🚨 CHEKI HII: Passo inauzwa $ 240, Kama Laki Tano na Nusu tu

Samatime Magari

Senior Member
Feb 10, 2017
103
387
1666824278932.png

Hii Laki Tano na Nusu ni kwa Pesa ya Mama Samia + usafiri kikipanda meli mpaka bandarini nauli kinalipa $1500 kama Million Tatu na Nusu, Yani nauli ni mara sita ya gharama halisi ya msafiri mwenyewe, kama ni wasee wa ku import manzi unaweza amua kukomaa na mshindi tu...
.
Kikifika hapo Bandarini Tiarehei Kodi unawapa Million kama nne na Nusu + ukiweka na Habari za bandari, plate number na clearing kama Laki sita na Nusu, Mpaka sasa total cost ni Milioni nane kama na laki saba hivi.. . Insurance unapiga kimya tu no need au unakata ya bajaji..
.
1666824348120.png
1666824365348.png

.
Baada ya hapa unaingia barabarani, unapiga na American tinted moja safi na Hapa unaanza kula maisha, we ni kumwaga oil tu na kubembelezana na gari yako. Baada kama ya miaka 4 au 5 ndo ki passo kinaweza anza kuleta mauza uza Kikileta mauza mauza unampa mtu mwingine..
.
Mtu mwingine inakua gari yake mpya, anaipiga major service kinarudi barabarani Kinaendeleza ujenzi wa nchi vizuri kabisa, maana hapo kuna chain kubwa kwenye magari, Mfano kuna mafuta, fundi, spare, muosha gari, parking, msafisha taa, mjaza upepo nk..
.
1666824482260.png
1666824497341.png

.
Kama huna mambo mengi haka kandinga kako poa tu kuanzia maisha, Tena kama mshahara wako haukutani, unaishia katikati ya mwezi kinakufaa sana, Achana na maneno ya watu kwanza Mafuta hata baby care kinatumia, engine oil hata korie safi tu, Oil filters unaweza osha ukaanika ukatumia tena, unataka nini tena..
.
Kikila mzinga hauhitaji brake down, unasukuma mwenyewe tu na ndugu zako, Hata kama we ni mzee wa Mizigo midi size, hapa space inakutosha kabisa. Unajua ukitaka gari usiangalie watu watakuona vipi/watasemaje au kufata mkumbo angalia uchumi wako + matumizi..
.
1666824659070.png
1666824673324.png

.
Unaweza force kukaa kwenye machine kubwa na ukapata sifa kwa jamii Kumbe umefunga ndoa na shetani anayekukula mdogo mdogo daily. Ukija kushtuka umepoteza muda pesa na ustawi wako binafsi, Maisha si mashindano just live your life Mzee dunia bado inakuhitaji..
.
1666824917670.png
1666824942707.png
1666824959122.png
1666824977496.png
1666825045875.png

.
Anyway ukitaka Kuagiza machine Japan, UK, Singapore nk njoo, tutakupa ushauri + guidance, Tutahakikisha unafanya maamuzi sahihi usije ita gari lako jini, tupigie au njoo ofisini Posta Mpya Phoeniz House tutaku assist, Pia unaweza tembelea kurasa zetu za jamii @samatimemagari/cardealers kujifunza zaidi kupata guidance ili kufanya maamuzi sahihi..
.
Asante
Samatime
0714547598
 
Ndio maana Nchi zilizoendelea ndio zinazoendelea kuendelea.

Kwa hiyo hapo Mjapani ananunua Gari mpya kwa hela isiyozidi milioni moja au mbili tu, na bado barabara zote anazotumia zipo vizuri kwa hiyo hapati matatizo ya kuharibika Gari hovyo, yeye ni kufanya service na kuweka mafuta.

Sasa Mimi wa Bongo nitanunua Gari alilokwishalitumia yeye kwa sh milioni nane na bado nikutane na barabara za mitaani kila baada ya mwezi nalazimika kupita Gereji kurekebisha hiki ama kile...wakati Mwenzangu wa Japani anapeta tu.
 
Daah ila hao Tiarahei ifike muda sasa wakae waangalie tena upya gharama zao wanazochaji, yaani wanakula ndefu kuliko hata mtengenezaji wa hiyo bidhaa!
 
Sio kweli, Passo kutoka kwa mtengenazaji kwasasa imesimamia zaidi ya 20M
 
View attachment 2399293

Hii Laki Tano na Nusu ni kwa Pesa ya Mama Samia + usafiri kikipanda meli mpaka bandarini nauli kinalipa $1500 kama Million Tatu na Nusu, Yani nauli ni mara sita ya gharama halisi ya msafiri mwenyewe, kama ni wasee wa ku import manzi unaweza amua kukomaa na mshindi tu...
.
Kikifika hapo Bandarini Tiarehei Kodi unawapa Million kama nne na Nusu + ukiweka na Habari za bandari, plate number na clearing kama Laki sita na Nusu, Mpaka sasa total cost ni Milioni nane kama na laki saba hivi.. . Insurance unapiga kimya tu no need au unakata ya bajaji..
.
View attachment 2399298View attachment 2399301
.
Baada ya hapa unaingia barabarani, unapiga na American tinted moja safi na Hapa unaanza kula maisha, we ni kumwaga oil tu na kubembelezana na gari yako. Baada kama ya miaka 4 au 5 ndo ki passo kinaweza anza kuleta mauza uza Kikileta mauza mauza unampa mtu mwingine..
.
Mtu mwingine inakua gari yake mpya, anaipiga major service kinarudi barabarani Kinaendeleza ujenzi wa nchi vizuri kabisa, maana hapo kuna chain kubwa kwenye magari, Mfano kuna mafuta, fundi, spare, muosha gari, parking, msafisha taa, mjaza upepo nk..
.
View attachment 2399302View attachment 2399303
.
Kama huna mambo mengi haka kandinga kako poa tu kuanzia maisha, Tena kama mshahara wako haukutani, unaishia katikati ya mwezi kinakufaa sana, Achana na maneno ya watu kwanza Mafuta hata baby care kinatumia, engine oil hata korie safi tu, Oil filters unaweza osha ukaanika ukatumia tena, unataka nini tena..
.
Kikila mzinga hauhitaji brake down, unasukuma mwenyewe tu na ndugu zako, Hata kama we ni mzee wa Mizigo midi size, hapa space inakutosha kabisa. Unajua ukitaka gari usiangalie watu watakuona vipi/watasemaje au kufata mkumbo angalia uchumi wako + matumizi..
.
View attachment 2399304View attachment 2399305
.
Unaweza force kukaa kwenye machine kubwa na ukapata sifa kwa jamii Kumbe umefunga ndoa na shetani anayekukula mdogo mdogo daily. Ukija kushtuka umepoteza muda pesa na ustawi wako binafsi, Maisha si mashindano just live your life Mzee dunia bado inakuhitaji..
.
View attachment 2399310View attachment 2399311View attachment 2399312View attachment 2399313View attachment 2399315
.
Anyway ukitaka Kuagiza machine Japan, UK, Singapore nk njoo, tutakupa ushauri + guidance, Tutahakikisha unafanya maamuzi sahihi usije ita gari lako jini, tupigie au njoo ofisini Posta Mpya Phoeniz House tutaku assist, Pia unaweza tembelea kurasa zetu za jamii @samatimemagari/cardealers kujifunza zaidi kupata guidance ili kufanya maamuzi sahihi..
.
Asante
Samatime
0714547598
Yaani milion 8 niagize passo, kwa nn nisiagize honda fit, mazda demio mbn zipo za bei km hizo na around milion 9 unaikamata mkononi
 
Back
Top Bottom