hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi unamchukuliaje mtu wa namna hii?

    HIVI UNAMCHUKULIAJE MTU WA NAMNA HII? Anaandika, Robert Heriel Hivi unamchukuliaje mtu ambaye kazaliwa mjini lakini hajasoma? Yaani kuna shule na vyuo vya kutosha lakini yeye hajasoma, yaani Hana hata elimu ya diploma wakati vyuo hivyo amezaliwa amevikuta. Hivi mtu wa namna hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kufuta namba ya mtu kwenye simu yako na ukarudi kuihifadhi tena baadaye?

    Waslaam wakuu, Kuna hili suala ambalo limenitokea mara kadha naomba kuwashirikisha, sijui huwa linawatokea na nyie ama ni mimi pekee yangu tu. Kuna muda ambao una rafiki yako ama mpenzi wako huwa mnaaminia sana, ila ikatokea siku mkaahidiana mambo fulani ila mmoja wenu haswa rafiki/mpenzi wako...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga SC wamefanikiwa 100% kwa hii 'Unbeaten Record' yao na 'Propaganda' madhubuti

    Akina GENTAMYCINE tukiwa tunasema kuwa kwa sasa Klabu ya Yanga imejipanga vyema hasa kwa upande wa Propaganda muwe mnaelewa/mnatuelewa. Ukweli ni kwamba Yanga SC siyo wapumbavu kama labda ambavyo tunaweza kudhani kwa wao kuikuza hii 'Unbeaten Record' yao katika Ligi Kuu ya NBC nchini Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania HUKUMU: Levinus Kidanabi, hajamkashifu Rais Samia, Kaonewa

    Salaam Wakuu, Tusaidiane kuangazia hii kesi, tupo huru kuongea sababu Hukumu imeshatoka. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu ilimhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Tsh 15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief Son's kwa makosa matatu ikiwamo kumkashifu Rais wa Jamhuri ya...
  5. JamiiForums Tanzania 🚨 CHEKI HII: Passo inauzwa $ 240, Kama Laki Tano na Nusu tu

    Hii Laki Tano na Nusu ni kwa Pesa ya Mama Samia + usafiri kikipanda meli mpaka bandarini nauli kinalipa $1500 kama Million Tatu na Nusu, Yani nauli ni mara sita ya gharama halisi ya msafiri mwenyewe, kama ni wasee wa ku import manzi unaweza amua kukomaa na mshindi tu... . Kikifika hapo...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa hii Biashara kuna kupata Pesa nyingi?

    Biashara yoyote lengo ni kupata pesa na kupata pesa mwishowe kuwa tajiri kukua kiuchumi. Naombeni ushauri wenu. Nataka kufungua biashara ya spares za pikipiki. Je mnadhani naweza anza na mtaji wa chini wa tsh ngapi? Pia kama kuna mtu kwa hapa Dar anaweza shauri eneo zuri kwa biashara au...
  7. JamiiForums Tanzania Miafrika ndivyo tulivyo. Inashangaza sana akili hii ya Serikali

    Hata aibu hawaoni. Halafu kuna mtu anakuja anazungumzia mabeberu sijui na nini. Hebu soma hapa. Uliza hao wanaoenda Qatari ni wazungu? Kama ni waafrika waulize wanaenda kwa pesa zao? Unasoma unagundua wanametengewa bajeti na Serikali. Wanaenda Kombe la Dunia Qatar watu 327. Wanatumia kodi za...
  8. JamiiForums Tanzania Kweli nawaambia, ili nchi hii iendelee inahitaji Rais Shupavu, Smart, Mwenye Uchungu na Nchi na Mapenzi kwa watu wake

    Tanzania haiji endelea hata siku moja kwa kuwa na Rais Legelege, mpiga porojo,chuma ulete,mpenda starehe,mdekezaji,mwivi,fisadi,asiyejiamini, anayeendeshwa na watu kadhaa. Nchi italiwa, itafisaidiwa kodi na mikopo. Wezi watakumbatiwa na kutamba kwenye korido za Ikulu. Maskini wana maskinika...
  9. JamiiForums Tanzania Anayemjua Refa Kayoko amsomee hii

    Hakuna refa profesional anaefoka hivi uwanjan, ni mpuuzi anayelazimisha kutisha ili aogopewe, ndiyo anaweza fanya hivi. Refa siyo adui wa mchezaji ni rafiki mkubwa wa mchezaji, ukimuiga Corina kutumbua mijicho hivyo haimaanishi kuwa wewe utakuwa Corina, lakini ukumbuke Corina vile ndivyo...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ni milio mbalimbali (Beep noise) inayoashiria kuwepo hitilafu kwenye computer yako

    Mara nyingi kwenye kompyuta kumekuwa na milio mbalimbali kuonyesha kwamba Kompyuta kuna hitilafu mbalimbali, na hali hii inapotokea inakuwa ni vyema kutambua tatizo lipo sehemu gani hasa. 1. Sauti kidogo tu (very short beep) sauti hii huonesha kuwepo kwa tatizo kwenye Ubaomama (motherboard) Pia...
  11. JamiiForums Tanzania Hii picha inatoa ujumbe gani?

    Mshike sana elimu usimuache aende zake.
  12. JamiiForums Tanzania Namna ya kujibu maswali ya interview

    Sikia hii Kuna wanachuo wengi hawana uzoefu wa kujibu maswali ya Interview Vizuri,Hawajui ni kwa namna gani wanaweza Kuandika Barua ya kuombea kazi (Application Letter), Au wastaafu wamesahau namna ya kuandika barua ya aina yoyote ile Lakini Kuna wengine CV KUandika Inawashinda Unajua hivi ni...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza angemtukana Boris Johnson, leo hii angejificha!

    Huwa kuna watu hapa Tanzania utafikiri kesho yao wanaijua, yule Mkuu wa Serikali ya Uingereza alimuondoa Boris aliyemkuta lkn hakumsimanga wala kumkejeli na kumdhalilisha kwa kuwa ana power yeye aliingia kazini moja kwa moja, sasa kashindwa anaondoka kwa amani kabisa siajabu Johnson Boris...
  14. JamiiForums Tanzania Nchi hii kuna siku utasikia hawa nao wanataka Urais

    Nchi hii ishakuwa ya mchezo mchezo sana. Yaani kila mtu sasa anaona anaweza kuwa Rais. Pamoja na kuwa Katiba inaruhusu lakini tuwe serious wajameni. Watanzia tusidharaulike sana. Najua UraHIs kwa Watanzia ni kitu chepesi sana. Lakini tusifike huku. 1. Hamis Kigwangalla 2. January Makamba 3...
  15. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hivi Bobi Wine anaamini kabisa anaweza kuja kuwa Rais wa Uganda?

    Ana utoto utoto mwingi sana. Hata personality ya Urais hana. Nadhani abaki tu kuwa mwanaharakati wa vijana. Maana sidhani hata Baganda nao wanamchukulia serious. Sema wanamtumia tu kumsumbua dictator Museven sababu hakuna mwingine tena mwenye makeke katika Siasa za Uganda ukimtoa Kizza Besigye...
  16. JamiiForums Tanzania Mnaoishabikia Urusi muwe mnapata aibu kila mkitazama hii picha

    Wakati Urusi inaanza kuparamia Ukraine, ilikua na kila uwezo wa kuteka Ukraine yote kwa siku tano, huu ndio mfano mzuri wa kubwa jinga... Maustadh mnalo...
  17. JamiiForums Tanzania Mistari katikati ya barabara inatumikaje kisheria?

    Tuanze na hii picha namba moja. Mstari mmoja mweupe solid katikati ya barabara maana yake hauruhusiwi ku-overtake. Si ndio hivo wakuu ama? Je, mistari ikiwa double. Kama picha namba mbili hapa chini? Tofauti na namba moja iko vipi? Tuendelee... Kuna sehemu mstari mmoja solid, mwingine...
  18. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kukata pesa pembeni inaharibu pesa zetu, tuiacheni jamani

    Wabongo ni watu waajabu sana, tuna viimani vya kipumbavu sana, sijui tumetoa wapi tabia zisizo na maana yeyote. Hii tabia ya kukata hela pembeni kwa dhana kwamba inakuepusha na chuma ulete haina maana yeyote, Kila pesa nayoishikilia iwe jero, buku, kaki hata msimbazi hukosi kukuta...
  19. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kukata pesa pembeni, inaharibu pesa zetu, tuiacheni jamani

    Wabongo ni watu waajabu sana,tunaviimani vya kipumbavu sana,sijui tumetoa wapi tabia zisizonamaana yeyote. Hii tabia ya kukata ela pembeni kwa dhana kwamba inakuepusha na chuma ulete haina maana yeyote, Kila pesa nayoishikilia iwe jero,buku,kaki hata msimbazi ukosi kukuta haijakatwa pembeni...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hii status ya HESLB ina maana gani? Au ndiyo nimwandalie dogo ada mapema tu?

    Kwema watu wa Mungu? Naomba kuuliza,hawa heslb wamemwekea mdogo wangu hii status kwenye account yake. Je kuna matumaini yoyote ya kupata mkopo kweli au ndiyo nijipange na mapema tu kumtafutia ada? NOTE:amechaguliwa SUA kozi ya veterinary medicine.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…