hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wanajua kupika bhana, cheki hii

    Kongole kwa wanawake wote mnaotupikia waume zenu vizuri, nyie ndio mnaotufanya tunawiri. Sasa kwa msosi kama huu nakupigaje goli moja kwamfano 😋😋😋
  2. JamiiForums Tanzania Kiwango cha Simba kingekuwa kipimo cha Klabu Bingwa Afrika, michuano hii ingedharaulika sana

    Kwa kiwango na uchezaji wa Simba hii, hakika michuano hii ingedharaulika na kutofuatiliwa. Simba imechoka na haina hata uwezo wa kupiga pasi tano. Simba wamekuwa wakijipambanua kuwa wao ndiyo wacheza-klabu Bingwa Afrika. Wamekuwa wakiwabeza na kuwatweza Yanga kuwa michuano hiyo hawaiwezi na si...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Hali ya Kateshi jioni hii

    Kateshi!
  4. JamiiForums Tanzania Kampuni Forex Trade Saccotz Ltd ni halali?

    Hii kampuni ya forex trade wamenipa mchanganua wao wa jinsi ninavyoweza kupiga hela nikitrade nao, lakini nahitaji mwongozo wenu, na hasa, waliowahi kufanya nao biashara.
  5. JamiiForums Tanzania Wenye kuijua hii kampuni forextradesaccotz ltd, tupeni ukweli/uhalali wake

    Hii kampuni ya forex trade wamenipa mchanganua wao wa jinsi ninavyoweza kupiga hela nikitrade nao, lakini nahitaji mwongozo wenu, na hasa, waliowahi kufanya nao biashara.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kundi la Yanga ndio litatoa bingwa wa hii michuano

    Huu ndio ukweli na ndio maana mpaka leo timu namba moja kwa ubora bado haina uhakika wa kutinga robo fainali(mpaka sasa inahaha kuingia robo fainali). Labda Mamelodi ndio anaweza kuleta ushindani.
  7. JamiiForums Tanzania Hii haikubaliki tena,wapalestina Gaza wagombea chakula kujiokoa kufa kwa njaa

    Umoja wa falme za kiarabu UAE umeitisha kikao cha dharura cha umoja wa mataifa kutaka lipitishwa azimio la kusitishwa vita haraka na bila masharti yoyote. Wajumbe wote wanatarajiwa kuunga mkono azimio hilo na hofu imebaki kwa Marekani tu kama naye atapiga kura kuunga mkono. Azimio la kusitisha...
  8. JamiiForums Tanzania Hii ni kwamasingle wote

    Ukiona ndoa ya mtu inaharibika? Inapumua na gesi halafu mmoja anajifanya ndio eti anaonewa . Halafu anakuja kwako eti nataka tuwe marafiki baadae tuoane tupate watoto aisee kimbia futi elfu moja . Atakuletea shida sana kabisa mpaka ujione umekuja kimakosa duniani. Kuwa tu na mtu wako mpya...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Hongereni Walimu wa nchi hii

    Boy oh boy, nimefurahishwa na kushangazwa (amazed) if not confused na Chama Cha Waalimu nchini CWT. Sikuwahi kukifuatilia sana chama hiki kwa kuwa mimi si mwalimu ila kutoka na kazi yangu nimekuwa nikielewa migogoro isiyoisha ya uongozi wa chama and what not. Nimekuwa nikikichukulia chama hiki...
  10. JamiiForums Tanzania Kila mwanamke utakayemtongoza ni sekunde tu, huu upepo usiishie hii December

    Ni mrejesho tu kwa sisi wapambanaji huu mwezi sijui wanawake wamepata upako gani kila utakaemtongoza ni mapema sana imo, ni kama kuna upako umewapitia ukiacha kutoa namba unatafutwa na kuulizwa kwa hio nije wapi, utaniita lini au nije lini. Kuna pisi ambazo zilikuwa na nyoto utadhani ni mithili...
  11. JamiiForums Tanzania Mchambuzi Edgar Kibwana wa CMG kama Kiingereza chako ni cha Kubabaisha kama Changu uwe unatumia Mbinu hii ili Usikikosee na Usishtukiwe kuwa hukijui

    Ukikutana na Mgeni hasa Mzungu au Mmarekani Mweusi halafu ukataka kufanya nae Mahojiano basi hakikisha Maswali yako yanakuwa ni mafupi mafupi na ya moja kwa moja sawa? Muda mfupi uliopita nimekusikia Sports Extra ya Clouds FM ukitumia dakika 5 nzima Kuzunguka Kuuliza Swali la Sekunde 10 au 15...
  12. JamiiForums Tanzania Tazama picha hii vizuri ugundue viongozi wetu walivyo waoga

  13. JamiiForums Tanzania UDOM kuanzisha kampasi Njombe. Kimaadili hii siyo sawa kabisa ktk nchi hii

    Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila. Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama...
  14. JamiiForums Tanzania Hawa wanajeshi wa uokoaji walipe fidia kwa kuharibu hii hiace pale Katesh

    Kwanini wameamua kuharibu hii gari? Taarifa nilizonazo ni kwamba hiyo gari ilikuwa nzima kabisa na ilikuwa imepaki takribani mita 50 kutoka hapo iliponasa. Yaani mtu kapata hasara ya injini halafu nyie mnakuja kumuongezea hasara ya bodi? Kweli hii gari ingekuwa ya mwanajeshi au polisi...
  15. JamiiForums Tanzania Hii ndoto ina maana gani?

    Hapo vip!! Naomba mtu mwenye tafsiri kamili ya hii ndoto. Jana nimeota nipo eneo fulani hivi, nikiangalia nimevaa shati jeupe na kuna watu nipo naona karibu japi siwajui ila miongoni mwa hao watu akawa kuna mmoja kama anajaribu kukwepa ndege anayeitwa popo anayezinguka juu akipaa akiwa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa umechoka kuonewa daily, chukua hatua hii utanishukuru

    Salaam, Shalom. INTRODUCTION. Leo naongea na wale wote wanaoonewa katika nyanja mbalimbali,kiuchumi, AFYA,kisiasa,kimahusiano, kiimani nk nk. Yaani umeonewa na adui Yako amezoea kukuonea Hadi anakuja live kukutambia,anakwambia waziwazi katika eneo lako la KAZI, biashara, ardhi, KILIMO kuwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ni lini serikali itaacha uzembe huu? Hii ni selfie wala siyo uokoaji

    Mwaka 1996 MV Bukoba ilizama baada ya kuelea kwa masaa 7. Ndipo waokoaji feki wakaja na wazo la kuitoboa meli, maji yakaingia na watu zaidi ya 800 wakafariki. Uzembe wa serikali ya CCM. 2011 meli ya Spice Island ilizama kwenye mkondo wa Nungwi lkn mifumo ya taarifa za usalama wa vyombo vya...
  18. JamiiForums Tanzania Chid Benz kama Case study: Wasanii wanamichezo wanarogwa sana

    Aliwahi kusema Ndugu. Haruna Rashid Juma Kahena almaaruf kama Inspekta Haroun kwenye wimbo Ngangari kwamba " KULONDA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" ambayo ni maneno ya kizaramo yanayo maanisha " KUTAKA KAZI YA MUZIKI UGANGAMALE" ( KIZARAMO : Kulonda = kutaka). Hapo Inspekta alikuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya muda mrefu nimepata mtandao mzuri wa kunishauri muvi/series kulingana na vionjo vyangu, Ni zaidi ya kuchuja Genre, napata kitu roho inapenda.

    Nimezunguka sana jamiiforums, reddit, yts, n.k. katika kusaka muvi kali za kucheku lakini nikaja gundua watu tumetofautiana vionjo, ushauri wa muviz upo juu juu haujaingia kwa ndani kugusa vionjo vya ndani zaidi, matokeo yake unaweza shauriwa cheki muvi flani lakini unaishia kupoteza data na...
  20. JamiiForums Tanzania Najishangaa kwanini ninakuwa na hii roho ya huruma kiasi hiki. Najiona mjinga asee

    Habari za kwenu ndugu zangu! Niende kwenye mada moja kwa moja. Siku za hivi karibuni nimenunua kausafiri ambako kananisaidia kwenye stunting zangu za hapa na pale hapa mjini. Lakini nimenunua huu usafiri baada ya kununua nimekuwa nikipata udhoefu tofauti tofauti ikiwemo kumwazimisha mtu ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…