Namna ya kujibu maswali ya interview

Louis Mahali

Member
Mar 7, 2022
15
15
Sikia hii Kuna wanachuo wengi hawana uzoefu wa kujibu maswali ya Interview Vizuri,Hawajui ni kwa namna gani wanaweza Kuandika Barua ya kuombea kazi (Application Letter), Au wastaafu wamesahau namna ya kuandika barua ya aina yoyote ile

Lakini Kuna wengine CV KUandika Inawashinda Unajua hivi ni moja kati ya vitu vinavyokufanya Ukose kupata hiyo kazi

Kwa mfano Kwenye interview unaulizwa JE MADAM/SIR TUKULIPE MSHAHARA WA KIASI GANI KWA MWEZI, AU UNAULIZWA UNAKITU GANI CHA ZIADA CHA KUKUFANYA UAJIRIWE NA KAMPUNI YETU.? xaxa Basi waone Hawa Jamaa wanajua sana ni wataalamu waliobobea Kwenye Maswala Mengi ya Documents Watatufe Utafanikiwa tu.

Kama umeusoma ujumbe huu share na kwa wengine usiogope.
 

Attachments

  • pagepatrol lol-Recovered.jpg
    7.7 MB · Views: 65
Back
Top Bottom