Hii haikubaliki tena,wapalestina Gaza wagombea chakula kujiokoa kufa kwa njaa

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,183
10,913
Umoja wa falme za kiarabu UAE umeitisha kikao cha dharura cha umoja wa mataifa kutaka lipitishwa azimio la kusitishwa vita haraka na bila masharti yoyote.

Wajumbe wote wanatarajiwa kuunga mkono azimio hilo na hofu imebaki kwa Marekani tu kama naye atapiga kura kuunga mkono.

Azimio la kusitisha vita na kuruhusu vyakula na maji ni la dharura kwani watu wa Gaza wameanza kudhoofika kwa kutokula na kunywa vizuri huku wakianza kugombea kidogo kinachopatikana.

Umuhimu wa azimio hilo unakuja pia kwa kujua vita Israel inavyopigana havina tena malengo yenye kutekelezeka kutokana na kushindwa kuokoa mateka hata mmoja na hawajaweza kuzima mashambulio ya Hamas Gaza yote na ndani ya nchi yake.

Iwapo Marekani itapinga azimio hilo itakuwa imezidi kujijengea uadui dhidi yake kutoka kwa nchi hata zisizokuwa za kiislamu wala za kiarabu ambazo zinawaunga mkono wapalestina.Hilo itakuwa ni pigo jengine dhidi yake yenyewe
UN Security Council to vote on Gaza ceasefire resolution
 
Tayari Hamas wameishiwa chakula.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Hamasi wamelalamika hawana chakula, jiulize aliye omba ni nani ni UAE na UAE yuko upande wa Israel 😄

UAE si ndiye Waziri wao ililalamika Israel wameuliwa watoto zao na Hamasi leo aje awatetee Hamasi mimi naona kama Israel anatafuta njia ya kusimamisha vita kwa kujidai kuingiza msada.

Israel anapigana vita huku kawafungia chakula watu wa Gaza ili wawageuke vijana wa Hamasi lakini katoka mtupu, sa anajidai kumtuma UAE afanye vile. Kwanza warabu wengine ni wanafiki tu wanao zuia chakula kuingia Gaza ni Misri, Jordan na Rais wa Palestine kibaraka wa Israel na America.
 
Hii inaitwa,"Mwana kulitaka Mwana kulipata".Unapoanzisha vita lazima ujiandae kwa masahibu yote yatokanayo na hiyo vita.
Israeli ni adui yao ,wanategemea awapatie chakula na maji ya kutosha ili wakishiba waendelee kupigana?
Mwana kulitafuta nani.Wananchi wanateswa na Israel na vibaraka wao.
 
Umoja wa falme za kiarabu UAE umeitisha kikao cha dharura cha umoja wa mataifa kutaka lipitishwa azimio la kusitishwa vita haraka na bila masharti yoyote.
Wajumbe wote wanatarajiwa kuunga mkono azimio hilo na hofu imebaki kwa Marekani tu kama naye atapiga kura kuunga mkono.
Azimio la kusitisha vita na kuruhusu vyakula na maji ni la dharura kwani watu wa Gaza wameanza kudhoofika kwa kutokula na kunywa vizuri huku wakianza kugombea kidogo kinachopatikana.
Umuhimu wa azimio hilo unakuja pia kwa kujua vita Israel inavyopigana havina tena malengo yenye kutekelezeka kutokana na kushindwa kuokoa mateka hata mmoja na hawajaweza kuzima mashambulio ya Hamas Gaza yote na ndani ya nchi yake.
Iwapo Marekani itapinga azimio hilo itakuwa imezidi kujijengea uadui dhidi yake kutoka kwa nchi hata zisizokuwa za kiislamu wala za kiarabu ambazo zinawaunga mkono wapalestina.Hilo itakuwa ni pigo jengine dhidi yake yenyewe
UN Security Council to vote on Gaza ceasefire resolution
Ustaadh kuwaelewa ni kazi Israel mpaka wateme bungo, mara Israel imechoka, imeshindwa vita, mara units nzima ya jeshi la Israel, mara maelfu ya wanajeshi wa Israel wametekwa, mara wanajeshi wa Israel wamekimbia Gaza dah blablah kibao but nothing
 
Kwahiyo mliandikiana na Israel kwamba vita ni kuokoa tu mateka hauko serious ustaadh, kwahiyo mliteka ili Israel waje waokoe tu et🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umoja wa falme za kiarabu UAE umeitisha kikao cha dharura cha umoja wa mataifa kutaka lipitishwa azimio la kusitishwa vita haraka na bila masharti yoyote.
Wajumbe wote wanatarajiwa kuunga mkono azimio hilo na hofu imebaki kwa Marekani tu kama naye atapiga kura kuunga mkono.
Azimio la kusitisha vita na kuruhusu vyakula na maji ni la dharura kwani watu wa Gaza wameanza kudhoofika kwa kutokula na kunywa vizuri huku wakianza kugombea kidogo kinachopatikana.
Umuhimu wa azimio hilo unakuja pia kwa kujua vita Israel inavyopigana havina tena malengo yenye kutekelezeka kutokana na kushindwa kuokoa mateka hata mmoja na hawajaweza kuzima mashambulio ya Hamas Gaza yote na ndani ya nchi yake.
Iwapo Marekani itapinga azimio hilo itakuwa imezidi kujijengea uadui dhidi yake kutoka kwa nchi hata zisizokuwa za kiislamu wala za kiarabu ambazo zinawaunga mkono wapalestina.Hilo itakuwa ni pigo jengine dhidi yake yenyewe
UN Security Council to vote on Gaza ceasefire resolution
Hao waarabu ni wapumbav hakuna wa kuwasikiliza , waanze kukemea vikundi vyote vya kigaidi

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hamasi kawalisha mpaa mbwa yule alienda na yule mateka wa kisrael, wa Israel wametoka wanasifu usafi wa chakula, na usafi wa choo we huoni walio tekwa wote na Hamasi wametoka wamependeza kwa uzuri wa chakula wengine mpaa wanaimba nyimbo za kuisifu Palestine
 
Kwani Hamasi wamelalamika hawana chakula, jiulize aliye omba ni nani ni UAE na UAE yuko upande wa Israel

UAE si ndiye Waziri wao ililalamika Israel wameuliwa watoto zao na Hamasi leo aje awatetee Hamasi mimi naona kama Israel anatafuta njia ya kusimamisha vita kwa kujidai kuingiza msada.

Israel anapigana vita huku kawafungia chakula watu wa Gaza ili wawageuke vijana wa Hamasi lakini katoka mtupu, sa anajidai kumtuma UAE afanye vile. Kwanza warabu wengine ni wanafiki tu wanao zuia chakula kuingia Gaza ni Misri, Jordan na Rais wa Palestine kibaraka wa Israel na America.
Wale wanaopost watoto kule tiktok ni waisrael? Waislam muwe na akiba ya maneno

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Hamasi kawalisha mpaa mbwa yule alienda na yule mateka wa kisrael, wa Israel wametoka wanasifu usafi wa chakula, na usafi wa choo we huoni walio tekwa wote na Hamasi wametoka wamependeza kwa uzuri wa chakula wengine mpaa wanaimba nyimbo za kuisifu Palestine
😂😂 Israel anawatuma Dubai wapate pakutokea.
 
Back
Top Bottom