hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Zacht

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka nifanye biashara hii

    Heri ya mwaka mpya . Kuna kitu nimewaza kufanya lakini sijui kama nipo sawa kimahesabu kwa Sababu sio uzoefu nayo, iko hivi nimewaza nianzishe biashra ya chakula (wali) kwa kufanya partnership na mtu. Yaani namtafuta m-mama au mdada nampa mchele 90-100 kg auze. Then mimi Nitakuwa nachukua Kila...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya ndoto hii ya kuendesha vyombo vya moto?

    Habari waungwana naomba msaada kwa mwenye kuelewa maana ya ndoto hii mara nyingi nimekuwa nikiota naendesha vyombo vya moto kama vile gari ya abiria au pikipiki huku nimepakia abiria nyuma. Sometime naota narusha ndege angani yenye abiria wengi wakati huo sina experience yoyote na vyombo vya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania TRA Wamepandisha kodi kwa magari yanayoingizwa nchini

    Washapandisha kodi kitambo. Baadhi ya gari zimeongezeka hadi milioni. Angalieni TRA tax calculator. ===
  4. Lameckjr

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuacha kutafuta dada poa

    Nawasalimu ndugu zangu Huu uzi ni sawa na mrejesho wa uzi wangu uliopita juu ya sintofahamu yangu kuhusu upatikanaji wa Dada poa maeneo ya Mbezi Mwisho Nawashukuru wadau walichangia, wakanielekeza machimbo. Nami nilihakikisha nafika ili nipate mbususu, basi nilifika eneo hilo Lubumbashi Bar...
  5. Nsumba ntale tz

    JamiiForums Tanzania Mods futeni tena na huu uzi: Tumia dawa hii utapona ugonjwa wa sickle cell ndani ya miezi 3

    Mkipenda futeni mods! Mahitaji nunua chungu na kuku jogoo kisha mchinje huyo jogoo halafu toa vitu vyote vya ndani(utumbo, maini, firigisi, mapafu) maana ndiyo tiba na uvipike kwenye hicho chungu bila kuweka maji mpaka viungue kabisa kama mkaa kufikia hatua ya kusaga na kupata unga wake, baada...
  6. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya wanajeshi wengi kupigwa na Himars

    Ni kosa lilifanyika nadhani ni kwa sababu hawa sio askari tegemezi wa Russia. Askari hawezi kutumia simu za kawaida sehemu yoyote iwe kambini au uwanja wa vita. Already obvious that the main reason for what happened was the turning on and mass use mobile phones by personnel – contrary to the...
  7. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Uchungu wa uongo hii ndio tofauti ya leba ya uongo na leba ya kweli

    Maumivu ya uongo, uchungu wa Leba ya uongo (false labor, spurious labor). Leba ya uwongo inapatikana zaidi kwenye mimba ya kwanza kuliko kwa wanawake walio wahi kuzaa awali. Kawaida huonekana kabla ya kuanza kwa uchungu wa kweli wa leba, kwa wiki 1 au 2 kwa mimba ya kwanza na kwa siku chache kwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndoto inachanganya kichwa: Nimeota nimekoswakoswa kubamizwa na gari kwenye mti likaenda kuparamia nyumba ya watu

    Hii nini jamani? Kuna nini? Mbona ni vitisho tu usiku ndotoni? Ndoto gani hizi jamani?
  9. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Masoud kipanya katuletea nyingine hii

    Salamu zangu kwenu wakuu Tuendelee kuchanganua kama picha inavoeleza hapa chini
  10. Dra Maxie

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu wana JF hawakijui?

    Habar za new year Leo ningependa tu kuuliza kiroho safi Hivi kuna kitu wana JF hawakijui kweri maana mm naona kila kitu wanajibu Inakuwaje
  11. J

    JamiiForums Tanzania Qatar ilipata utajiri kutokana na gesi. Kwanini Tanzania ilizuia miradi ya gesi?

    Leo hii Tanzania tungekuwa tunauza gesi yetu Ulaya kwa bei ya juuu baada ya Urusi kususiwa.😭😭 Tazama hiyo ni nchi ya Qatar Kabla ya kugundua gesi mwaka 2002 uchumi wao ulikuwa dola bilioni 19 tu, baada ya kugundua gesi uchumi wao leo ni dola bilioni 220. Hii imeniuma sana kwa kuwa Magufuli...
  12. tawakkul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia vunja mifumo hii utusaidie wananchi wa maisha ya chini Morogoro hasa wilayani Kilosa, tunaonewa

    Habari wakuu JF! Iko hivi; Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu atakayepinga kuwa katika awamu ya sita kumefanyika ujenzi wa shule, hospitali, zahanati, vituo vya afya miundombinu ya hali ya juu kuliko awamu zote. Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu atakayekataa kuwa awamu ya sita imeleta...
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kiroho zaidi: Huenda hii ndio sababu ya kiroho kwanini wadau wa mpira walikuwa wanasema Feisal ana takiwa kucheza Barcelona

    Feisal ndio mchezaji anae ongoza kwa kupewa sifa ambazo hana.. Mashabiki wa Yanga= Feisal hawezi cheza timu yoyote nje ya Yanga akitoka Yanga anaenda Madrid. Manara = Feisal sio mchezaji wa nchi hii. Amunike = Feisal anatakiwa kuchezea Barcelona. But ndio uhalisia huo? Sio kweli. Ukweli ni...
  14. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni haki? Is this just?

    Hola amigos! Alamsiki! Umelala usiku kabla usingizi haujaanza kukukaba unasikia sauti kama kwichikwichi dirishani,........ile kuangalia hivi unaona kifimbo chembamba kimepenyezwa dirishani polepole kimenasa suruali yako yenye ile walet iliyobeba ada za mwanao. Kama paka! Unaamua kunyata na...
  15. Harrykany

    JamiiForums Tanzania Tunao bet, kama ulisha wai cheza hii option naomba maelezo nimeipenda,

    Nataka nichezee nife hata. Na mchezaji mmoja, Sasa kizungu changamoto hapo sijaelewa Ili mkeka uende inatakiwa mchezaji achezeje huo mpira, apige short golini au mradi kapiga tu shot!? Msaada
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tuacheni kuwa Wanafiki kwahiyo tulisubiri mpaka Pele 'Akate Moto Mazima' ndiyo tumpambe kwa hii Misifa?

    Hivi tungekuwa tunampa hizi Sifa zetu zote za Kinafiki tunazozitoa sasa sehemu mbalimbali asingezifurahia na hata Kumfariji alipokuwa bado Hai anapambania Maisha yake Hospitalini? Hakuna Kitu nachukia kama Unafiki. Na hasa hasa tabia hii tunayo Sisi Miafrika ila zaidi kabisa Sisi Mitandania...
  17. jokotinda_Jr

    JamiiForums Tanzania Kumbe biashara ya mahindi mabichi inalipa na wadau mmekaa kimya hamsemi

  18. MR LINKO

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wasajili laini kutumia vitambulisho vya watu bila wenyewe kujua kusajilia watu wengine zaidi ni hatari

    Habari wakuu natumaini mko poa wote, Iko hivi kuna kipindi nilipoteza simu yangu ya smart pamoja na laini yani niliibiwa sasa nikakaa kama mwezi maana simu nilikuwa naona sehemu ilipo nikaamini nitaipata baadae nikaja nikakata tamaa nikaona isiwe kesi ngoja nirudishe laini zangu. Siku...
  19. opondo

    JamiiForums Tanzania Watumia mkongo wanatuharibia kizazi hiki, wapelekwe mahakamani

    Wanawake wako tofauti tofauti sifa, tabia, mwenendo wao pia ni tofauti kamwe hutoweza kumridhisha Mwanamke kwa chochote. Nilikua na mpenzi wangu, during sex kwa muda mfupi sana alikua anamaliza na anakua yuko satisfied, hutoki jasho jingii kama vile unaponda mawe. Nikapata mwingine pia ndani...
  20. 100 others

    JamiiForums Tanzania Nyuzi za namna hii zimekuwa nyingi mno, kulikoni?

    Hizi nyuzi za namna hii zimekuwa nyingi sana, ni muda mrefu sasa lakini this time imekua too much. je umekutana na nyuzi za namna hii au zinazorandana na hizi za kusifu na kuabudu ujinga? Tanzania yawa nchi ya mfano Africa.....blah... blah.... blah.... Tanzania Yashika Namba 4 Kati ya Nchi 10...
Back
Top Bottom