hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hii picha inatoa ujumbe gani?

    Mshike sana elimu usimuache aende zake.
  2. Louis Mahali

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujibu maswali ya interview

    Sikia hii Kuna wanachuo wengi hawana uzoefu wa kujibu maswali ya Interview Vizuri,Hawajui ni kwa namna gani wanaweza Kuandika Barua ya kuombea kazi (Application Letter), Au wastaafu wamesahau namna ya kuandika barua ya aina yoyote ile Lakini Kuna wengine CV KUandika Inawashinda Unajua hivi ni...
  3. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza angemtukana Boris Johnson, leo hii angejificha!

    Huwa kuna watu hapa Tanzania utafikiri kesho yao wanaijua, yule Mkuu wa Serikali ya Uingereza alimuondoa Boris aliyemkuta lkn hakumsimanga wala kumkejeli na kumdhalilisha kwa kuwa ana power yeye aliingia kazini moja kwa moja, sasa kashindwa anaondoka kwa amani kabisa siajabu Johnson Boris...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nchi hii kuna siku utasikia hawa nao wanataka Urais

    Nchi hii ishakuwa ya mchezo mchezo sana. Yaani kila mtu sasa anaona anaweza kuwa Rais. Pamoja na kuwa Katiba inaruhusu lakini tuwe serious wajameni. Watanzia tusidharaulike sana. Najua UraHIs kwa Watanzia ni kitu chepesi sana. Lakini tusifike huku. 1. Hamis Kigwangalla 2. January Makamba 3...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hivi Bobi Wine anaamini kabisa anaweza kuja kuwa Rais wa Uganda?

    Ana utoto utoto mwingi sana. Hata personality ya Urais hana. Nadhani abaki tu kuwa mwanaharakati wa vijana. Maana sidhani hata Baganda nao wanamchukulia serious. Sema wanamtumia tu kumsumbua dictator Museven sababu hakuna mwingine tena mwenye makeke katika Siasa za Uganda ukimtoa Kizza Besigye...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Mnaoishabikia Urusi muwe mnapata aibu kila mkitazama hii picha

    Wakati Urusi inaanza kuparamia Ukraine, ilikua na kila uwezo wa kuteka Ukraine yote kwa siku tano, huu ndio mfano mzuri wa kubwa jinga... Maustadh mnalo...
  7. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Mistari katikati ya barabara inatumikaje kisheria?

    Tuanze na hii picha namba moja. Mstari mmoja mweupe solid katikati ya barabara maana yake hauruhusiwi ku-overtake. Si ndio hivo wakuu ama? Je, mistari ikiwa double. Kama picha namba mbili hapa chini? Tofauti na namba moja iko vipi? Tuendelee... Kuna sehemu mstari mmoja solid, mwingine...
  8. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kukata pesa pembeni inaharibu pesa zetu, tuiacheni jamani

    Wabongo ni watu waajabu sana, tuna viimani vya kipumbavu sana, sijui tumetoa wapi tabia zisizo na maana yeyote. Hii tabia ya kukata hela pembeni kwa dhana kwamba inakuepusha na chuma ulete haina maana yeyote, Kila pesa nayoishikilia iwe jero, buku, kaki hata msimbazi hukosi kukuta...
  9. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kukata pesa pembeni, inaharibu pesa zetu, tuiacheni jamani

    Wabongo ni watu waajabu sana,tunaviimani vya kipumbavu sana,sijui tumetoa wapi tabia zisizonamaana yeyote. Hii tabia ya kukata ela pembeni kwa dhana kwamba inakuepusha na chuma ulete haina maana yeyote, Kila pesa nayoishikilia iwe jero,buku,kaki hata msimbazi ukosi kukuta haijakatwa pembeni...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hii status ya HESLB ina maana gani? Au ndiyo nimwandalie dogo ada mapema tu?

    Kwema watu wa Mungu? Naomba kuuliza,hawa heslb wamemwekea mdogo wangu hii status kwenye account yake. Je kuna matumaini yoyote ya kupata mkopo kweli au ndiyo nijipange na mapema tu kumtafutia ada? NOTE:amechaguliwa SUA kozi ya veterinary medicine.
  11. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Usidanganywe na msemo huu, "Umri umeenda, tafuta mtu wa kuolewa au mtu wakukuzalia"

    Kwanza poleni wakaka na wadada ambao bado single kama mimi. Kuna huu msemo eti umri umeenda tafuta mtu wa kuolewa au unatafuta mtu wakukuzalia. Hapana, hakuna hilo, mnajidanganya. Usidanganywe eti kwasababu umri umeenda uwe chocho ya mtu au mke wa pili wa mtu, hapana. Mungu aliumba ulimwengu...
  12. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Hii Picha itakuja kupostiwa kama TBT siku Fede Valverde akitwaa Tuzo ya Ballon d'Or

  13. TODAYS

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Litafanyika zoezi la kawaida la Medani Mkoani Lindi na Mtwara kuanzia 19 hadi 29 Oktoba 2022

    Kwa mwenye jicho la tatu kuna kitu hapa Jeshi letu pendwa wanafanya ili kuwapa onyo wale jamaa wanaotaka kuleta dharau, safi sana hii.
  14. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kupiga bao nyingi kwa tendo moja nayo ni dhana potofu

    Hii ni dhana potofu na ni tatizo. Yaani mwanaume unaenda bao 3, 4 au 6 halafu mkeo ana bao 1 tu au hajapata kabisa, hilo ni tatizo rafiki zangu. Mwanaume mwenye nguvu (rijali) hasifiki kwa idadi ya bao anazopiga yeye, abadani, anasifika kwa muda anaotumia kutoka bao moja kwenda jingine, hiyo ni...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini wana Yanga SC wengi baada ya Msudani kuwafanya kitu mbaya wameangukia katika kauli hii ili kujifariji?

    "Sawa tumetolewa rasmi Klabu Bingwa, ila Jumapili ijayo tarehe 23 Oktoba 2022 Simba SC watatukoma kwa Mkapa" mashabiki wa Yanga SC. Nami GENTAMYCINE nawauliza wana Yanga SC je, mkiikamia hivi Simba SC na kuifunga hiyo tarehe 23 Oktoba, 2022 ndiyo mnatinga hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa (CAFCL...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Vipindi vya michezo vya redio "vitanoga" sana wiki hii nzima

    100% vitakuwa ni vya kupongeza mafanikio ya Simba SC na 100% vitakuwa ni vya kuelezea uozo na kufeli kwa Yanga SC huko CAFCL.
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Polisi wazuia Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

    Katika Muendelezo wa kutumiwa na ccm kisiasa , Jeshi la Polisi limetumwa tena leo kuzuia Msafara kabambe wa Katibu Mkuu wa Chadema , aliyeingia kwa kishindo mkoani humo kwa ajili ya vikao vya ndani vya chama chake (CHADEMA DIGITAL) Taarifa zaidi kuhusu Mtiti uliotokea zitakujia hivi punde .....
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Baada ya DSTV kujichanganya kwa bei kubwa ya World Cup, AzamTv ni nafasi yenu hii kututangazia World Cup bei chee

    DStv jana wamezindua ofa yao ya kombe la dunia ambapo ili uone mechi zote 64 mubashara utahitaji ulipe kifurushi cha Compact ambacho ni shilingi 56,000. Ndugu zetu, wazalendo wenzetu AzamTv huu ndiyo muda wenu wa kuibuka na kututangazia Watanzania kuwa mtaonesha kombe la dunia kwa bei nafuu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kusuasua ujenzi wa bwawa la JNHP lafikia 74%

    Wasiopenda maendeleo ya Tanzania hawataki mradi huu ukamilike mapema.
  20. H

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya mwisho kwa Yanga kabla ya mechi yao na Al Hilal hapo kesho

    Yamebakia kama masaa 24 kabla ya mtanange muhimu kwa Yanga na Al Hilal hapo kesho. Niwatahadharishe kitu kuwa, kesho inaweza ikatokea bahati mbaya Yanga wakafungwa goli la mapema sana. Sasa niwaambie ndugu zangu hawa kuwa, hawatakiwi kukata tamaa mpira ni dakika 90. Goli la mapema linaweza...
Back
Top Bottom