Ramani ya vyumba 3 vya kulala simple hii hapa

Ramani ya vyumba 3 vya kulala simple hii hapa

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
812
Reaction score
1,753
Habari leo nimekuletea raman ya nyumba ya vyumba 3 vya kulala
ina vitu Vifuatavyo
master bedroom
vyumba 2 vya kulala visivyo na vyoo
seble
jiko
store
baraza ya mbele
baraza ya nyuma
na choo cha wageni
inachukua Mita 12 kwa mita 11
unaweza ukaangalia baadhi ya kazi zetu pia hapa
kama umeipenda hiyo raman njoo tufanye kazi
Raman yake full ipo
pia ukitaka tukujengee
0743 257 669
tunapatikana ukonga dar es Salaam

Recording_20260501_062436.jpg
Recording_20260501_062419.jpg
Recording_20260501_062404.jpg
Recording_20260501_062510.jpg
 
Habari leo nimekuletea raman ya nyumba ya vyumba 3 vya kulala
ina vitu Vifuatavyo
master bedroom
vyumba 2 vya kulala visivyo na vyoo
seble
jiko
store
baraza ya mbele
baraza ya nyuma
na choo cha wageni
inachukua Mita 12 kwa mita 11
unaweza ukaangalia baadhi ya kazi zetu pia hapa
kama umeipenda hiyo raman njoo tufanye kazi
Raman yake full ipo
pia ukitaka tukujengee
0743 257 669
tunapatikana ukonga dar es Salaam

View attachment 3582234View attachment 3582235View attachment 3582236View attachment 3582237
Kwamba hii ni nyumba simple?
 
Sasa hapa market niche gani unayo i target ?

Nje umepaki Red Range Rover, ndani kijumba hakina nafasi ya kuhifafhi mali zangu! Hakuna mi walk in closet ya kutundika mi suti yangu.

Haijulijani nyumba ni ya Mbunge mwizi au Muuguzi zahanati ya kata.

Unaonyesha kabisa bwana architecture huna uhalisia kwenye ma imagination yako!

Na hilo dirisha kioo tupu, unaingia kwa ngumi!

Mazingira ya Bongo!

Tatizo mapicha ya EI AI

MWISHO WA SIKU HAUTAJENGA KITU KAMA HICHO!

Hizo Calciulm Silicate WHITE BRICKS Tanzania zinauzwa wapi ?????

Weka picha ya nyumba uliyojenga WEWE!

Ndio tukupigie simu!
 
Yani hilo dirisha kioo tupu, unaingia kwa ngumi!

Mazingira ya Bongo!

Tatizo mapicha ya EI AI

MWISHO WA SIKU HAUTAJENGA KITU KAMA HICHO!

Na hizo Calciulm Silicate WHITE BRICKS Tanzania zinauzwa wapi ?????

Weka picha ya nyumba uliyojenga WEWE!

Ndio tukupigie simu!
Kwakweli
 
Habari leo nimekuletea raman ya nyumba ya vyumba 3 vya kulala
ina vitu Vifuatavyo
master bedroom
vyumba 2 vya kulala visivyo na vyoo
seble
jiko
store
baraza ya mbele
baraza ya nyuma
na choo cha wageni
inachukua Mita 12 kwa mita 11
unaweza ukaangalia baadhi ya kazi zetu pia hapa
kama umeipenda hiyo raman njoo tufanye kazi
Raman yake full ipo
pia ukitaka tukujengee
0743 257 669
tunapatikana ukonga dar es Salaam

View attachment 3582234View attachment 3582235View attachment 3582236View attachment 3582237
Hivi vipimo umetumia cm au nini?
 
Iko poa kwa life la ss.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom