu anaposema " MIMI NA BABA TU KITU KIMOJA" anamaanisha " MUNGU NA UPENDO NI KITU KIMOJA.MUNGU NI UPENDO NA UPENDO NI MUNGU"

Kwa mtazamo wangu, Mtume Paulo ndio Mwanafunzi wa Kweli wa Yesu . Pamoja Na kwamba Mtume Paulo Hakuwa miongoni mwa wale wanafunzi Kumi Na wawili wa Yesu Wala hakuwahi kukutana Na Yesu physically Bali yeye alijifunza habari za Yesu kupitia wanafunzi wa Yesu lakini yeye ndio Alie muelewa Yesu Ni Nani PENGINE kuliko Mwanafunzi mwingine YOYOTE wa Yesu ISIPOKUWA Petro ambae alimtambua Yesu kuwa KRISTO. Mtume Paulo kwenye kitabu cha Tito 2:13 anamtaja KRISTO KUWA NDIE MUNGU MKUU Na Ni ukweli kabisa MUNGU NDIO UPENDO MKUU UPENDO MKUU KUPITA KITU CHOCHOTE..

Wanaposema YESU NI MUNGU wanamaanisha KRISTO/UPENDO NI MUNGU. NA WANAPOSEMA MUNGU ANA NAFSI TATU WANAMAANISHA MUNGU NI BABA MWENYE ROHO TAKATIFU YENYE UPENDO MKUU.

Mfano IPO Mingi Sana ila Kwa leo inatosha hiyo

JE MTU BINAFSI. HAWEZI KUFIKIA LEVEL YA UPENDO UTAKAO MUWEZESHA KUPEWA FUNGUO ZA KUMILIKI DUNIA?

Jibu Lake Ni NDIO... WaPo watu walio fikia level ZA juu Sana ZA Englightenment kiasi kwamba duniani waliishi Na kuheshimika kama miungu Na kifo hakikuwa Na Sauti YOYOTE kwao. Baadhi ya watu Hao Ni kama BUDHA au hata YESU MWENYEWE ambae mwili wake ulitumika.kubeba roho ya KRISTO.

Je mbona watu Hao walikufa?

Yesu alikufa akafufuka Na mpaka Leo HII bado anaishi ( Yesu Yu Hai) Na BUDHA mpaka leo HII bado anaishi katika mioyo Na NAFSI ZA wabudha achilia Mbali kwamba BUDHA amekuwa re incarnated from time to time..

UPENDO. UPENDO UPENDO
 
Unachosema kina ukweli kwa kiasi, ukilinganisha na waliyopata kusema wakristo na waislamu kwamba ili kulipa hilo deni la motrage yatupasa tuishi maisha ya upendo na amani.

Lakini mbona kama tunakwama mbona tunashindwa kupendana kwa moyo mmoja. ukija upande wa pili kwenye sayansi unakutana na Charles darwin yupo na theory of evolution utapata jibu hili. Binadamu kama walivyo viumbe wengine bado wapo kwenye stage ya mapito kuelekea viumbe bora zaidi. Kama mwanadamu asipofanikiwa kujiangamiza hapa ulimwenguni miaka laki moja ijao atakuwapo mwanadamu aliye moja na mungu. Mwanadamu huyu hatakuwa na chuki juu ya mwanadamu mwenzake kutokana na tofauti walizonazo na inaelekea hakutakuwa na jinsia tena eti huyu ni mvulana na huyu ni mwanamke.

Ila haitawekana mwanadamu kuweza kujua yote ya siri kwwnyee huu ulimwengu
 
INSHA'ALLAH Kuna mtu mmoja niliwahi kumsikia Mahali akisema kuwa ili binadamu wawe kitu kimoja Ni lazima iletwe duniani race ya viumbe wengine ambao wako more advanced kiteknolojia kuliko binadamu . Ili kupambana Na race HII itatulazimu binadamu wote Duniani kuungana Na kuwa kitu kimoja.. hiyo inaweza kuwa hatua muhimu kuelekea kwenye hiyo level ya Englightenment.. so the guy was suggesting for an allien invasion over planet Earth.
 
Mafundisho ya uislamu,ukristo Na uyahudi KUHUSU chanzo Na Sababu ya binadamu kuwepo katika sayari ya Dunia wote mnayajua so sipo hapa Kwa ajili ya kuyarudia..

Nipo hapa Kwa ajili ya kuelezea Nadharia KUHUSU chanzo Na Sababu ya Maisha ya binadamu ulimwenguni ambazo zilitolewa Na watu walio fikiri nje ya vitabu vya Dini hizo tatu.

Kwa ufupi Dini inapo mzungumzia Mungu Na chanzo cha Maisha katika sayari ya Dunia huwa inaanzia from the conclusion wakati philosophy Na science ina move toward the conclusion.

Relgion = from the conclusion

Philosophy and Science= Toward the conclusion.

Watu wa science wakifikia hatua ya kumjua Mungu basi watakuwa wamemjua Mungu kwelikweli Kwa Sababu watakuwa wamemtafuta mpaka wamempata. Nyakati hizo zikifika Dunia itageuka Na kuwa mbingu Kwa Sababu maswali yote magumu katika USO wa Dunia yatakuwa Na majibu yake.

Watu wa Dini wamefeli kuyafanya Maisha ya Duniani kuwa kama mbinguni Kwa Sababu wao tayari Wana assume kwamba wanamjua Mungu Kwa hiyo mtazamo WA mafundisho yao unaanzia kwenye conclusion ( kwamba wanamjua Mungu) Hatari ya Jambo hili Ni kwamba Kuna uwezekano mkubwa Sana watu wa Dini wakawa wanatoa maelekezo kutoka kwenye fikra zao wenyewe huku waki assume kwamba yanatoka Kwa Mungu.

Ndio maana Dini ndio zimekuwa chanzo cha matatizo mengi makubwa ulimwenguni..

BACK TO MY POINT

"DUNIA NI MORTGAGE" NI NADHARIA KUHUSU CHANZO NA SABABU YA BINADAMU KUWEPO DUNIANI AMBAYO INAFIKIRISHA SANA...

Nadharia HII inasema kwamba hili gimba linalo Elea angani ambalo linajulikana kama sayari ya Dunia Ni a mortgaged property ambayo Mwenyezi Mungu ametupangisha Sisi wanadamu Kwa consideration maalumu . Tukifanikiwa kukamilisha Deni tunalo Daiwa basi tutapewa rasmi kuimiliki sayari ya Dunia milele Na tutaishi DUNIANI milele kama mbinguni..

Ngoja nitumie mfano rahisi...

Ni hivi: Serikali imejenga nyumba kigamboni. Gharama ya nyumba Ni shilingi milioni Mia Moja Na ishirini. Nyumba imekamilika Ina Kila kitu ndani.

Serikali inakuuzia wewe nyumba hiyo Kwa mkopo.

Utaingia Na kuruhusiwa kuhamia kwenye nyumba hiyo bure Kwa makubaliano kwamba utakuwa unalipa shilingi milioni Kumi Kila mwezi.

Baada ya miezi Kumi Na mbili ukisha kamilisha Deni lako basi rasmi utapewa hati ya nyumba Na wewe utakuwa ndio mmiliki halali WA hiyo nyumba.

Ukisha kuwa mmiliki halali WA hiyo nyumba utakuwa Sasa Na uhuru wa kufanya chochote juu ya hiyo nyumba Kwa kuwa Sasa utakuwa mmiliki halali mwenye mamlaka kamili juu ya hiyo nyumba.

Hivi ndivyo ilivyo Kwa sayari ya dunia, Mungu Na wanadamu Kwa Mujibu wa nadharia hiyo..

NI HIVI

Mungu ameitengeneza sayari yetu ya Dunia Na ndani yake akaweka Kila kitu ( fully furnished )

Kisha akaitoa mkopo sayari hiyo kwetu Sisi wanadamu ili tupate kuimiliki ..

Ili tuweze kuimiliki sayari HII tunatakiwa kulipa gharama alizo tumia Mwenyezi Mungu kuitengeneza sayari HII ya Dunia Na vitu vyote vilivyomo ndani yake ikiwa Ni pamoja Na MIILI yetu ambayo raw materials zake zilitoka hapa hapa duniani( kumbuka Sisi Ni roho ambao tunaishi kwenye miili)

Tukisha maliza kulipa Deni ( gharama) alizo tumia Mwenyezi Mungu kuitengeneza sayari yetu basi Mungu atatupa funguo ( hati miliki) ZA kuitawala Dunia.

Tukisha fikia levo ya kumiliki funguo ZA kuitawala Dunia basi Mungu atashusha mbingu ( mfumo) Mpya duniani. Hakutakuwa na vifo, MAGONJWA , vita nakadhalika.

Kwa ufupi Dunia itakuwa Firdaus/Pepo/mbingu

JE NI NINI GHARAMA ALIZO TUMIA MWENYEZI MUNGU KUITENGENEZA DUNIA?

NI UPENDO. God created the world out of pure love. Kwa hiyo currency pekee ambayo Mungu anaitambua Ni " UPENDO". Hii ndio currency ambayo unaweza kuitumia kununua kitu chochote kutoka Kwa Mungu.

UPENDO NI NINI? UPENDO NI KUMPENDA BINADAMU MWENZAKO KAMA UNAVYO IPENDA NAFSI YAKO.. kama alivyo SEMA Yesu Masiha.

Binadamu tukifikia levo HII ya kuwa na UPENDO wa kiwango hiki ambao Ni collectively Dunia nzima basi tutakuwa tumelipa Deni letu Kwa Mungu Na Mungu hatokuwa Na Sababu ya kutokutupa hatimiliki( funguo) ZA kuitawala Dunia.

( UPENDO Huu utatakiwa kuwa collectively Yani watu wote dunia nzima kila MTU ampende mwenzake kama anavyo jipenda yeye mwenyewe ndani ya NAFSI yake)

Ni levo ya UPENDO ambayo mkristo atapenda muislamu kama anavyo jipenda yeye and vice versa.

Mzungu atampenda mwafrika, mchina,mwarabu,muhindi,myahudi etc and vice versa kama anavyo jipenda yeye mwenyewe.

Myahudi atampenda mpalestina and vice versa kama anavyo jipenda yeye mwenyewe.

Kila binadamu atampenda binadamu mwenzake kama.anavyo jipenda yeye mwenyewe Na atamtendea wema kama anavyo taka.kutendewa yeye mwenyewe..

Tukifikia levo HII basi Mungu wa Mbinguni atatupa funguo ZA kuitawala Dunia Na hakutakuwa Na MAGONJWA, vifo , vita Wala chochote kibaya katika Dunia HII..

We will become " PRIMUS INTER PARES WITH THE LORD "

NA HII NDIO SABABU YA TRUE MISSION OF CHRIST JESUS KUJA DUNIANI

Yesu alikuja duniani Kwa ajili ya kutukomboa wanadamu Kwa kutuletea ujumbe Huu kwamba TUWE NA UPENDO..

NI UPENDO PEKEE NDIO UTAKAO MKOMBOA MWANADAMU HAKUNA KINGINE CHOCHOTE...

NIMEZALIWA NA KUKULIA KATIKA UISLAMU LAKINI DHIMA YA KRISTO KWA WANADAMU NINA IELEWA PENGINE KULIKO MA ASKOFU NA WACHUNGAJI WENGI DUNIANI

INAPOSEMWA KUWA NA KRISTO MAANA YAKE NI KUWA NA ROHO YA UPENDO AMBAO NIMEUZUNGUMZIA HAPO JUU. UPENDO AMBAO ULI HUBIRIWA NA YESU MWENYEWE... UNAWEZA KUWA MUISLAMU AU MHINDU AND STILL UKAWA NA KRISTO NDANI YAKO . KRISTO NI UPENDO USIO NI MIPAKA. KUWAPENDA BINADAMU WENZAKO KAMA UNAVYO JIPENDA WEWE.

NDIO MAANA HATA BIBLIA YENYEWE INASEMA KAMA HAUNA UPENDO ( KRISTO) WEWE HUFAI KITU KABISA...

Ndio maana Yesu anasema hatorudi duniani mpaka watu wote wawe wamehubiriwa habari zake . PENGINE alimaanisha mpaka watu wote wawe INCHRISTED"

Ni Kweli kabisa ukiwa Na KRISTO ndani yako hata Lucifer hawezi kukufanya kitu Kwa Sababu katika ulimwengu WA roho nguvu kubwa kuliko zote Ni nguvu ya KRISTO ( UPENDO)

Kwa nguvu ya KRISTO( UPENDO) unaweza ku conquer nguvu zote ZA kiroho hapa duniani...

Ndo maana Yesu aliwaambia wanafunzi wake ufalme wa Mungu ( KRISTO) umo ndani yenu. Kwamba Mungu ( KRISTO) anaishi ndani yenu Na Zaidi akawaambia utafuteni Kwanza ufalme wake Mungu ( KRISTO/UPENDO) Na mambo mengine yote mtazidishiwa...

Maandiko yanavyo SEMA " HAPO MWANZO KULIKUWA NA NENO NA NENO ALIKUWA KWA MUNGU VITU VYOTE VISINGE FANYIKA PASIPO HUYO NENO..

Huyo NENO Ni KRISTO ( UPENDO) Na kwamba bila Upendo MUNGU ASINGE UMBA CHOCHOTE DUNIANI..

Mungu anaposema huyo Ni mwana wangu mpendwa nilie pendezwa nae anamaanisha KRISTO( UPENDO )

Na Yesu anaposema Mtu haji Kwa baba bila kupitia kwangu Kwanza anamaanisha njia pekee itakayo ku connect Na MUNGU ni UPENDO ( KRISTO)

Hata Yesu anaposema " BABA IKIWA NI KWA MAPENZI YAKO BASI NAOMBA KIKOMBE HIKI KINI EPUKE " lakini Mungu hakumuepusha YESU ( MTU ALIE BEBA ROHO YA KRISTO/ROHO YA UPENDO) Na kikombe hicho tafsiri yake Ni kwamba YESU ALIKUWA ANA MUULIZA MUNGU JE KUNA NJIA NYINGINE YOYOTE ILE AMBAYO WANADAMU WANAWEZA KUKOMBOLEWA KWAYO? MUNGU AKAJIBU KWA VITENDO KWAMBA HAPANA NJIA NYINGINE ISIPOKUWA NJIA YA KRISTO( UPENDO) ndio maana akaruhusu Yesu amwage damu yake pale msalabani.

Tunaposema Yesu Ni Mwana wa Mungu tunamaanisha kwamba Roho ya upendo/KRISTO ni roho kutoka Kwa Mungu ambayo Mungu Ali IPA Hadhi Na kuifanya kuwa mwana wake. Na Yesu anaposema " MIMI NA BABA TU KITU KIMOJA" anamaanisha " MUNGU NA UPENDO NI KITU KIMOJA.MUNGU NI UPENDO NA UPENDO NI MUNGU"

Kwa mtazamo wangu, Mtume Paulo ndio Mwanafunzi wa Kweli wa Yesu . Pamoja Na kwamba Mtume Paulo Hakuwa miongoni mwa wale wanafunzi Kumi Na wawili wa Yesu Wala hakuwahi kukutana Na Yesu physically Bali yeye alijifunza habari za Yesu kupitia wanafunzi wa Yesu lakini yeye ndio Alie muelewa Yesu Ni Nani PENGINE kuliko Mwanafunzi mwingine YOYOTE wa Yesu ISIPOKUWA Petro ambae alimtambua Yesu kuwa KRISTO. Mtume Paulo kwenye kitabu cha Tito 2:13 anamtaja KRISTO KUWA NDIE MUNGU MKUU Na Ni ukweli kabisa MUNGU NDIO UPENDO MKUU UPENDO MKUU KUPITA KITU CHOCHOTE..

Wanaposema YESU NI MUNGU wanamaanisha KRISTO/UPENDO NI MUNGU. NA WANAPOSEMA MUNGU ANA NAFSI TATU WANAMAANISHA MUNGU NI BABA MWENYE ROHO TAKATIFU YENYE UPENDO MKUU.

Mfano IPO Mingi Sana ila Kwa leo inatosha hiyo

JE MTU BINAFSI. HAWEZI KUFIKIA LEVEL YA UPENDO UTAKAO MUWEZESHA KUPEWA FUNGUO ZA KUMILIKI DUNIA?

Jibu Lake Ni NDIO... WaPo watu walio fikia level ZA juu Sana ZA Englightenment kiasi kwamba duniani waliishi Na kuheshimika kama miungu Na kifo hakikuwa Na Sauti YOYOTE kwao. Baadhi ya watu Hao Ni kama BUDHA au hata YESU MWENYEWE ambae mwili wake ulitumika.kubeba roho ya KRISTO.

Je mbona watu Hao walikufa?

Yesu alikufa akafufuka Na mpaka Leo HII bado anaishi ( Yesu Yu Hai) Na BUDHA mpaka leo HII bado anaishi katika mioyo Na NAFSI ZA wabudha achilia Mbali kwamba BUDHA amekuwa re incarnated from time to time..

UPENDO. UPENDO UPENDO
Hakika umenena vyema kabisa ndiyomaana Maandiko Matakatifu yananena dhahiri hata uwe mkarimu kiasi gani, uwe mwenye heshima, uwe mpole n.k lakini bila UPENDO wa kweli kwa Binadamu wenzio sawa na kazi bure.

UPENDO - Huvumilia.

UPENDO - Hauhesabu mabaya.

UPENDO - Hauna majivuno.

UPENDO - Hauna kipimo.

UPENDO - Hau...........................

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kumaintain upendo ni ngumu sana hasa kwa watu wanaopenda kukwaza wengine, na hilo la siku za mwisho nadhani itakuwa Kuna watu wachache watakaoweza kusimama kwenye upendo ndo hao watawakilisha maana kunasehemu inasema siku za mwisho upendo wa wengi utapoa so hawatakuwa na upendo watu wengi pia sehemu nyingine inasema ishara ya siku za mwisho ni mapigano kukoma hasa Israel na Palestina wakipatana na amani ikiwepo hivyo naona andiko lako la upendo linaelekea kuwa kweli.
 
Kwanza kabisa thibitisha huyo "Mwenyezi Mungu" uliyemtaja yupo kweli na si hadithi za kufikirika tu.
There are so many different kinds of standards of proof. Unataka nitumie which kind of standard of proof kuthibitisha uwepo wa Mungu?
 
Hakika umenena vyema kabisa ndiyomaana Maandiko Matakatifu yananena dhahiri hata uwe mkarimu kiasi gani, uwe mwenye heshima, uwe mpole n.k lakini bila UPENDO wa kweli kwa Binadamu wenzio sawa na kazi bure.

UPENDO - Huvumilia.

UPENDO - Hauhesabu mabaya.

UPENDO - Hauna majivuno.

UPENDO - Hauna kipimo.

UPENDO - Hau...........................

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
True that mkuu
 
There are so many different kinds of standards of proof. Unataka nitumie which kind of standard of proof kuthibitisha uwepo wa Mungu?
Logical, consistent with the observable universe, testable, repeatable and non self-contradictory.
 
Ingawa hizo sio standards of proofs but anyways ngoja nikujibu hivyo hivyo Na nitaanza Na " CONSISTENCY". Consistency is a proof that there is a power behind.

Sasa Wacha tuangalie consistency kwenye Kazi ya uumbaji wa Mwenyezi Mungu..

Tuanze Na kitu kinaitwa " ALAMA ZA VIDOLE" ama finger prints.

Tangu kuumbwa Kwa ulimwengu duniani WaPo mabilioni ya watu wanaishi Na mabilioni wamekwisha tangulia mbele ZA haki lakini Kila binadamu anae zaliwa anazaliwa akiwa Na FINGER PRINTS zake yeye mwenyewe. Hakuna binadamu anae zaliwa Na finger prints zinazo fanana Na finger prints ZA binadamu mwingine hata kama wamezaliwa mapacha. Hii consistency kwenye finger prints ZA binadamu Ni proof Tosha kwamba IPO power behind ambayo ime programme Na ku project hiyo consistency.

Consistency NYINGINE Ni KUHUSU Jua. Tangu kuumbwa Kwa ulimwengu Jua Hua lina chomoza mashariki Na kuzama magharibi haijatokea hata siku Moja ikawa kinyume chake au tofauti. As if that is not enough toka kuumbwa Kwa ulimwengu Jua halijawahi kuishia njiani siku zote safari ya Jua huwa Ina anzia mashariki Na kuishia magharibi. Haijawahi kutokea hata siku Moja safari ya Jua ikaishia SAA nne asubuhi Yani SAA nne asubuhi tukaliona Jua linazama magharibi.

Binadamu wote Duniani matundu ya Pua zao hayalingani ukubwa. Tundu la kulia Ni kubwa kuliko tundu la kushoto Na tundu la kulia huvuta hewa Safi oxygen Na tundu la kushoto hutoa hewa chafu. Hakuna binadamu hata mmoja ambae tundu la kulia la Pua yake Ni kubwa kuliko la kushoto kwake.. Hiyo Ni mifano michache inayo inayo onyesha consistency Na ku prove kwamba Hawa binadamu yupo Alie waumba Na kwamba kabla ya kuwaumba ali wa design Kwa umakini wa Hali ya juu Sana ..
 
Hujaelewa hata nilichokuuliza.

Toa proof ya uwepo wa Mungu iliyo consistent na ulimwengu tunaouona.

Unaposema consistency ni jua kuchomoza mashariki na kuzama magharibi, jua kufanya hivyo kunathibitishaje ni sababu ya kuumbwa na Mungu na si kwa sababu nyingine yoyote?

Unaposema consistency ni matundu ya pua kutolingana, matundu ya pua kutolingana yanathibitishaje Mungu yupo?

Wewe hata swali umelielewa?
 
We unadhani vinathibitisha Nini hivyo? Kwamba vimetokea Bahati mbaya Kwa mlipuko ?

Zaidi ya binadamu bilioni Kumi Na ushee tangu kuumbwa kwa ulimwengu Kila mmoja anazaliwa akiwa Na finger prints ZA kwake hiyo una iita Nini kama sio consistency?
 
Nakwambia hivi, kuwa na consistency si lazima ni proof ya uwepo wa Mungu, ingawa uthibitisho wa kuwepo kwa Mungu unatakiwa uwe logically consistent.

Shati jekundu si lazima liwe jezi ya Simba, ingawa jezi ya Simba ni nyekundu.

Sasa ukiona shati jekundu utasemaje hii ni jezi ya Simba kwa sababu ni shati jekundu tu? Utajuaje si jezi ya Manchester United?
Inabidi u prove kwamba ni jezi ya Simba, na si kitu kingine, hutakiwi kusema tu hili shati jekundu basi lazima ni jezi ya Simba.

Sasa wewe unaonesha consistency yoyote na kusema hiyo ni proof ya uwepo wa Mungu.

Unaonesha shati jekundu lolote na kusema ni jezi ya Simba, bila ku prove kwamba ni jezi ya Simba.

Ni sawa na mimi nikwambie noti ya shilingi bilioni moja za Tanzania ni lazima itakuwa na zero katika tarakimu zake, kwa sababu namba bilioni moja ina zero, ila noti hiyo Tanzania haipo.

Halafu wewe unakuja unanionesha noti ya shilingi 10,000, unaniambia noti ya shilingi bilioni moja za Tanzania ipo, kwa sababu noti ya shilingi 10,000 ina zero!

Hujaelewa hata standard ya kujibu ni ipi, na huja prove uwepo wa Mungu.
 
nadharia ya ovyoo sanaa hii.logically haiko sawa kabixaaa. unachanganya mambo sana. kwamba dunia intakuwa mbingu baada ya kupewa hatimiliki unasahau kwamba mbingu si physical upewe hati milik ya kuishi milele na iyo miili ya udongoo nop haikai hata kidogo.

Dimensions,portal, quantum cosmos,matrix, sacred geometry hivi ndo vitu vya kuingiza hapa sasa.
 
Back
Top Bottom