hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Chawa wenye vyeo na fedha na Chawa wasio na vyeo wala fedha

    Kwa kutumia mifumo ya nchi, tutawaelimisha waache ujinga na upumbavu wa kuamini kwamba wao ndiyo Tanzania na wengine ni kama sampuli ya mwanadamu. Lazima tuwaelimishe kwa mujibu wa maelekezo ya Katiba ya CCM ya mwaka 1977, toleo la 2022, ibara ya 07, ibara ya 08 (1)(2)(6), na ibara ya 15 yote...
  2. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Habari, matukio na yanayojiri duniani leo hii

    Tupia hapa, kwa mistari michache na ikiwezekana link ya kwenye habari kamili kwa habari, matukio na yanayojiri duniani leo hii.
  3. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa familia za kiafrika ni adhabu

    Famili za kiafrika ni Kulogana, Ujinga mwingi, Umaskini yaani daaaah!
  4. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Hii ndo imefanya hasiwe shortlisted for interview?

    Wakuu nina mdogo wangu kamaliza chuo last year, grade IIIA, Kila kitu nilimuwekea ila mpaka sasahivi grade III wengi wamekuwa shortlisted for interview yeye Bado. Nimeulizia nimeambiwa kwenye birth certificate lazima muhuri upigwe ndani ya cheti na sio pembeni ya cheti. Kama picha...
  5. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Siku ya Nyerere ila Sare in picha ya Samia? Hii imeenda

    Hii imenihsngaa na haijawahi kutokea, nahisi huko mbele watoto shule watavaa picha ya samia.
  6. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Wale wenye familia kubwa gorofa 5 bedrooms affordable design yenu hii hapa

    CHINI 3BEDROOMS JUU 2BEDROOMS SEBULE 2 ,JIKO DINING,STORE AND LAUNDRY PLOT SIZE 30X30M ESTIMATED COST MPAKA ROOFING (120M) CALL/WHATSAP +255624004650
  7. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Wachache tutaijua hii

    Wachache sana wakarne za zamani tutaijua hii😝
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hezbollah yajeruhi zaidi ya wanajeshi 40 kwenye mesi nchini Israel wakati wanakula

    Hezbollah wamefanya shambulio la drone kutokea Lebanon na kupiga kambi ya jeshi ya Golan Brigade Base katika Jiji la Haifa ambapo wanajeshi zaidi ya 40 wamejeruhiwa na wengi wakiwa kwenye hali mbaya huku kukiripotiwa vifaa kadhaa pia. Tofauti ya Israel na Hezbollah na HAMAS ni kua wao...
  9. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Mbinu hii inaweza kutibu kigugumizi au stammering

    Kigugumizi ni tatizo la kushindwa kuongea vizur yaan mtu anakuwa anashindwa kujieleza au kutoa matamshi mpaka ajivute sana,ni changamoto ambayo inawakuta baadhi ya ndugu zetu Sasa unaweza kuishinda hali hii kwa kufanya mazoezi ya kuongea zaidi,jitahidi kuongea kadri iwezekanavyo na baada ya mda...
  10. ekomu1

    JamiiForums Tanzania Hii ni dawa gani?

    Hii dawa mtu aliomba sana nimtafutie atanipa pesa nzuri sijui ya nini na inatibu nini.
  11. The branding

    JamiiForums Tanzania Hesbollah hii ndo ile tulio hadithiwa ama tutarajie nyingine?

    Vilisikika vitisho vingi sana mara ooh, Hesbollah sio gaza, mara ooh kumbuka 2006, n. K. Tulivyokwenda kwenye uhalisia kumbe hesbollah ni wachumba tuu, na ni mara 100 Hamas. Hao jamaa yahudi anajipigia mpaka kuna muda unawaonea huruma wanaume wazima na vilemba na midevu wakikaa mashimoni kama...
  12. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wakiona hii picha basi roho zinawauma sana. Na bado sana.

    Endeleeni kujitoa mhanga na itikadi zenu za kitapeli.
  13. dem boyz

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Israel waathirika na vita ya Gaza

    aljazeeraenglish The fact that the cumulative weight of bombs dropped on #Gaza exceeds that of those dropped during World War II is “extraordinary”, Will Hutton, political economist and journalist, tells Al Jazeera.⁠ .⁠ #Israel could not have done this without US military aid, but it could have...
  14. Zogoo da khama

    JamiiForums Tanzania Hii 0.5% ya latra kwenye nauli ikoje?

    Wadau habarini za majukumu? Jana nilikata tiketi ya bus toka mkoani kuja Dar es Salaam kitu nilichokutana nacho ni tozo ya 0.5% ya LATRA hii ikoje? Imetamkwa lini? Je si kutuongezea mzigo kwenye nauli
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Lionel Messi halisi akiwa anapiga gitaa

  16. Elsa Marie

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Hii ya Samia kupanga foleni kujiandikisha inafikirisha kidogo

    HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa. Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Hii nchi imegawanywa kuanzia kipindi cha Magu, Samia anaendeleza dhambi hiyo kuhusu ujenzi wa miundo mbinu

    Ndugu zangu watanzania wenzangu nchi hii si moja, hakuna usawa ktk ujenzi wa miundo mbinu. Mwezi wa 8 nilisafiri kutokea Arusha kwenda Dodoma kupitia Kiteto. Kiteto ni wilaya ndani ya mkoa wa Manyara. Ukitokea Arusha unapitia mji wa Orkesumet ambao ni makao makuu ya wilaya ya Simanjiro. Hilo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Peter Madeleka akiwa na Maburungutu ya pesa. Hii ni baada ya kupigania haki za wanaoonewa

    Duh
  19. kwisha

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa ukristo ni mateso kwa watu wengine

    Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu. Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani, mawazo, ya watu wengine
  20. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hii aina ya muziki wa kompa nimeanza kuukubali kidizain hivi

    Ni vizuri wale wana ojua chimbuko la muziku wakatupatia historia yake fupi. Pia naiona ni kama modern zouk hivi (zouk iliyochangamka) Kwa wale wasiojua style ya kompa kibongo bongo wasikie wimbo wa genius ft jay melody - far away. Enjo mix ya kompa hapa kwa wale wa spotify...
Back
Top Bottom