hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hatukatai elimu ni muhimu ila kuwe na kipimo, Watoto shule za msingi masomo yamekuwa mengi, wakirudi home work, likizo tuition, Hii ni mbaya sana!!

    Mtoto ni kama vile kazaliwa kwajili ya kusoma tu. Tena siku hizi wameongezewa masomo na muda mwingi wapo shulenj, hawa ni watoto wenye umri mdogo kuliko hata sisi tulipokuwa shuleni, kumbuka siku hizi watoto wengi wanaanza la kwanza wana miaka mitano wanamaliza elimu ya msingi darasa la sita...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunzeni hii: Mechi ya leo kwa Mkapa Simba SC inaenda ama kuongeza 'Gap' kwa alama 6 au 5 kwani kuna watu leo watavurugana na hawatoamini

    Sasa Yusuf Bakhressa ulikuwa wapi Kufuata huo Ushauri uliopewa (na wanaojua Fitna za Soka la Bongo) ili Kuwamaliza hao Wapuuzi Kwako kuwa ni rahisi kama ambavyo inaenda kuwa rahisi leo? Kile mlichokifanya Jana Klabuni Kwenu ndiyo Dawa yao na mmeshawaweza na Kuwamaliza hivyo GENTAMYCINE najua...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chukueni hii 100% Kocha Roberto na Mkurugenzi wa Ufundi Simba SC Kocha Mgunda katika Mzozo mkubwa, ila kwa sasa Unafichwa Kwenu

    Mlizoea GENTAMYCINE naleta tu Taarifa Nyeti za Ndani ya Yanga SC ila Usiku huu nawaletea moja Kabambe kutoka ndani ya Simba SC ( Timu ambayo naishabikia ) mno na Naipenda. Taarifa ikufikie ya kwamba kumbe Kocha Juma Mgunda ( ambaye ni Mkurugenzi wa Ufundi Simba SC na Boss wa Kocha Mkuu wa Simba...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Dunia Duara: Waliokuwa wanajiona wa maana matawi ya juu, Leo hii wanatamani maisha yetu, Weka kisa chako hapa

    Tuache kujiona wa thamani kuliko wengine! Tusiwashushe wengine Kwa kauli ama matendo TukumbukeDunia ni duara, unayemuona leo chini kesho atainuliwa. Nakumbuka shuleni kipindi nipo Form 6 kuna mwenzetu alikuwa anakuja na Corolla anaipaki, tufanye kumuita P. Huyu P alikuwa na maisha yake ya...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Hii maana yake nini? Ndio tunaenda kuuzwa rasmi?

    I think this is the poorest decision She has ever made? Tunaheshimu tu Katiba lakini hafai kiwa kiongozi mkuu wa nchi. Asaini asisaini. Hili jambo ni la kupingwa kwa nguvu zote. Kimyakimya na waziwazi.
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuna wazazi wanawaandaa watoto wao kuwa watumwa katika hii nchi. Mtoto anamaliza darasa la 7 hata wiki haiishi anapelekwa kusoma pre form one.

    Kwa sasa serikali ina wastani wa watumishi 700k, sekta binafsi wenye mikataba ya maana ni kama millioni 1 tu. Tuseme hivi waajiriwa wenye maslahi angalau hapa nchini ni kama millioni 2 tu. Wengi ni vibarua, nikimaanisha wengi wana mikataba mifupi . Idadi ya wasomi inaongezeka kila leo. Zamani...
  7. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Uzembe nchi hii utaisha kwa mzembe kuhukumiwa kwa kupigwa risasi hadharani

    Tunakuwa na mgawo wa umeme wa kutisha na unaodhoofisha uchumi wa wananchi huku tukiwa na:- 1. Gesi asilia ya kutosha 2. Makaa ya mawe ya kutosha 3. Mwanga wa jua wa kutosha 4. Nk nk Leo tunaishia kubadilishiwa viongozi bila kuelezwa aliyetolewa ameharibu nini na kwa nini hapelekwi mahakamani...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Utafiti nilioufanya nimegundua vijana wengi waliosoma shule za bei kubwa wanachelewa sana kuoa tofauti na waliosoma shule za serikali, hii ndio sababu

    Hata mimi mwenyewe nimesoma shule za private lakini nina marafiki wengi waliosoma serikali, so nayaongea haya nikiwa nawajua wahusika. Binafsi kwenye shule za msingi na o leve nimesoma za private, msingi nimesoma day ada ilikuwa laki 2 mwaka 2003 (kwa sasa ni milioni 1), o level sekondari ada...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hii ya mwisho wadada siwafundishi tena

    Ukiona chuchu zako zinakuuma jua kuwa mume wako añavunja amri ya sita almaarufu Anazini na mwanamke mwingine huko aliko. Hii hutokea pale mtoto wako anayenyonya ameamka na wewe uko mbali kidogo na hutokea pia mume wako anapovunja amri ya sita. Wakaka nanyi niwape ishara mjue wake zenu kuwa...
  10. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Viherehere wanawake wanaojikomba sikilizeni hii

    https://www.facebook.com/reel/864002521844485?mibextid=9drbnH msiseme hamjaambiwa wakiolewa wengine maslay queens wasiochafua miili yao mnalia
  11. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Hii vita ni kali kuliko ya jamaa zetu tunaowafahamu!

    Kwa wafuatiliaji wa mitandao hasa kule X na habari za Palestine na Israel, binafsi nasoma kidogo kwa wabongo alafu naenda kwa walio karibu na eneo husika. Ni hivi; kuna jamaa naona ni Mmarekani anaitwa Jackson Hinkle huyu jamaa anashabikia sana habari za mauaji yanayofanywa na IDF na kuna...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hii hapa CV ya Askofu Mteule Jovitus Mwijage

    Pitia hii CV ya askofu mteule. Ama kweli kapikwa na kapikika. FaizaFoxy na The Boss boss leteni CV zenu pia siyo kjimwambafai tu nyuma ya keyboard.
  13. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Vidume wenzangu hii tuiitaje?

    😀😀😀 Sema chochote utakacho nitakupa.
  14. Sultan MackJoe Khalifa

    JamiiForums Tanzania Hii wiki hali ya mashabiki wa Yang ni mbaya kuliko maelezo

    hii ni wiki ya mateso,dhoruba,milipuko ya moyo na presha kupanda kwa mashabiki wa Utopolo. mashabiki wa Utopolo wanaumizwa na mafanikio ya Simba. kuna mmoja katangaza kwa uchungu kuachana na soka,tukio kubwa la soka Tanzania la uzinduzi wa michuano mikubwa Africa yeye kutokuwepo imemuuma...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hizi takwimu zinaonyesha kuwa Dar ndiyo kila kitu nchi hii

    Kwa tunaotangazaga biashara mitandaoni tutakuwa tumeshuhudia hili. Zaidi ya asilimia themanini ya wateja wa mitandaoni wanatoka Dar. Hii inaonyesha ni jinsi gani Dar ilivyoiacha mmbali mikoa mingine yote. Hizi hapa ni takwimu za matangazo ya biashara instagram.
  16. Protector

    JamiiForums Tanzania Kwanini haya Magari aina hii Toyota Fielder sio maarufu sana yana tatizo gani?

    Habari wana jukwaa, moja kwa moja kwenye mada. Kuna aina hii ya magari yanaitwa TOYOTA FIELDER naona kwa hapa bongo ni machache sana na ukikaa barabarani kuyaonayanapita ni nadra sana. Shida ni nini? Pia nimefatilia yanapouzwa yanakuwa na kilometer nyingi sana, mengi siyo chini ya 100,000km...
  17. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu inayofanya Rais Samia apendwe na kuchukiwa na baadhi ya watu

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakuu mimi sio mwanasiasa, na wala sijawahi kujishughulisha na mambo yoyote ya kisiasa. Ila nimekuwa mfuatiliaji na msomaji wa mambo ya kisiasa kupitia vyombo vya habari, mitandao, mikutano mbali mbali ya wanasiasa. Na kiukweli katika kusoma na kufuatilia mambo...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Huyu mtoto aliyeandika post hii aambiwe akae asome kwa bidii

    Hawa watoto wanaoendesha ukurasa wa UDOMFAME hebu waambieni wakae wasome. Wanakuja kukemea JF kuwa iache kuzungumzia kunguni, wakati huo uongozi wao unasema suala la kunguni ni suala wote kwa hiyo tushirikiane kupambana nao Uongozi wa UDOM wajibu madai ya kuwepo kunguni kwenye mabweni ya...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wasanii wa Tanzania wenye hali nzuri za kiuchumi baada ya maisha ya muziki. Nani kasahaulika?

    wasanii wenye Hali nzuri nje ya Sanaa ta mziki, Kwa Sasa hawajishughulishi sana na mziki kama kazi zao kuu, ni wastaafu Si jambo la kuficha kwamba ni wasanii wachache huwa wana hali nzuri za kiuchumi baada ya maisha ya muziki Orodha ya hawa wasanii hatuwezi kusema kwamba ni matajiri wa kutisha...
  20. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waziri Gwajima, hii anayofanya Lillian Mwasha kwa watoto siyo sawa

    Anawauliza watoto wanaochukiwa na baba zao. Je amewaandaa kisaikolojia? Mbona yaonekana kama ni udhalilishaji kwa watoto na wazazi wao. Angalia clip hapa.
Back
Top Bottom