Elezea hii kitu kisayansi

Elezea hii kitu kisayansi

Anae endesha drone hayuko mbali,
na drone hiyo ipo mkuku mwendo sawa na gari. Niamini Mimi.

Kwa Sababu mchukua video yupo sambamba na anaye endesha drone hiyo. Isipokuwa tu kama video nzima sio AI generated
 
hiyo drone kama ilirushwa wakati gari inatembea, basi ilirushwa ikawekwa igande stationary, hata wewe ukirusha chungwa ndani ya gari halitakupita liende nyuma, itakua kawaida tu kama ukirusha ukiwa umekaa
 
Mfano tu, ukiwa kwenye basi umekaa siti ya nyuma, basi likaanza kutembea kwa mwendo mkali, ukaamua kutoka kwenye siti nyuma na kumfuata dereva mbele, Je, hutomfikia dereva? Hiyo drone, wameiset igande hapo hapo isitembee kwenda nyuma, mbele, juu wala chini.​
 
Back
Top Bottom