Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,095
- 2,429
Biashara yoyote lengo ni kupata pesa na kupata pesa mwishowe kuwa tajiri kukua kiuchumi.
Naombeni ushauri wenu. Nataka kufungua biashara ya spares za pikipiki. Je mnadhani naweza anza na mtaji wa chini wa tsh ngapi?
Pia kama kuna mtu kwa hapa Dar anaweza shauri eneo zuri kwa biashara au ushauri mwingine wowote anaweza wasiliana nami hata pm. Natamani kufanya biashara ya spares lakini natamani nianze na mtaji wa kawaida tu ili niweze jifunza pia na kumaster business hiyo.
Niliwahi ingia katika biashara ya zao flani mwaka flani...nlianza na mtaji mkubwa. Nikapata loss ya ajabu sana mpaka leo sijawahi tamani tena fanya biashara hiyo.
Naomba tushauriane please.