King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Naona maneno ni mengi kila mtu anajaribu kuongea anachokijua, hila kwa wanasimba wanaoijua football vizuri sidhani kama watakua wanaumia na matokeo haya
Wanasimba wanajua kua wapo kwenye kipindi cha mpito bado wanatengeneza timu, na wanasimba wote wanajua hichi kitu, tatizo naona lilikuja mara...
Ukipita mitandaoni na mitaani, utaona wanasimba wanalalamika wameonewa na mwamuzi sababu kubwa zao ni 1) wamenyimwa penati mbili za Kibu, na faulo iliyozaa goli haikuwa faulo ya maana.
Kwenye swala la penati ambayo ni halali ni moja tu na sio mbili kama inavyodaiwa. Ile moja ni faulo...
Kuna Baadhi ya wanawake wana date na wanaume waliooa
Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake
Hajawahi kuku valisha hata hiyo pete na anakuambia anakupenda
Unafikiri anakupenda wew?
Kama aliyemvalisha pete anam cheat wew kwake utakuwa na thaman?? usiwe mjinga
Anakuambia anakupenda na huku...
TATIZO LA WANAFUNZI WA DIPLOMA WALIOENDA KULIPOTI MWAKA WA KWANZA LAKINI WAKAPATA CHANGAMOTO YA KUPATA MSIMBO ILI KUSAJILIWA CHUONI MNATUSAIDIAJE WAKUBWA ZETU
Wanawake wa namna hii hakuna anachowaza zaidi ya shughuli, kwa masifa anatunza malaki ya pesa, hawazi maisha au baadae ya watoto. Yeye ni shughuli ukiwa hauna sasa anaenda kukopa huko, na vitu vya ndani anaweka bondi.
Mjamba wangu alioa mwanamke wa sampuli hii, mkewe akiwa hana pesa ya shughuli...
Nafaham juani ulipokwenda hata watu wa serikali ndio hutumia huko mizimu ya kule ni mikali sana ila nachowashsuri simba ili tushinde hakikisha mpira wa kwanza aguse mchezaji mmoja na autoe goolkik tukenda kinyume na hapo tunafungwa
Karibuni mafai
Yani Kwanza jamaa unaonekana hela ipo, demu mkali anae, halafu demu mwenyewe bado mdogo Mali mpya kabisaaaaa.
Na demu mwenyewe yupo romantic kuliko mademu wengi Sana hapa nchini
Natamani wanawake wengine mngekua kama huyu
Usaili wa walimu Umehairishwa mpaka hapo utakapotangazwa.
Afya mpaka leo hakuna Pdf.
Je, kipi kiko nyuma ya haya?
1. Serikali haina Hela.
2. Utumishi wamelemewa.
.
.
Mawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji, wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii hadi sasa.
Je, hawakuwa na budget au kuna watu wa chama ngazi ya halimashauri wamekula? Hebu tuifute...
Ninaplan ya kuanza kujirecord nikisimulia hadithi au matukio. Hii audio hapa nilikuwa natest tu nione ninavyosikika. Nimeamua kushare na nyinyi mnichane nafaa ?? Niongeze nini??? Nipunguzie nini????
Note: NIMERECORD KWA SIMU, na EDITING ni simu pia.
Waliokuwa nyuma dhidi ya mauaji yenu wameanza kusambaratika. Wameanza kuonja mateso kama yale mliopitia.
Wapumbavu hawa👇 sasa hawapo na vibaraka wao pia wanaendeleo kudondoka.
Kufa kupo, lakin clemence na josh hamkustahili kuondoka katika mikono ya magaidi ambao wananuka damu za watu wasio na...
Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya.
Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao.
Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
bunge
bunge la tanzania
ccm
hata
hii
kanda
kanda ya ziwa
kenya
miaka
miaka 100
mkubwa
mkuu
mkuu wa wilaya
mtaji
sana
siasa
siasa za kenya
tanzania
tatizo
umasikini
wilaya
ziwa
Kwanza kabisa Mimi Sina dhehebu maalumu japo nimebatizwa Rc na ndoa nikafungia huko.
Napenda kusikiliza mahubiri yoyote Yale. Tofauti tu na mahubiri ya kitapeli na ushuhuda wa uongo, hayo Sina muda wa kuyasikiliza hata kidogo.
Huwa nafurahishwa sana na aina hii ya wachungaji/watumishi wa Mungu...
Habari Wakuu,
Nimekutana na video hii TikTok inayodai hii pande kubwa la theluji lipo Mlima Kilimanjaro na lilikuja kutokana na mabadiliko ya Tabianchi. Kuna ukweli hapa?
Naombeni mtusaidie
---
Nimekuwa nikiota ndoto nikiwa napaa na kuelea angani mara nyingi na kurudi chini, lakini katika mawazo yangu ningetamani niendelee kupaa tena, ni ndoto nzuri kuiota,lakini sijuwi inamaanisha nini iwapo mtu akiota ndoto ya namna hii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.