hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa aliwezaje kumvumilia Nape bila kumtamkia jambo hadi anafariki? Nape aliwezaje kutokuomba radhi hadi Lowassa amefariki?

    Nape aliweza kwenda Ikulu kumwomba radhi Magufuli kwa lengo la kupata madaraka. Lakini alishindwa kwenda kumwomba radhi Lowassa baada ya kumdhalilisha na kumtakia kifo kwenye mkutano wa adhara 2015. Alitamka maneno ambayo katika hali ya kawaida huwezi kusema yametoka kinywani kwa mwanadamu...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ni kipimo cha weledi mdogo wa viongozi wakuu wa nchini

    Tusizungumze mengi sana twende tu moja kwa moja kwenye pointi ninayotaka kusema. 1. Paul Makonda elimu yake inatiliwa mashaka. 2. Paul Makonda alifanya mambo yasiyo na weledi wa kiuongozi alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar, mojawapo ni kuvamia kituo na redio cha Clounds FM, kuwaweka chini ya ulizi...
  3. JamiiForums Tanzania Kinachowafanya wapinzani wasihangaike kuonesha wanafaa kushika uongozi ni sababu Makonda anawasafishia njia

    Friends and our Enemies, kindly go and listen the beautiful song of the late Lucky Dube ''Reap just like you sow''. Move ya wapinzani kuingia barabarani na kuandamana kwa Amani huku wakipewa ulinzi na vyombo na Dola kwa kiasi kikubwa imeonekana kama ni pigo kwao na ushindi Kwa CCM kwa kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu wakristo wengi wanateseka licha ya kuomba sana. Majini Vs Malaika

    Wasalaam Wengi wanaaminishwa uhalisia wa majini/mapepo na ushirikina kuliko Malaika. Yaani unakuta mtu analala, kwa machale na wenge akitegemea muda wowote kukabwa, Kukwidwa kubininywa au kufinywa na nguvu za giza. Hii imepelekea 90% ya maombi ni Kukemea na kuvunja badala ya kushukuru kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Tulia Akson katuliiaa.. wajuvi wa Mambo ya Fshooonn hii inatwaje!?

    Lete maneno...
  6. JamiiForums Tanzania Mwasisi wa unafiki na uchawa nchi hii ni mchonga meno( baba john,baba maria na baba rosemary)

    Yule jamaa mwandishi wa habari wa kwanza wa BBC swahili na hakika ndiyo alistahili kuwa rais wa nchi hii sio huyu mnaomsema ninyi kwanza mnaomsema ninyi ni mwasisi wa haya yote kwanza waTanzania kuanzia udini,uoga, unafiki na uongo uongo wa ninyi wajinga wajinga Kitendo cha yeye kumsema Amini...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

    Mwanamke ameajiriwa taasisi binafsi, anaingia saa moja asubuhi anatoka saa kumi na dk 40 jioni, akirudi nyumbani mume anataka apikiwe, mpaka afike kwake ni saa kumi na mbili jioni akirudi apike yaani akae jikoni apike ugali, afue uniform zake, mume aje wale walale. Mume hana shughuli yoyote...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Moshi wamekataa kupeleka kesi hii mahakamani na wanasisitiza dhamana iwe hapo kituoni

    Mimi ni mfanyakazi katika taasisi ya Kikristo iliyoko Moshi. Taasisi hii Ina shule ya Msingi na ya Secondari. Taasisi hii pamoja na kuwa na watoto wanaotoka kwenye familia za kawaida shuleni, pia huwasaidia watoto walioko kwenye mazingira magumu pia yatima na waliotelekezwa. Mwanafunzi mmoja...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Enhe, na vipi kuhusu hii 'kufinyia kwa ndani'; iko toka zamani au imeanzishwa hivi karibuni katika kuhakikisha 'na ya kutolea' inatumwa?!!!

    Naomba nijue hili maana sasa ndo imekuwa habari ya mijini. Karibuni.....
  10. N

    JamiiForums Tanzania Jamani mnajizuia vipi na aibu hii mnapopatwa na tatizo la tumbo la kuendesha kwenye nyumba za watu wengi uswahilini?

    Kuna nyumba choo kipo mita moja tu kutoka wanapokaa kina dada kupiga stori zao, za umbea, of course. Wanakuwa hapo kila siku kuanzia asubuhi hadi usiku; teleza na kuanguka usikie hivyo vicheko. Sasa kuna huu ugonjwa wa kuhara ambao wengi wenu humu mnaumwa hapa tunapoongea; na mnajua fika kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Ziara za Makonda, malalamiko ya wananchi kutotendewa haki na watumishi, ni kuanzia mwaka 2021 hii maana yake nini?

    Wasalaam Tanzania. Nimekuwa mwingi wa kufuatilia mikutano ya ndugu Paul Makonda mwenezi wa CCM. Amekuwa akipokelewa na wananchi kwa wingi na mabango mengi yenye malalamiko dhidi ya watumishi wa Serikali n.k Kila ambaye amekuwa akipeleka malalamiko, anapoulizwa ni tangu lini, wengi wao...
  12. JamiiForums Tanzania Wahi offer hii ya kudizainiwa logo mwezi wa makopa

    .
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini nchi hii miaka nenda rudi matatizo hayaishi na CCM inaongoza tu?

    Mimi kwa kweli nimechoka kabisa. Wakati wote ninafanya kazi kwa bidii, nalipa kodi zote, lakini kila mwaka kuna matatizo, yaani tangu tupate uhuru. Vitabu vya historia vinaonesha matatizo tu. Sasa leo Mhe. Makonda anazunguka nchi nzima na kuibua matatizo tu. Au labda haya matatizo ni kidogo...
  14. JamiiForums Tanzania Unajifunza nini kwenye picha hii?

    Kuna kitu cha kujifunza kutoka kwenye hii picha. picha kuna muda zinatabiri Mambo ya, mbeleni
  15. JamiiForums Tanzania Tatizo la sukari ni kama biashara ya watu wachache walioweka vizingiti, tabia hii imeanza kitambo

    Kuna kipindi ilishawahi Azam cola kushtakiwa kwa sababu kutumia neno Cola sababu wenye Cola waliona ni neno lao. Hili jambo la sukari ni kama monopoly business ambayo haitaki mwengine kuanzisha kiwanda cha sukari. Ni kama familia fulani au watu fulani walijiwekea ili biashara hii ya sukari...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Polisi wasimama kijijini kutoa taarifa ya mwanakijiji aliyeshambuliwa na nyuki, wanakijiji wote wakimbia

    Ni kwamba polisi walikuwa wanapita na msafari wao tu. Mara, karibu na kijiji fulani, wakamuona mwanakijiji, aliyeonekana kama anatoka shamba, akishambuliwa vibaya na nyuki. Wakiaa hawana uzoefu wa hao wadudu, wakaona wasijihatarishe na wao bali wakimbie haraka wakawahabarishe wanakijiji wenzake...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Miaka mitano iliopita nilifungua website ya kuagiza bidhaa mbalimbali kwanjia ya mtandao bahatimbaya sikupata wateja wakutosha nilikutana na changamoto nyingi sana 1. Watu wengi niwaoga kutapeliwa 2.Baadhi ya watu wanataka vitu vya bei rahisi sana bila kujali ubora. 3.Mtu mwingine anataka...
  18. JamiiForums Tanzania Interview ya Tundu Lissu yasitishwa Wasafi FM. Mwenyewe ang'ang'ania ofisi za Wasafi. Wakubaliana kuifanya wakati mwingine

    Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba interview ya Mh. Tundu Lissu pale Wasafi FM imefutwa. Awali ilielezwa kwamba Tundu Lissu angefanya mahojiano katika kituo cha Wasafi. Taarifa zisizowekwa wazi ni kwamba mahojiano hayo yamefutwa kufuatia maelekezo ya CCM --- Taarifa kutoka ukurasa rasmi...
  19. JamiiForums Tanzania Tabora United ndio hii iliyocheza na Yanga mpira wa nguvu na akili nyingi pale Dodoma ama ni wengine hawa?

    Tabora united ya Leo ni Nini kimewapata? Ni wenyewe Hawa waliocheza na yanga pale Dodoma kwa kukamia kweli kweli kiasi Cha kwamba tukawapa 5 kuwa watafanya vizuri sana msimu huu lakini nilichokiona Leo pale Aly hassani mwingi stadium ni kichekesho Cha kufungia mwaka! Wamefungwa magoli mepesi...
  20. JamiiForums Tanzania Anayedhani Mahakama za Tanzania siyo huru asome hii kesi

    Mahakama yatengua makubaliano yaliyorejesha mali ya Ushirika serikalini Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani imetengua hukumu ya Mahakama Kuu iliyohalalisha mkataba wa makubaliano baina ya Serikali na mfanyabiashara Amos Njile, kuhusu umiliki wa ghala la Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Mwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…