hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuoa japo sijui Namuoa Nani? Mwanaume mwenzangu umeshawai kutokewa na hali hii?

    Habari wadau. Kuna hali inanitokea inanishangaza sana, nimekua na hamu na ndoa ghafla since mwaka jana. cha kushangaza sasa sijui namuoa nani na nipo 35 yrs. Wanaume tunatumia nguvu kubwa kujitafuta na kulea wadogo zetu na wazazi wetu mpaka tunasahau kuandaa spouse. Hapa wanaume tunakosea...
  2. JamiiForums Tanzania Safari ya Morogoro kwenda Tanga unatumia saa ngapi kwa Basi?

    Naam wakuu naomba nisaidieni majibu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kahama na Makambako hii miji iandaliwe kuwa miji ya viwanda na biashara kwani imeanza kujipambanua kama Kwala Pwani

    Hii itasaidia kupunguza msongamano dsm kwa sababu mikoa husika imesha weka dhamira ya miji hii kuwa na bandari kavu. 2 miji hii imezungukwa na maeneo yenye uzalishaji wa mazao ya chakula ya kutosha ambayo pia ni malighafi viwandani, 3 Nimiji iliyo kaa kimkakati kutokana na Geographical position...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini kijana hutakiwi kutoa mahari kwa karne hii

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nafahamu mada hii ni ngumu, na haitakuwa nzuri sana kwa sababu ya mazoea na desturi za jamii zetu nyingi ambazo kimsingi bado zipo gizani. Lakini hiyo haitazuia kuijadili na hapa tutajadiliana kwa hoja. Wale wenye hisia na mihemko ya kimbuzimbuzi tayari...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe hii ndo sababu ya yeye kukataa kunitunuku mbususu

    Kipindi cha nyuma niliwahi kuleta uzi kuwa nimekuwa introvert sana kiasi kwamba sina mazoea na jirani yeyote yule mtaani, hata kwa salamu tu, wanaJF mkanilipukia na kunishushia matusi ya kila rangi huku wengine mkijaribu kunibebesha mzigo wa kiburi. Nikaamua kuforce kubadilika ili nijichanganye...
  6. JamiiForums Tanzania Ipi ni RAM sahihi kwa hii PC

    Habari Nimeingia kariakoo kununua RAM nimemwambia muuzaji nahitaji ram DDR3 GB 8 ananiuliza tena unataka ipi PC3L au PC3 nikabaki mdomo wazi nikamwambia hebu nipe elimu kidogo tofauti ni nini kati ya hizo mbili kaniambia PC3L ni latest inaweza isisome kwenye PC za zamani na PC3 ni ya kitambo...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Nimetafakari Sana!! Nataka hii iwe kama nadhiri kwangu

    Wakuu nimetoka kutakari juu ya maisha ya kuoa nimeona bora jitihada zangu nielekeze kwenye kuwatumikia watu pamoja na kutoa huduma kuliko kuoa.. Ushauri kwa wale walio matowashi humu ndani nipeni changamoto zenu na mlianzaje Asanteni!
  8. JamiiForums Tanzania Hii ni Top Ten ya nyimbo zinazopigwa zaidi kwenye mabaa ya Tanzania

    List iko hivi, 1. 100 kilos - Ferre Gola 2. Ya Jean - Madilu 3. MayDay - Fally Ipupa 4. Kwangaru - Harmonize 5. Teacher Konde - Harmonize 6. Tetema - Rayvany 7. Vita Imana - Ferre Gola 8. Mario - Franco 9. Bora niinjoi - Jux & Diamond 10. Associe - Fally
  9. JamiiForums Tanzania Kuwa makini na aina hii ya majibu toka kwa mwanamke

    Leo nimeamua niwape TiP wale amateurs kwenye dating & hooking up games kuwa ukiona unapokea majibu ya aina hii usipoteze muda hata kidogo. Endelea na shughuli zingine za kujenga taifa tu. 1. Labda ntakuja...(Hii ni kwamba haji kabisa) 2.Nitakujulisha....(Hana mpango wowote na wewe) 3. Sina...
  10. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa IT naomba mnisaidie kuifunga simu isifanye kazi na kumtafuta aliyeniibia

    Wakuu kuna kisimu changu kimeibiwa sasa nimehangaika naona imekuwa mambo mengi kama mtu unaweza kuifunga isifanye kazi kama inawezekana nitashukuru Lakini pia kama utaitrack kama utamlipisha ukimkamata aliyeiiba hii simu ni wewe tu upendavyo mimi nimesamehe lakini roho inaniuma naweka na imei...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanasiasa wa Nchi Hii akikwambia Usiku Mwema Inabidi Uchungulie Nje kuhakikisha

    Waongo waongo sana
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye elimu ya stika hii ya TRA, naomba atueleweshe... mbona bidhaa za Bakhresa Food Products hazina?

    Ambaye ana elimu ya hizi stika za elekitroniki za TRA naomba atueleweshe. Mfano bidhaa ilikuwa inauzwa kiasi cha Tsh 100 ikawekwa stika bado inauzwa bei ileile tzs 100 hapo naongelea U-fresh ambazo ni barafu zinazozalishwa na Wachina. Hapohapo maji yalikuwa yanauzwa kiasi cha Tsh 500 ikawekwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana hii nchi saivi ikawa iko kwenye "auto pilot"?

    Yani Haina mwenyewe.. inajiendea tu. Alafu No one is in Control... Yani inawezekanaje... Haya mamvua yote yanayonyesha alafu bado tuambiwe shida ya umeme itaisha March...!? How is it possible, mafuta yameshuka, Nauli zilipanda na ziko palepale!?? Saivi tunasikia Mkurugenzi akiamua tu kubadili...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa hii serikali kuna kufanikiwa kweli kwa watumishi wa umma bila kuiba?

    INTRODUCTION: Hapa sizungumzii wizi wa fedha au mali za Umma pekee ila nazungumzia wizi wote wa MUDA na FEDHA. Nimekuwa nikiona na kusikia watu wengi sanaa wakiponda juu ya wizi fedha za uma kwa watumishi. Nimekuwa nikiona na kusikia raia wengi sanaa wanalalamika kwamba wakienda ofisi fulani...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi watu mna-handle vipi hii situation

    Unapata kazi, na asilimia kubwa ya unaofanya nao kazi ni wadada ambao wengi hawajaolewa kwenye ofisi yenu. Sasa unakuta kila mdada anataka kukaa na wewe, ukienda huku huyu anataka mzungumze au umsaidie kitu fulani, ambacho kimsingi alikuwa na uwezo wa kukifanya pekee yake. Na unavyojua kazi za...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu hasa hii google saved places(visited places)accuracy yake kwenye ramani

    Je hii kitu Ina accuracy kiasi gani? Je, inaweka kumlocate mtu akilala guest flani na hajawahi lala hapo? Je, ukipita mahali hata mara moja kama location ipo on, baadae ukiangalia kwenye ramani itanyesha uliwahi lala hapo?
  17. JamiiForums Tanzania Monty Python-Life of Brian: Hakuna movie inachekesha kama hii

    Hawa wajinga wa Monty Python sijui walikuwa wanawaza nini. Watu wengi wamejikuta wamepata matatizo ya kiafya kwa kucheka sana baada ya kuangalia movie hii. https://youtu.be/yzgS61zgPEg?si=psfOA9T7CJVIPulO
  18. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuchanganyikiwa maishani mwangu namna hii

    Wanaume wawili walikutana kwenye kituo cha basi na wakawa na mazungumzo. Mmoja wao aliendelea kulalamika kuhusu matatizo ya familia yake. Hatimaye yule mtu mwingine wa pili akasema, “unafikiri unayo matatizo ya kifamilia? Sikiliza hali yangu." "Miaka michache iliyopita nilikutana na mjane...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wadada kuvaa tishet au blauz na kuacha maziwa yamening'inia ina maana gani?

    Yaani hii tabia iliyoibuka ya wadada kuacha maziwa yananing'inia, inatuweka wanaume mahala pagumu sana. Mimi nadhani kwa upande wangu makalio yalikuwa hayanisumbui sana lakini hili suala la boobs wamenidaka.
  20. JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Amri hii ya Jaffo kuhusu kusitisha matumizi ya mkaa itaanza lini?

    Jafo alitoa tamko kuwa kuanzia January 2024 mwisho kutumia kuni, mkaa. Kama kuna anayefahamu tarehe ya utekelezaji wa jambo hili atueleze ili tujipange tusije kuingia matatizoni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…