hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wapinzani wa nchi hii hawajui wanachotaka. Kila rais anaeingia madarakani hawamtaki

    Wana laana isiyoisha au tuseme hawajui wanachotaka Mkapa walimwita dikteta na kumtukana Kila aina ya matusi, amemaliza salama amelala! Kikwete alipoingia alikula matusi Kila mahali yaani huyu ndio rais mwenye roho ngumu kwa sababu huyu walimuonea kwa kuwa alikuwa anakaa kimya! Matusi...
  2. excel

    JamiiForums Tanzania Mnatumia viungo gani kulainisha hii mboga wazee?

    Mimi huwa napendelea karanga.. sijui nyie😅😅
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Nani kamfunika mwenzie kwenye hii Track?

    Hapa Bambo kule Kingwendu nani kaangusha Melodies kali zaidi?
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Picha: Hii husababishwa na nini kwenye kuta za nyumba?

    Hii imetokea kwenye kuta, husababishwa na nini hii hali? Kama kuna njia ya kuzia pia ningependa kuifahamu.
  5. father-xmas

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli hii inapunguza gharama za ujenzi?

    Habari waheshimiwa. Nina kaproject kanakohitaji kama tofali 20,000 hivi kakamilike. So far nina tofali 3000 ila nimepiga hesabu nikaona zikizobakia nikifyatua mwenyewe nitaokoa kama 40% ya pesa ya kununulia ila mafundi wananikatisha tamaa kuwa nitapata hasara tu ni bora kununua. Naomba kujua...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maghorofa yanachipuka kama uyoga jijini Mbeya awamu hii ya Dkt. Tulia na Rais Samia

    Kuna haja ya kuona na kupongezwa juhudi za makusudi za viongozi wetu hasa mheshimiwa Samia na Tulia. Wananchi wa jiji la Mbeya tunaona uchumi wa mkoa wetu unakuwa Kwa kuangalia hata miundo mbinu. Tunaona sekta ya ujenzi hususani nyumba Bora, nzuri zinaongezeka Kwa Kasi awamu hii. Wito...
  7. big dreamer

    JamiiForums Tanzania Wabongo tungekuwa tunaaminiana vijana tungepata fursa hii kwenye majiji yenye foleni mfn. Dar

    Kwenye folen kuna fursa hii pia.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ni namna gani nzuri ya kuezeka ramani hii

    Nauliza
  9. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Tumia hii Sala ya kuomba Mchumba Mwema: Utapata matokeo mazuri na utanishukuru

    Ee mwumba wetu, umewaunganisha watu katika ndoa takatifu nami natumaini kupokea Sakramenti hiyo na kushirikiana na mwenzangu wa ndoa maisha yangu yote. Kwa hiyo nakuomba ee Bwana unisaidie kuchagua kwa hekima, nipate mchumba mwema, safi na mwaminifu, nifuate zaidi uzuri wa roho kuliko wa uso...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kutoka Uganda: Nadhani hii ndiyo njia rahisi ya kufikisha ujumbe kwa walioshika mpini

    Nimesoma mahali wananchi waishio kule Gom's maeneo ya Kivule, Chuo cha Biblia, Air wing, relini kuendelea huko mbele. Lakini hata wale wanaotoka Mbeya au Mwanza kupitia ile njia ya Chunya hata kwingine huko ulipo, hii hapa tumia kufikisha ujumbe. Mkipanda mimea mtavuna chakula. ... au...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania AirBnB zaruhusiwa kurekodi na kuzuia vitambulisho vya Wageni kwa Muda kutokana na kuzidi kwa Mauaji

    Kutokana na kuongezeka kwa ripoti za vitendo vya uhalifu ikiwa ni pamoja na kesi za mauaji, katika nyumba za makazi maarufu kama (AirBnB) na Hoteli Mamlaka ya Udhibiti wa Taarifa Binafsi imetoa maagizo yanayolenga kuzuia vitendo hivyo na kuhakikisha usalama wa wakazi na wageni Mamlaka hiyo...
  12. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Nimeumia sana hii mechi yetu na Morocco, nimeumia sana na timu yetu ya taifa

    Hamna mechi katika maisha yangu imeniuma kama hii Tanzania na Morocco. Kweli Tanzania sisi wakupigwa goli Tatu. Kwamba sisi tuko level ya chini hivi. Sawa timu huwa zinafungwa. Kweli vijana wetu wameenda kutuwakilisha mechi ya kwanza wanapigwa tatu. Mbona walituadaa mioyo yetu vizuri. Sisi...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira unavyodunisha uripoti wa wanafunzi wa kidato cha kwanza miaka hii

    Mzazi ana watoto wawili aliowasomesha kwa tabu hadi chuo kikuu lakini wote wako nyumbani na hakuna mwenye ajira hata mmoja. Leo mzazi huyu kumpeleka mtoto sekondari tena anaona ni kumtania kabisaaa. Hiyo ndo sababu ya uripoti duni wa wanafunzi wa kidato cha kwanza; 2023 ulikuwa mkubwa lakini...
  14. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Picha hii imenigadhabisha sana

    kwa kweli Hawa jamaa wanatakiwa Leo kuuwawa!
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania TIGO badilikeni, kifurushi kimebadilishwa kwenda salio wakati sidaiwi

    Inasikitisha kuleta humu lakin naona imekuwa kama mchezo unaojiriudia. Ndugu zangu wa tigo haya mnayotufanyia hayapendezi. Binafsi n mteja wenu wa siku nyingi miaka mingi. Hiki ndicho kinaendelea kuntokea mara ya nne leo. Ninaponujua vifurushi vya internet mnaaniandikia kifurushi chako...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukitulia kabisa na ukaitumikisha vyema Akili yako kwa Taarifa hii hapa chini unaelewa nini?

    Wauguzi 1330 Wamefeli Mitihani yao Chanzo: Magazetini Leo Ushauri wangu tu GENTAMYCINE kama kuna Mtu kwa sasa anataka Kuwekeza katika Biashara ili apate Faida Kubwa sana awekeze katika Biashara ya Majeneza, Sanda na Uchimbaji wa Makaburi hutokuja Kujutia.. Na nawakumbushenu tu kuwa hata mwaka...
  17. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Kuna timu ambayo inaenda kudhalilishwa kwenye hii michuano kwa mara ya kwanza toka ianze!

    Nishasema Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega!. Kiukweli ndugu zangu tangu mods wanaiondoe kwenye jukwaa la michezo toka Simba alipokula kipigo cha Goli 5 - 1 Kutoka kwa hasimu wake Young Africans,Mods walinifungia kwenye jukwaa la...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii ni positive au negative

    wakuuu msaada apo ni positive au negative.........three weeks before nilipima hospital nikaambiwa nipo fresh kabisa yaan negative
  19. P

    JamiiForums Tanzania Wakuu nipo safi au ni nini hii?

  20. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka tukio gani kuhusu hii picha?

    Tanzania kama nchi imepitia vipindi tofauti vya kustaajabisha na kushangaza pia. Unakumbuka tukio gani ukiiangalia hii picha?
Back
Top Bottom